Nina kiasi cha mahusiano ya kimapenzi ya miaka 10 ambacho nikipata utaalamu wa kuandika itakuwa series nzuri sana. Naomba muongozo kwa wenye uelewa katika anga hii. Kisa kiko hivi
1. Kumfahamu mpenzi wangu akiwa mke wa rafiki yangu
2. Tukaishi maisha kama family friends mimi nina family na...
Kuna wakati unaweza kusoma kitu ukabaki unajiuliza mambo mengi sana juu ya mwandishi wa kitu hicho. Aliwaza nini,alipata wapi hii stori,ana akili yenye uwezo gani hadi kuandika kitu hiki. Basi ndio maswali mengi ambayo hua najiuliza juu ya huyu George Raymond Martin kutokana na uandishi wake wa...
Wadau habari za maujukumu,
kama kuna wapenzi wa Naigerian au African movies zenye stori nzuri iliyosimama na kuhamasisha kuangalia hata kuinuka kwenda toilet unashindwa tutajiane machimbo ya kuangalia na sisi. hii inahusu movie hata za kizungu na black american mf. movie ya Nobody is fool yumo...
Wakuu nataka kununua simu ya Samsung.
Sasa kuna hizi A series na J series. Je, ipi ni mzuri kwa budget ya shilingi laki 6 hadi 8?
Au hata S series pia ipi nzuri?
Hii ni kwa wale wapenzi wa Series movies.
Netflix wanakuja na series kali inayokwenda kwa jina la Queen Sono
-------------------------------
Queen Sono is a South African crime drama web television series created by Kagiso Lediga that premiered on Netflix on February 28, 2020. The series...
Nimeona kwenye matangazo mengi hii serires ikipewa promo kubwa sana, hadi watu wengi wanaweka zile mask za wale robbers kwenye dp zao.
Nikaona niitafute bana. Dah Money Heist ni series ya hovyo, haipo level moja kabisa ya kuitwa series kali na inaboa kuitazama.
Nimejaribu kuitazama kwa...
Looks like Rotimi, aka Nigerian butterscotch, has been taken off the market and his new bae is an East African super star!
Rotimi is currently boo’d up with Tanzanian singer/songwriter Vanessa Mdee, who also goes by Vee Money. She’s also an activist and television personality who is currently...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.