Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameizawadia timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kiasi cha Sh30 milioni baada ya kutwaa ubingwa wa Unaf huko Tunisia wiki iliyopita.
Fedha hizo zimekabidhiwa Septemba 11, 2024 na Waziri wa Utamaduni...
TANAPA yapongezwa kwa hatua zake za kuboresha barabara za Serengeti kwa ufanisi zaidi, hatua ambazo zinaonyesha kujitolea kwake katika kuhakikisha utunzaji wa mazingira na maendeleo ya sekta ya utalii.
Wadau wa utalii walikuwa na maombi ya muda mrefu kwa serikali kujenga barabara zenye tabaka...
Habari GTs,
Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza.
Naomba kuwasilisha.
Hii video inamuonyesha mztaliii Ari Smith kutoka marekani akijifunza utamaduni wa wamasai akiwa akatika hifadhi zetu. Utalii wa vitu pekee hautoshi, unahitajika pia utalii wa utamaduni. Morroco ni nchi ambayo inapokea watalii wengi hawana mbuga lakini wanavutiwa na utamaduni wao...
Mdau wa JamiiForums.com ametoa maoni katika taarifa inayohusu ujenzi wa Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) ambapo ameelezea changamoto ya mfumo wa ukataji tiketi.
Ujenzi wa Daraja la Magufuli wafikia Asilimia 90
Hii mada inawahusu wanywaji tu.
Tangia Serengeti ibadilishe bia ya Serengeti larger yenye makaratasi meusu na kutuletea nyingine yenye makaratasi ya njano sio tu imebadilishwa meoneko Bali pia na ladha imebadilika.
Ladha mpya sio tu haina msiaimko Bali inakera naomba Serengeti wanrudishe...
Heshima sana wanajamvi,
"Serengeti shall never die" Huo ni usemi wa enzi na enzi ukitumiwa hasa na watafiti wa hifadhi za mazingira na wanyama waliotumia muda mwingikufanya tafiti mbali mbali za wanyama na mazingira yao.
Leo wakati namaliza ziara au ukipenda utalii niliotumia siku kadhaa...
Kunachangamoto ya moto imekuwepo Serengeti mwezi wote wa sita na sasa hivi inaendelea hasa maeneo ya North(Kogatende) wakati huu ambapo ndio msimu wa utalii upo juu (peak)
Tunajua huwa TANAPA wanachoma kila mwaka mwezi wa tatu hadi wa tano ila baada ya mvua kuendelea hadi msimu wa utalii...
Aisee hii bia ya Serengeti nilikuwa naipenda sana lakini Kwa Sasa Wacha niipe talaka tatu wamekuja na sticker la hovyo kabisa rangi mbaya sana utafikiri ya chama kile chakavu mtakosa mapato msiporudisha sticker ya zamani kiwanda chenu kinaenda kufa kifo Cha Mende
Waambieni huko Chang'ombe kiwandani Serengeti beer, sticker mpya za chupa za beer yenu hazipendezi.
Sasa hivi chupa hiyo ya sticker ya njano utafikiri kifungashio cha togwa!
Kiwanda cha Serengeti warudishe sticker za zamani, ama sivyo narudi kunywa Mtikila!
Kwa heshima kubwa naomba Serengeti mrudishe logo ya zamani. Hii mpya ni mbaya sana.
Imefanana sana Balimi na hichi kitu sijakipenda. Sijui nani alifanya huu utafiti na kuamua kuja na hii aisee ila ni mbaya.
Acha nyeusi ibaki nyeusi na kijani ibaki kijani
Naomba nende kwenye mada moja kwa moja.
Leo Tarehe 27 febr
Mh.Khasim Majaliwa, (Mb)na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara wilaya ya Serengeti.
Katika ziara hiyo, Mh Waziri Mkuu alifanya kikao na watumishi wa Umma, Katika kikao hicho, baadhi ya viongozi wamejikuta...
Siku zote tumesema humu na kwingineko kwamba Nchini Tanzania , hakuna chama cha siasa kinachoweza kuizidi CHADEMA kwa wanachama (Pitieni tovuti ya CHADEMA DIGITAL)
sasa hapa chini ni Mkutano Maalum wa Chama hicho Wilaya ya Serengeti , hebu jionee mwenyewe .
Kamishna Kuji atoa maelekezo mahususi Serengeti
Na Edmund Salaho/Serengeti.
Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA Juma Kuji leo amefanya ziara ya kukagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti na kuiagiza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Serengeti kushughulikia mara moja maeneo korofi ya...
Position: Warehouse Co-Ordinator
Worker Type: Regular
Primary Location: Moshi
Purpose of Role:
To ensure that inbound and outbound inventory SAP/WMS postings happen real time and are support by the right documentation for a specific warehouse. They system should always reflect what is on the...
Position: Technical Operator-Packaging
Worker Type : Regular
Primary Location: Moshi
Top accountabilities
Adheres to Environment, Health and Safety procedures and standards
Performs equipment shutdowns according to the SOP
Run the equipment at the rated speed
Capture data and update on...
Position: Area Business Development Manager
Worker Type: Regular
Primary Location: Dodoma
Scope
The ABDM role will be critical to the overall SBL strategies in developing and driving our trade & and distribution/coverage strategy as well as operational excellence in achieving 100% distribution...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.