septemba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Bunge la 12: Mkutano wa 8 kikao cha pili, Septemba 14, 2022

    TUME YA KUCHUNGUZA MAUAJI YAKAMILISHA KAZI YAKABIDHI MAJIBU SERIKALINI Tume iliyoundwa kuchunguza ongezeko la mauaji Nchini na kutoa mapendekezo imekamilisha kazi na imewasilisha majibu Serikalini. Imeelezwa majibu yanafanyiwa kazi na kukiwa na umuhimu wa kufikisha kwa Wananchi Serikali...
  2. JanguKamaJangu

    Dkt. Mkenda azindua mradi wa HEET utakaonufaisha vyuo 14 Mradi una thamani ya Tsh. Bilioni 972. Sasa Elimu ya Tanzania kuwa bora

    Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akizindua Mradi wa HEET wa miaka mitano uliolenga kuboresha elimu na kunufaisha vyuo 14, uzinduzi umefanyika leo Septemba 13, 2022, Dar es Salaam. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali itahakikisha...
  3. Roving Journalist

    Ruto: Tutatoa bajeti kubwa kwa Mahakama ili isimamie Demokrasia, Uhuru na Haki

    Kutoka uwanja wa Kasarani Septemba 13, 2022 Rigathi Gachagula - Naibu Rais Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagula amesema kuwa nchi hiyo haitaingilia uhuru wa watu katika kuwasiliana. Amewataka wakenya kuzungumza kwa uwazi pasipo kuogopa kuwa Serikali itaingilia mawasilano yao. Aidha...
  4. Roving Journalist

    Waziri Masauni: Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwa Wafungwa

    Waziri Masauni: Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwa Wafungwa Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Yussuf Masauni amesema mchakato wa haki ya faragha kwa wafungwa kukutana na wenza wao utaanza kutolewa pale ambapo mifumo ya kisheria na miundombinu ya magereza itakapokidhi kutolewa kwa haki hiyo...
  5. JanguKamaJangu

    CAF: Yanga, Simba zipo uwanjani leo Septemba 10, 2022

    Raundi ya Kwanza ya Michuano ya Afrika ngazi ya klabu inatarajiwa kuanza wikiendi hii ambapo timu za Tanzania pia zitakuwa uwanjani ndani na nje ya Nchi. Leo Septemba 10, 2022, Yanga itavaana na Zalan ya Sudani Kusini kwenye Uwanja wa Mkapa, Simba ipo Malawi kucheza dhidi ya Nyasa Big Bullets...
  6. JanguKamaJangu

    Marufuku Machinga kuwapo mtaani kuanzia Septemba 24, 2022

    Katika kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwapanga wafanyabiashara wadogo maarufu machinga katika maeneo maalum, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imesema ifikapo Septemba 24 mwaka huu, hakuna machinga atakayeendelea kubaki mtaani baada ya kukamilika ujenzi wa mradi wa soko la wazi...
  7. JanguKamaJangu

    Watoto wa Mfalme Zumaridi wafika Mahakamani, leo Septemba 9, 2022

    Watoto wa mfalme Zumaridi hii leo Septemba 9, 2022, wamefika Mahakamani kufuatilia kesi ya mama yao. Zumaridi na wafuasi wake nane wanakabiliwa na kesi ya kujeruhiwa askari polisi na kuwazuia kutekeleza majukumu yao na inaendelea na ushahidi. Source: EATV Pia soma: Mfalme Zumaridi aonesha...
  8. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC). Asisitiza Vijana kufundishwa aina zote tatu za vita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), leo tarehe 08 Septemba, 2022 jijini Dar es Salaam. Mkuu wa majeshi ya ulinzi (CDF) Jacob John Nkunda amesema dhamira ya kuanzisha chuo cha Taifa...
  9. Roving Journalist

    Bashungwa: Bilioni 55.57 kujenga nyumba za walimu kwenye maeneo yasiyo fikika kirahisi

    Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa ameelezea mafaniko ya Serikali ya awamu ya sita katika kwenye kada ya elumu ambapo amesema mwaka 2021/22 walimu wapya 24749 wameajiriwa huku malimbikizo ya mishahara pamoja na ulipaji wa pesa za pensheni kwa wastafu vikifanyika kwa wakati. Pamoja na...
  10. BARD AI

    Kenya 2022 Hatua na Mchakato wa kuapishwa kwa Ruto Septemba 13, 2022

    Naibu Rais William Ruto anatarajia kuapishwa kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Juu zaidi wa kuidhinisha ushindi wa uchaguzi huo. Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya ya 2010, Ruto ataapishwa mnamo Jumanne, Agosti 13 katika uwanja wa Kasarani. Kifungu cha 141 kuhusu...
  11. Lady Whistledown

    Septemba 5, Siku ya Kimataifa ya Hisani Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Hisani inaadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Septemba na iliidhinishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo 2012 Siku hii ilianzishwa kwa madhumuni ya kuhamasisha watu, mashirika yasiyo ya kiserikali, na wadau kote ulimwenguni kusaidia wengine kupitia shughuli za kujitolea...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi, Septemba 3, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kizimkazi (Kizimkazi Day) leo tarehe 03 Septemba, 2022.
  13. Replica

    Vodacom waonesha ukinara wao, waleta 5G nchini

    Kampuni ya simu ya Vodacom wamefanya kweli, leo wametambulisha teknolojia ya 5G nchini na kuwa kampuni pekee mpaka sasa nchini yenye 5G. Nimefurahi sana, tumekuwa na simu za 5G mpaka zinaelekea kuchakaa tumeshindwa kuziutilize kwenye eneo hilo. Muhimu mtandao uwe reliable na vifurushi vya...
  14. Roving Journalist

    Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
  15. Lady Whistledown

    Kilimanjaro: Mahakama yagoma kuwaachia huru Sabaya na wenzake, kesi yaahirishwa hadi Septemba 11

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro ametupilia mbali ombi la upande wa utetezi walilolitoa Agusti 12, 2022 wakiomba mahakama hiyo iwaachie huru, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne na upelelezi uendelee wakiwa huru. Ombi hilo limetupiliwa mbali...
  16. BARD AI

    LATRA: Mabasi yasiyotumia tiketi mtandao mwisho Septemba 1

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa...
  17. JanguKamaJangu

    Apple yadaiwa ipo njiani kuzindua simu ya iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022

    Kampuni ya Apple Inc. inatarajiwa kuzindua toleo la iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022. Taarifa za awali zinaeleza kuwa uzinduzi huo utaendana na bidhaa nyingine kadhaa za kampuni hiyo Apple Targets Sept. 7 for iPhone 14 Launch in Flurry of New Devices Apple Inc. is aiming to hold a launch...
  18. Donnie Charlie

    Kuanzia Septemba 2022 TANESCO itaanza kuwaunganishia umeme wateja wapya kwa kutumia Mita Janja

    Mita janja kuanza kuunganishiwa wateja Septemba SERIKALI imesema kuanzia mwezi Septemba itaanza kuwaunganishia umeme wateja wapya kwa kutumia Mita Janja ili mkusaidia kununua umeme akiwa safarini bila kulazimika kuingiza kwenye mita yake. Waziri wa Nishati, Januari Makamba. Waziri wa Nishati...
  19. Lady Whistledown

    Serikali yaagiza kufumuliwa kwa safu ya utendaji ya MSD kufikia Septemba 30

    Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu ameipa bodi mpya ya wadhamini ya Bohari ya Dawa (MSD)hadi ifikapo September 30 bohari hiyo iwe imebadilishwa kiutendaji na kurudishwa kwa mifumo ya tehama iliyosaidia kudhibiti mianya ya ubadhirifu ndani ya taasisi hiyo. “Tumeondoa wale wakuu wa Idara lakini...
  20. Analogia Malenga

    Wakenya wanaotaka kutembelea Ulaya kusubiri hadi Septemba, VISA zimeisha

    VISA za kuingia nchi za 26 za Ulaya zimeisha hivyo wakenya waliokuwa wanataka kuingia nchi hizo watasubiri hadi Septemba 2022. VISA za Schengen ina nguvu za kumfanya mtu atembelee nchi yoyote ya Umoja wa Ulaya kwa muda wa miezi mitatu. COVID-19 yatajwa kuwa sababu ya VISA za Schengen kuadimika...
Back
Top Bottom