Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu.
Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood ambayo ina packages zote hizo kwa Mb chache, nimejaribu kuingia fzmovies ila spidi yake hairidhishi...
Honda nao hawajachelewa party ya EV, tushaona Honda Prologue, N-VAN e na Ye Series EV, sasa wameleta all new 0 Series Saloon.
Kwa sasa wameitangaza tu prototype, mass production haijaanza ila soon itaanza.
Itakua na Level 3 ADAS, air suspension, na mazaga kibao.
Kilichovutia wengi zaidi ni...
Naam wale wapenzi wa series ya from Leo season 3 imeshatoka online link kama uliipenda msimu wa kwanza na wapili huu ni msimu wa tatu je wale viumbe wataendelee kisumbua je Boyd Steven atafanikiwa kuwakomboa wenzie je Tabitha atafanya Nini ili kuwasaidia wenzie walio potea
Cc rip faza_nelly Mr Q...
Nimeangalia hii series ya wenzetu wa KOREA Nimegundua yafuatayo
1. Wenzetu wana wekeza sana kwenye teknolojia na futuristic/ kutafuta solution ya maisha ya baadae na kugundua teknolojiaa mpya .
2. Wenzetu hawaamini sana kwenye DINI bali ethics (maadili) kwao kusema uongo, kuiba, kudanganya na...
Wakuu!
Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina specifications kubwa chini kidooogo ya Note Series, S series na Z Series.
Sasa ukiwa unataka kununua...
Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September!
Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16.
Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote...
Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?
Kuna baadhi ya filamu na tamthilia ambazo, hata baada ya kuzitazama mara kadhaa, bado zina nguvu ya kutuvuta tena na tena. Zina uwezo wa kuamsha hisia, kutufurahisha, na kutufanya tuzihusudu kwa kila mara tunapozitazama...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na...
Niliwahi sema kuwa The Sopranos ndiyo series kali ya muda wote, nilikuwa sijaangalia The Wire. Hakuna series kali kama hii. Ni kama unaangalia maisha halisi ya watu. Hii series hadi vyuoni inafundishwa.
Kama mdau wa filamu na series toka mataifa ya nje kama vile USA,CHINA,INDIA nk hofu ondoa.
Kama kuna yoyote unayoitafuta karibu sasa utaipa kwa bei ya kuchangia tu kidogo, wewe tu nitajie list ya movie zote unazohitaji, mfano unahitaji series 5 zote zenye season kumi kumi zote usigope idadi...
Wakuu habar za jion
Kwa wale wapenzi series Kuna series inaitwa silo, hii series mm nimefanikiwa kuiona season 1. Hii series ni nzuri sana, Sasa nataka kufahamu Kama season ya 2 imetoka au la.
THE BOYS drama ya kimarekani inayohusisha masuperheros au (Mashujaa kwa waswahili). Drama hii inaelezea Superheroes wenye ushawishi kwa umma waliyejiwekeza katika (siasa) wanasiasa, na wakati mwingine hata kuheshimiwa kama miungu.
Lakini hapohapo kuna kundi la ambao wanatumia nguvu zao kwa...
Dr King (M.L.King Jr) alishawahi nukuliwa akisema “ Not everyone can be FAMOUS , but everyone can be GREAT. Japo hotuba yake ilikuwa yenye mlengo wa kisiasa, lakini kupitia nukuu hii alikuwa anajaribu kutonesha kuwa kuna utofauti kati ya Umaarufu(Fame) na ubora(Greatness).
Kwa lugha nyepesi...
Habari mdau wa filamu na series toka mataifa ya nje kama vile USA,CHINA,INDIA nk hofu ondoa.
Kama kuna yoyote unayoitafuta karibu sasa utaipa kwa bei ya kuchangia bando.Tujuze id yake ya IMDb au jina na mwaka eakutoka au poster yake.
Huduma nikwa Telegram na Gdrive kupitia Whatsapp link...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.