Kama ni mfuatiliaji wa series za mablack america basi lazima utakuwa unaifaham series ya power ambayo ilifanya vizuri sana kwenye soko la filam kutokana na stori yake ilivyo na uhusika wa waigizaji kwenye ile series.
Kifo cha bwana Ghost kama mhusika mkuu kiliacha majonzi sana kwa watazamaji na...
Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake.
Stori inamhusu binti ambaye anataka kuukomboa ufalme wa ukoo wao ambao ulipokonywa kwa mda mrefu lakin kumbe pia...
My list
- Snowfall - Alton alikuwa teja lakini familia yake ikamkubali upya, matokeo yake akaanza kusnitch, huyu mzee hana shukrani na kasababisha anguko kubwa sana la Franklin
- Prison Break - (T BAG ) aiseee !! huyu jamaa ana tamaa vibaya mno ukiongeza na ukatili wake kachangia sehemu...
Bilionea ambaye ni mgonjwa mahututi anafanyiwa upasuaji mkali wa kuhamishia fahamu zake kwenye mwili wa kijana mwenye afya njema. Walakini, hivi karibuni anagundua kuwa mwili wake mpya unakuja na historia yake
Mwandishi Eddie Morra ana uhakika kwamba ana mustakabali mbaya baada ya kupoteza...
Hizi ni picha za mtandaoni.. Hivyo si lazima uagize nje kwa gharama kubwa ama uingie dukani
Ukipata vipimo sahihi kulingana na ukubwa wako na ukawapata mafundi mahiri basi unaweza kupendezesha sebule yako kea gharama nafuu sana
Wakuu nimeirudia tena series ya Prison Break.
Kwenye season 2 anaibuka Special Agent wa FBI, Alexander Mahone kusaidia zoezi la kuwakamata wafungwa 8 waliotoroka gereza la Fox River.
Jamaa alikuwa na akili na daima alikuwa mbele ya muda sana. Nadiriki kusema jamaa alimzidi Michael Scofield...
Wapenzi na wadau wa Samsung.
Jana usiku Wakorea walitoa vitu vyao vutatu vya mwaka 2025, Samsung Galaxy S25, S25+ na S25 Ultra.
Ya kuongea ni machache kwasababu ni upgrade ndogo kutoka S24 series.
Samsung pia walituonesha Galaxy S25 Slim aka S25 Edge ambayo itazinduliwa hivi karibuni...
Hii series nasema ndiyo best kabisa imeigiza maisha watu wanavyokimbizana na hatima zao Kwa tamaa ya pesa
Ila kinachoniumiza kichwa hii series Kila mtu ALIESHIRIKI amechezewa mchezo 😁hata UKIITAZAMA TU umechezewa mchezo pia
Ukimuhadisia mtu ndiyo kabisa utaona tu unahadisia ujinga kila tukio...
Niliona juzi kati kunaa mdau anaulizia gari ambalo akiendesha watu wajue amejipata.
Sasa leo nikawa nafanya comparison ya kutaka kuagiza magari mawili, yote ya mwaka mmoja 2006.
BMW 3 series, 2006 generation ya E90, model 320i, ikiwa mpya 2006 iliuzwa $40,000 na leo naweza ipata kwa $930...
Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute.
Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series.
Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad.
Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni,
Natanguliza shukrani
The Day of the Jackal
2024 ‧ Thriller ‧ 1 season
Muhtasari
Mshambulizi maarufu, Jackal, anapokuwa akitafuta kurudi kwa Nuria, anakuwa miongoni mwa wahalifu wanaotafutwa, huku Bianca akipewa fursa ya mwisho kumleta kwa haki. Katika mfululizo huu wa vipindi, Jackal anapambana na mafanikio ya kazi...
My Top 5 list ya Movies of All Time ambazo baadhi sio Common Zenye ;
1. Akili nyingi
2. Haziko Predictable
3. Zina Action Zenye quality nzuri (sio kama za kihindi😂)
4. Visa na matukio ya Kusisimua well planned scenes
5. Siasa pamoja na Visa vya Mapenzi kidogo (Hakuna Ushoga wala Usagaji) na...
Wadau wa series na single movie kwa upande wangu Mimi ni mpenzi wa historical series na historical single movies ..
Kama kuna unazozifaham za mwaka 2023-2024 unaweza list ili ambao hatuja watch nasisi tupate uhondo
Wanasayansi walipokuwa wakipanga sifa za wanyama mbalimbali , ngiri alikuwa kwenye mashimo yake kwa hiyo waliishia kuwapa mataji wanyama wasio na sifa.
Ufalme wa msituni ulienda kwa simba
Umahiri wa kasi zaidi ukaenda kwa duma ...lakini sifa zote mbili ni za ngiri... Sifa ya tatu ya ngiri...
ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACC.. INA CHANNEL ZOTE ZA DSTV ZA MICHEZO, BURUDANI, HABARI, MUSIC.. SUPER SPORT ZOTE LIVE.. KAMA UNA INTERNET NYUMBANI AU OFISINI HAUNA HAJA YA DIKODA WALA MALIPO YA MWISHO WA MWEZI.. channel zaid ya 9000+
PIA KUNA MOVIE ZOTE NA SERIES ZOTE FULL HD MPAKA 4K RESOLUTION...
Kama una muda na wewe ni mdau wa movie au series tazama hii series ya From ambayo kwasasa tupo Season 3.
Ni moja ya tambala kali sana. Watu mbalimbali kwa nyakati tofauti wakiwa na magari yao wanapotea.
Ukifika katika hilo eneo huwezi toka tena, Utazunguka na barabara mpaka umalize mafuta...
Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya iPhone 16 na Apple Watch Series 10 kutoka Apple kutokana na kampuni hiyo kushindwa kutimiza ahadi za uwekezaji. Serikali ya Indonesia imesema kuwa Apple haijatekeleza ahadi zake za kifedha, jambo lililosababisha uamuzi huo.
Kampuni hiyo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.