Tumebishana sana kuhusu alichokifanya bwana yule kule kwa pilato tuangalie sera ya faragha ya kampuni inasemaje kuhusu kutunza siri za wateja pitia hiyo sera halafu tujadiri kama sera ndio mbovu au yeye bwana wakili kakosea au hakufuata utaratibu wa kutoa data za mteja .
MIC TANZANIA PUBLIC...
Ndugu Laurence Mafuru Ambae amewahi kua mkurugenzi Mkuu wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ameteuliwa kua kamishna wa Sera wizara ya fedha.
Hakuna mahala uteuzi huo umetangazwa ila nimebahatika kuona tangazo kutoka kwenye taasisi yake ya Bankable Institute kwamba amejiuzuru majukumu ya mshirika...
Kuna baadhi ya makamanda wameniambia sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya Chadema na kwamba Hayati Magufuli aliikopa kutoka Ufipa akaitia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM.
Mimi naamini hii ni sera ya CCM na imekuwepo tangia mzee Wassira akiwa ndiye mratibu wa ilani ya chama.
Wanaojua zaidi...
Kwa uchache hapa nitaweka baadhi ya sera za kudumu za CHADEMA ambazo zinawagusa Diaspora moja kwa moja. Sera hizi zimekuwepo wakati wote toka CHADEMA ishike kasi hapa Tanzania na zilikuwa sehemu ya ilani ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2005, 2010, 2015 na 2020.
1. URAIA PACHA
Chadema itaruhusu...
Habari wadau...!
Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel.
Karibuni tujadili.
Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA. Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu.
Ni hivi,
"CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana".
Nimeyasema haya kwasababu alitaka mjenge naye uchumi lakini...
RMB Bank wanasema Tanzania haikuvutia sana kuwekeza|Uwekezaji FY2018|19|20 lakini imesonga mbele,today is within "The Top Ten list" tutarajieni mafuriko ya wawekezaji
" Hakuna kama Samia "
Jarida maarufu barani Africa na duniani la" Business Insider Africa "limechapisha taarifa toka benki ya...
Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya urais walikuwa ni JP. Magufuli na E.Lowassa,
Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake kuu ilikuwa ni kutoa elimu bure kwa wote mpaka chuo kikuu (ELIMU, ELIMU, ELIMU), kwa elimu yetu hii...
SERA ZA MAREKANI NA CHINA: CHANGU CHANGU CHAKO CHANGU,UKANDA MMOJA NJIA MOJA (PROTECTIONISM POLICY)
Leo12:25hrs 26/09/2021
Kila mtu analinda cha kwake sisi tu huku Tanzania tuna dharau vya kwetu hata panadol tunataka za kenya tukienda dukani,Watanzania tunadharau lugha yetu ya Kiswahili lakini...
Kwa kifupi awamu ya 5 ilisimamia sera zetu wapinzani tulizozisimamia kwa muda mrefu tofauti iliyokuwepo ni kwamba tofauti za kisiasa zilifanya awamu hiyo itushambulie na sisi wapinzani.
Ni wakati sasa kwa wapinzani kurejea katika sera zetu za kumkomboa Mtanzania mnyonge kwa kusimamia rasiliamli...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Sera ya bodi ya mikopo ya Elimu ya juu ( HESLB ) dhidi ya wanaopewa mkopo 100% ni wale tu wanachukua masomo ya Sayansi kama Udaktari,
Wale wanaochukua masomo yasiyo ya Sayansi hupewa mkopo chini 100%
Mambo ni tofauti kwa awamu ya Sita chini ya Rais ya Samia...
Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya Marekani imetekeleza sera ngumu dhidi ya China, na kusababisha kuzorota kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Jarida la kisiasa na kidiplomasia la Marekani “Maslahi ya Kitaifa” limetoa makala, inayosema serikali ya Marekani inapaswa kuzingatia zaidi...
Hili ni Azimio la October mwaka jana kupinga sera ya sasa ya covid. Essentially, linasema, wazee ndio wako at risk, kwa hiyo wasichanjwe wao peke yao.
Wauguzi wengi wanaipinga hii Sera ya sasa. Yupo,kwa mfano, Dr. Sucharit Bhakdi,virologist,anayesema"tumum uke, madaktari wanaoipinga hii sera ya...
Kuna chama nchini kimekua kikitumiwa kugawa Watanzania kijiografia na kitabaka. Nasema kinatumiwa kwa sababu umoja wa watanzania umekua kikwazo kikubwa kwa wale wenye nia ya kuligawa taifa kwa mizozo ili wamiliki kirasi uchumi wake.
Nchi kama Ethiopia imehangaika miaka mingi kujenga uzalendo wa...
Utawala wa Rais Joe Biden umesema utaongeza muda wa Sera ya "Title 42" iliyokuwepo katika Utawala wa Donald Trump, ambayo inaruhusu Marekani kufukuza wahamiaji wasio na Hati.
Uamuzi huo unakuja wakati Wahamiaji wakiendelea kumiminika katika Mpaka wa Marekani ikielezwa 210,000 waliripotiwa mwezi...
Kwa wale wasiyoelewa wala kuona itikadi za vyama ingetosha tu kumsikiliza mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ili kujua CHADEMA wanapigania nini.
Ukisikia jinsi Mbowe anamponda Magufuli mtu ambaye kabla ya kuwa Rais wa JMT kwa miaka 20 amekuwa anasimamia ujenzi wa miundombinu ya barabara nchini kwa...
Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi.
Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%.
Binafsi napongeza hizi hatua za...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis akiongea na wananchi na viongozi Wilayani Kibondo
Taarifa kwamba huko mkoani Kigoma, kila siku ya miezi sita iliyopita, angalau wanafunzi 5 walio chini ya miaka 18 walikuwa wanafanya ngono ya jenitalia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.