serengeti

  1. U

    Pre GE2025 Mara: Jimbo la uchaguzi Serengeti kugawanywa kuwa majimbo mawili, Serengeti Mashariki na Serengeti magharibi

    Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni Serengeti Mashariki na Serengeti Magharibi. Mkuu wa Mkoa wa Mara Evans Mtambi aliongoza kikao...
  2. The Watchman

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii afanya ziara ya kushtukiza Serengeti kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa kwa wageni

    Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa Serengeti amefanya ziara ya kushtukiza katika Lango la Nabi la Hifadhi ya Taifa Serengeti Kisha kukagua miundombinu pamoja na huduma...
  3. The Watchman

    Mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege Serengeti wasainiwa

    Mkataba wa Ujenzi wa Kiwanja cha Kimataifa cha Ndege Wilayani Serengeti umesainiwa Februari 27,2025 Jijini Dar Es Salaam Utekelekezaji wa Mradi huo utasimamiwa Mhandisi Mshauri na Kampuni Binafsi ya 7-Engineering kwa kushirikana na Intairplan GMBH na Project Plus (T) LTD, kwa gharama za Sh 1.3...
  4. OC-CID

    Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  5. Prof_Adventure_guide

    Discover the Magic of the Serengeti: A Journey into Nature's Heart

    Visiting Serengeti National Park (Hifadhi ya Kitaifa ya Serengeti) is an adventure that captures the roho (spirit) of Africa. This majestic park offers breathtaking landscapes (mandhari) and is home to the famous Great Migration (Uhamiaji Mkubwa), where millions of wildebeest (punda milia)...
  6. R

    Nauza crate 10 tupu za bia mchanganyiko TBL na Serengeti

    Anaye hitaji niko Tabata Kisukuru kwa Swai. Bei sh 9,000 @ crate mawasiliano 0718219523
  7. S

    Wale nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko wale mabwana waliokutana Idodomia na kufanya maamuzi kama watu waliokatwa vichwa

    Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni. Yaani nyumbu pamoja na ujinga wao wote, wakitaka kuvuka mto mara kwenda upande wa pili, walau hujaribu kutafakari kidogo juu...
  8. Prof_Adventure_guide

    Kisa: Changamoto ambayo nimewahi kukumbana nayo katika hifadhi ya taifa Serengeti

    Karibu kwenye safari yetu ya kusisimua ya Serengeti, ambako mandhari ya pori ni ya kupendeza na wanyama wanaotembea kwa majivuno chini ya jua kali! Mimi ndiye mwongozo wako, na leo tunaendesha Land Cruiser ya kuvutia—model GX 200, yenye injini ya Turbo Diesel 4.5L V8. Ni gari linayojulikana kwa...
  9. Nandagala One

    Freeman Mbowe kutoka anguko la Simba "BOB JUNIOR" wa hifadhi ya Serengeti

    Wakuu Salam. Bob Junior Simba Mtawala wa Serengeti hifadhi ya Serengeti ambaye ambaye alitawala kwa miaongo isiyopingua mitatu. Bob junior alivuma kwa utawala wa kibabe ndani ya hifadhi yeye na vijana wa familia yake. Alipendelea utawala wa kiimla, na Kujiona Serengeti ni yeye na yeye...
  10. Prof_Adventure_guide

    Doscover the wonders of Tanzania

    DISCOVER THE WONDERS OF TANZANIA The Serengeti National Park is a world-renowned safari destination known for its vast grasslands and diverse wildlife, including the annual Great Migration of millions of animals. Meanwhile, the Ngorongoro Crater is a UNESCO World Heritage site, featuring a...
  11. F

    Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

    Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi, Mkapa au Kikwete? https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/sgr-expansion-fourth-emu-train-passes-final-tests-4875584
  12. Damaso

    Meli ya MV Serengeti yazama upande

    Meli ya MV Serengeti iliyokuwa imefungwa katika gati ya bandari ya Mwanza Kusini imezama upande mmoja wa nyuma majini usiku wa kuamkia leo Desemba 27, 2024. Taarifa hiyo imetolewa na Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO)na kueleza kuwa MV Serengeti ilisimama kufanya safari zake mwaka 2016 wakati...
  13. Doctor Mama Amon

    Dkt. Irene wa NHIF kaanza mwaka 2025 kwa kishindo: Kabuni vifurushi vya Serengeti (huduma 1,800), Ngorongoro (huduma 440), na Toto Afya Kadi karudisha

    DR. IRENE C. ISAKA, DG WA NHIF Hadi mwishoni mwa mwaka 2021 ni 15% ya Watanzania walikuwa wanapokea huduma za tiba kwa njia ya bima ya afya. Takwimu hizi zilijumuisha 8% kupitia taasisi ya NHIF, 6% kupitia taasisi ya iCHF, na 1.3% kupitia mifuko ya bima inayoendeshwa na watu binafsi. Sasa...
  14. Prof_Adventure_guide

    Njoo utembelee na ujue historia ya Serengeti and Ngorongoro crater safari ya kutwa.

    Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area. Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
  15. Ndagullachrles

    TANAPA yapokea mitambo na malori kuboresha miundombinu ya hifadhi za taifa Serengeti na Nyerere zenye thamani ya bil.6.4

    Dar es salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewakabidhi TANAPA Malori matano na mitambo mitano yenye thamani ya Dola milioni 2.4 sawa na shilingi Bilioni 6.4 za Kitanzania, tukio hilo limefanyika leo Disemba 2, 2024 katika Ukumbi wa Wakala wa Huduma za Misitu...
  16. Magical power

    Kama umewahi sikia wimbo wa msanii billnas unaosema "Zingatia maokoto" basi ukifika serengeti national park huyu jamaa ndiye huzingatia maokoto😜😜😜

    KAMA UMEWAHI SIKIA WIMBO WA MSANII BILLNAS UNAOSEMA "ZINGATIA MAOKOTO" BASI UKIFIKA SERENGETI NATIONAL PARK HUYU JAMAA NDIYE HUZINGATIA MAOKOTO😜😜😜😜😜😜😜
  17. Waufukweni

    LGE2024 CHADEMA Serengeti wafunguka walivyofanyiwa, rufaa zagonga mwamba

    Baadhi ya wagombea nafasi za uongozi ndani ya CHADEMA wilayani Serengeti wameeleza changamoto walizokumbana nazo katika harakati zao za kisiasa. Wameeleza kuwa rufaa walizowasilisha kupinga matukio hayo zimekataliwa, wakidai kuwa haki haikutendeka. Hata hivyo, wamesisitiza kuendelea kupigania...
  18. K

    LGE2024 Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Maulid Madeni: Wagombea wa CHADEMA walioenguliwa hawakujiandikisha kupiga kura

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo. Moja ya eneo...
  19. Heparin

    LGE2024 Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Inadaiwa wagombea wengi wa CHADEMA Jimbo la Serengeti wameenguliwa

    Inadaiwa wagombea wote wa CHADEMA Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameenguliwa. Tutarajie ya mwaka 2019? Kupata habari za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali...
  20. Ndagullachrles

    Wafanyakazi Bunge la Marekani ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti

    Serengeti. Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea Ujumbe wa Wafanyakazi wa Bunge la Marekani ukiongozwa na Bi. Courtney Butcher, ambao wamefanya ziara nchini kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa Serengeti kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba 2024. Dhumuni la ziara hiyo ya miadi ni kujadili namna...
Back
Top Bottom