septemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Kama umezaliwa mwezi Septemba njoo ujifahamu zaidi hapa

    Leo, hapa acha tuangalie tabia zinazohusishwa na watu waliozaliwa mwezi Septemba. Watu hawa wanajulikana kwa uchangamfu wao na uwezo wa kujichanganya na wengine, na mara nyingi wanatajwa kuwa na marafiki wengi. Pia, ni watu wanaojituma na huwa makini, kuhakikisha wanakamilisha majukumu yao kwa...
  2. Gemini AI

    Madeleka: 'Afande' atakamatwa kama hatofika Mahakamani Septemba 5, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imepanga Septemba 5, 2024 kutoa hati ya ukamatwaji kwa mtu anayetambulika kama Afande, Fatmah Kigondo anayedaiwa kuratibu tukio la ubakwaji na ulawiti wa Binti wa Yombo Dar es Salaam endapo kama hatofika mahakamani. Hatua hiyo inakuja baada ya Mlalamikaji ambaye...
  3. Roving Journalist

    Makamu wa Rais, Dkt. Mpango aagiza ifikapo Septemba Kigoma iwe imeingia kwenye Gridi ya Taifa

    Makamu wa Rais, Dkt Philip Isdor Mpango ameipongeza Wizara ya Nishati kwa usimamizi madhubuti wa miradi mbalimbali ya Sekta ya Nishati hususan miradi ya umeme ambayo inapelekea nchi kuzidi kujiimarisha kiuchumi. Dkt. Mpango ametoa pongezi hizo leo Julai 8, 2024 wakati alipokagua utekelezaji...
  4. Kaka yake shetani

    Waisraeli watano walikamatwa mnamo Septemba 11, 2001 (9/11)

    Waisraeli watano walikamatwa mnamo Septemba 11, 2001 (9/11) baada ya kushukiwa kwa sababu walionekana kusherehekea wakati wa shambulio la kigaidi dhidi ya Marekani. Tukio hili lilizua maswali mengi na nadharia za njama. Waisraeli watano walikamatwa na polisi baada ya kushukiwa kuwa walikuwa...
  5. dogman360

    Wanafunzi wa clinical medicine March intake Wanastahili Haki sawa na Wenzao wa Septemba!"

    Napenda kuchukua fursa hii kuiomba serikali iondoe tofauti kati ya wanafunzi wa kozi ya Clinical Medicine waliomaliza mwezi wa Machi level 6 na wale wa Septemba. Inaonekana ni dhuluma kwa wanafunzi wa Machi kusubiri hadi Agosti ili kufanya mitihani yao ya supplementary wakati wenzao wa Septemba...
  6. Suley2019

    Miili ya Watanzania waliofariki Septemba 2023 kurejeshwa nchini kesho Januari 25, 2024

    MIILI ya Watanzania watatu waliofariki dunia Septemba mwaka jana, kwenye ajali ya moto Afrika Kusini, inatarajiwa kurejeshwa kesho nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, James Bwana, Watanzania hao waliopoteza maisha ni Said Mohames Kisarazo...
  7. Suley2019

    Yanayojiri Ligi Kuu za Ulaya. Ligi ya Uingereza (EPL), Hispania (Laliga), leo Septemba 30, 2023

    Habari, Karibu tupeane updates ya mechi mbalimbali za Ligi za Ligi Kuu za nchi za Ulaya leo Septemba 30, 2023. EPL Aston Villa 6 - 1 Brighton (FT) Bournemouth 0 - 4 Arsenal (FT) Everton 1 - 2 Luton (FT) Man U 0 - 1 Crystal Palace (Cont) New Castle 2 - 0 Burnley (FT) West Ham 2 - 0...
  8. BARD AI

    Septemba 30, Siku ya Kimataifa ya Tafsiri ya Lugha

    Siku ya Kimataifa ya Tafsiri huadhimishwa Septemba 30 kila mwaka ikiwa na lengo la kuwaenzi Wataalamu wa Lugha, kuyaleta Mataifa Pamoja, Kuwezesha Mazungumzo, Maelewano na Ushirikiano, Kuchangia Maendeleo na Kuimarisha Amani na Usalama Duniani. Mei 24, 2017, Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa...
  9. Roving Journalist

    Yaliyojiri miaka 10 ya Mkutano wa Uhuru wa Mtandao Barani Afrika, Septemba 29, 2023

    https://www.youtube.com/watch?v=t1t5uPkjYIw Mkutano wa Uhuru wa Mtandao wa Afrika mwaka 2023 (Forum for Internet Freedom in Africa 2023 – FIFAfrica23) unaoashiria muongo mmoja wa mkusanyiko mkubwa zaidi kuhusu uhuru wa mtandao barani Afrika, unaendelea leo tarehe 29 Septemba ikiwa ni siku ya...
  10. Roving Journalist

    Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY === Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo. "Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
  11. nyboma

    UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF). Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja...
  12. Erythrocyte

    Aliyetenguliwa Julai Temeke arejeshwa Septemba Mtwara

    Tunaposema kwamba CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa, haiwezekani mtu atenguliwe kwenye U DC mwezi July na kuchafuliwa kila kona, halafu huyo huyo arejeshwe tena baada ya miezi miwili tu. Hii maana yake ni kwamba nyie wapiga kelele humu JF mkiongozwa na johnthebaptist na mchumia tumbo Lucas...
  13. J

    Mjadala: 'Namna ya Kutambua na Kuepuka Utapeli Mitandaoni' - Septemba 21, 2023

    Mtandaoni ni mahali ambapo kunaweza kuwa na fursa nyingi; matumizi mazuri ya kimtandao yanaweza kutambua fursa chanya za kufungua faida nyingi zinazopatikana kwenye mazingira haya ya kisasa ya kimtandao. Lakini Mtandaoni kuna masuala ya Utapeli pia. Je, Umewahi kukutana na matukio ya Utapeli...
  14. BARD AI

    Septemba 21, Siku ya Kimataifa ya Amani

    Kila ifikapo Septemba 21 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Amani (IDP), siku iliyotengwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwaajili ya kuimarisha Maadili ya Amani ikiwemo kusitisha Mapigano yote Duniani kwa angalau Saa 24 Kila Mtu anakumbushwa kuchukua hatua kwa Kutambua...
  15. Roving Journalist

    Rais Samia: Nayahakikishia Makampuni yote yaliyowekeza Tanzania usalama wa Mali Biashara zao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua kiwanda cha uzalishaji vioo vya ujenzi cha Saphire Float Glass - Mkuranga Mkoa wa Pwani leo tarehe 20 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/1B1T_KJNXmo?si=HDJfkQXcWklPTGmF === Rais Samia amesema Kiwanda hiki...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia: Ukanda wetu wa Bahari kuu ni mkubwa sana, tunafikiria kujenga Bandari nyingine ya uvuvi Bagamoyo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Bandari ya Uvuvi - Kilwa Masoko leo tarehe 19 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/--l5dcKBzxc?si=TJchCSVp4JNKxdwb === Rais Samia amewasisitiza wananchi waliopata boti za mkopo nafuu...
  17. Roving Journalist

    Siku ya pili ya ziara ya Rais Samia Mkoani Mtwara, awataka viongozi kuwasikliza Wananchi na kutatua kero zao

    Fuatilia mfululizo wa matukio yanayoendelea kwenye siku ya pili ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mkoani Mtwara, leo Septemba 16, 2023. https://www.youtube.com/live/Ngg9uv7xEm0?si=yBBa-JQFSBF4e1QQ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu...
  18. Roving Journalist

    Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, Septemba 15, 2023

    JamiiForums na Haki Mawasiliano wameshirikiana kuandaa mjadala katika kuadhimisha Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani. Kauli Mbiu katika mjadala huu ni “Kuwezesha Kizazi Kijacho”, ambapo Mada husika ni “Demokrasia ya Kidijitali kama Kichocheo cha Utawala Bora” Mjadala unafanyika kwenye...
  19. BARD AI

    Septemba 15, Maadhimisho Siku ya Kimataifa ya Demokrasia

    Siku ya Kimataifa ya Demokrasia huadhimishwa Septemba 15 kila mwaka kwa lengo la kuangazia hali ya Demokrasia duniani kote, Kuhimiza harakati za Kidemokrasia na Kukuza Uhuru, Amani na Haki za Binadamu Siku hii ilianzishwa rasmi na Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2007 na kila mwaka tukio hili...
  20. L

    Haya hapa majina ya ajira Mpya za Afya Septemba 2023

    Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya waliowasilisha maombi katika kipindi cha mwezi wa April, 2023 kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika kwa awamu ya tatu. Awamu hii ni kwa...
Back
Top Bottom