Sensa is an American brand of diet aid created by Alan Hirsch, an American neurologist and psychiatrist. The product lacks scientific evidence of effect and has been the subject of controversy and lawsuits. Following a $26 million fine by the U.S. Federal Trade Commission in 2014, the company ceased operations.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kujitokeza kuhesabiwa na kutoa ushirikiano wa kutosha kwa zoezi la Sensa linalotarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti 2022 ikiwa ni sensa ya Sita kufanyika katika Tanzania huru huku akieleza kuwa matokeo ya awali...
Makarani wawili wa sensa wilayani Iringa wameachishwa kazi kwa uzembe.
Mmoja amefukuzwa kwa ulevi uliopindukia na mwingine kwa kupoteza tablet aliyopewa kuhesabia watu
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawachunguza Mtendaji wa Kata ya Sinde, Hawa Kajula na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mlimani, Baita Sanga kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa watahiniwa wa usahili wa kazi ya sensa ya watu na makazi
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani humo, Maghela...
Tumekuwa tukiaminishwa kuwa lengo la sensa ni kuisaidia serikali kupata takwimu zitakazosaidia kugawa keki ya taifa kulingana na idadi ya watu katika sehemu husika. Hiyo inabaki kuwa nadharia tu ila kiuhalisia sio hivyo.
Tumeshuhudia wilaya kama Chato na sehemu nyingine wanakotoka viongozi...
Kwanza maswali ni mengi bila sababu ya msingi halafu mengi ni ya kijinga na kipuuzi. Ingewezekana kabisa kuwa na dodoso lenye maswali machache na ya msingi. Baadhi ya maswali wangeachiwa watendaji wa mitaa/vijiji wakisaidiwa na wenyeviti wao kwani ni ya kifamilia zaidi na yanahitaji utulivu...
Kesho 23.8.2022 ni siku ya kuhesabiwa(sensa) kwa nchi yetu Tanzania, hili ni suala la kibiblia kabisa watu kuhesabiwa wala sio suala la kisiasa.
Namaanisha usichanganye siasa na Sensa, utaratibu wa kuhesabiwa umetajwa kwenye biblia (LK 2:1-5). Wala hujapingwa au kukatazwa.
Nakusihi uonyeshe...
Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea.
Ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo...
Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona.
Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji.
Tablet zinazo...
Wasalamu! nawasalimu wote kwa jina la tozo ziendelee.
Tunaishukuru serikali kwa kusikia ombi letu la kuwapa ajira ya mda vijana wasio na ajira kwenye zoezi la sensa ya watu angalau vijana wachache waliobahatika kupata nafasi hio wataambulia kitu baada ya zoezi kuisha.
Si chini ya sh milioni...
Agosti 23, 2022 tunatarajia kuwa na zoezi la sensa ya watu na makazi. Zoezi muhimu katika mipango ya sera na maendeleo ya Taifa.
Hata hivyo mwaka huu tumeona matangazo yamekuwa mengi sana hadi inaleta maswali kama fedha za umma zimetukima ipasavyo. Uhamasishaji umekuwa mkubwa kama kuna mgomo...
Hizi ni baadhi ya faida ya sensa
kuisaidia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazo saidia mchakato wa utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2025
Kuisaidia Serikali kujua ongezeko la idadi ya watu kwa mgawanyo wa viashiria vyengine ambavyo ni muhimu kwa Usimamizi wa mazingira
Kigawio...
Sensa ni data
Kama ni data kuna uhitaji wa kuwepo kipengele cha kupata mawazo ya wananchi kuhusu katiba mpya na mgombea huru wa uchaguzi wa uraisi .
Siasa zimezidi sana Raisi,wakurugenzi,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya ....kila mahali...siasa.
au siyo ndungu zangu.
Mufti Mkuu amemuambia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa wao kama Waislam wapo tayari kuiombea sensa na kuhesabiwa. Wataiombea Sensa ifanyike vizuri kwa amani na ikamilike ili lengo la serikali liweze kutimia.
Hivyo waislamu wote wapo tayari kuhesabiwa August 23.
Serikali ikitaka isitumie resources nyingi katika kuhamasisha watu washiriki zoezi la sensa, njia rahisi ilikuwa ni kuchomekea swali: mtu anaehssabiwa aseme kama yeye ni Yanga au Simba.
Japo hilo swali sio lengo la sensa, lakini kupitia swali hilo, lengo la sensa lingefanikiwa zaidi- the end...
Mufti mkuu wa Tanzania amewataka waislamu kuiombea sensa leo ijumaa.
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewataka waumini wa Kiislam kote nchini kuitumia Ijumaa ya kesho Agosti 19, 2022 kuomba dua maalum kwa ajili ya kuliombea Taifa na kuiombea siku ya Sensa ya Watu na...
Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne:
1: Dodoso la Jamii
2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi
3: Dodoso la Makundi Maalum
4: Dodoso la Majengo
1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...
Ndugu zangu naomba niwataarifu kuwa Sensa ya Watu na Makazi 2022 itahusisha madodoso manne:
1: Dodoso la Jamii
2: Dodoso la Sensa ya Watu na Makazi
3: Dodoso la Makundi Maalum
4: Dodoso la Majengo
1. Dodoso la Jamii litaanza kwa kumuhoji mwenyekiti au mjumbe wa kitongoji au mtaa juu ya uwepo wa...