Nakumbuka mara ya kwanza kuona tamthiliya ya Iris ilikuwa ni ITV pale mwaka 2013 kama sio 2014 kipindi hicho hata smartphone sina.
Nilivyoiona tu mara ya kwanza sijui ilikuwaje lakini tangu hapo sikuacha kuifatilia mpaka episodes zote 20 zilivyoisha.Nakumbuka nilikuwa nachelewa kulala siku...
Wakali wa series mje na vyuma vikali vya moto hapa jf amkosekani tupeane.
Izo chini nsha zicheki ziko poa sana na binafsi nazielewa za mtindo huo zenye mwendelezo na sio za kuunga matukio kama 24 hrs.mseries za action kama izo na upelelez wa kusaka wahalifu like prison break hua zina nikosha...
Recently registered number DT
Pick up single cabin African specs from Toyota Tanzania special for Africa
2010 model year
1hz diesel power with black top 16-valve
New four tires by GT-RADIAL mounted with original cruiser rims
Wide screen dashboard
The car is clean with a very immaculate condition...
Blue Sky Films crew on location in Kenya
BLUE SKY FILMS
A Chinese TV series shot in Nairobi has given Kenya international recognition with more Chinese film-producing firms considering using Kenya in their future projects after the series attracted sizeable eyeballs in China.
The action-based...
Kuna series au drama ya kikorea inaitwa The Penthouse ni moja ya drama kali sana iliyotoka hivi karibuni.Kwa sisi tunaopenda kufuatilia series au drama zinazoongelea maisha halisi yetu basi hii si ya kukosa.
Hii drama inahusiana na jumba moja linaitwa Para house inayokariwa na matajiri Kuna...
Habari....👋
Nilikua sijawahi kuifuatilia hii series, nilipoicheki tu looh nimenogewa. Imebidi niwe naangalia episode moja moja ili nisiwahi kuimaliza na nishakusanya Season 1-7 so sina wasiwasi. Salute kwake Jon Bokenkemp kwa kutengeneza series hiii. Naona ilikua ishasitishwa ila wadau...
Hii ni series ya kizungu inayohusiana na baadhi ya polisi kupata hela za magendo tofauti na mshahara wanaolipwa kihalali na Serikali wanachokifanya wanaficha hela hizo magendo kwenye magodown na Kuna mwingine anaficha kwenye paa ya nyumba baadae watastukiwa na Serikali so naomba nitajie hii...
binti jinxiu familia yake inauliwa yote na wajapan anapona peke ake anakwenda mjini huko anakutana n a na dada yake lakini dada hamtaki naye anataka kulipa kisasi kwa vile baba ake na binti alimtenga mama ake
sasa humo binti anakutana na zuo zhen jamaa mtemi sana wanakutana kwenye boti baada...
Baada ya woga mwingi dhidi ya magari ya BMW ila hali sasa imebadilia naona wapenz wa baby walker wengi wamehamia kwenye BMW series 1.
Nini siri ya haka kagari spea sio adimu tena na wamepunguza size ya engine kwenye uaji wa mafuta?
Huko tuendako nadhan mindset zetu zitabadilika na tutaanza...
Linapokuja suala la kutajwa series Bora hizo nitakazoandika Mara nyingi hazitajwi lakini Ni Kati ya series Bora kabisa inawezekana na kutoangaliwa na watu wengi au lah!
1. Banshee
Tumezoea asilimia kubwa za series za ngumi au movie za ngumi hazinaga story zakuvutia ukiachana na mipigano yake...
Sikujua kama series ya power waliamua kutoa Muendelezo wa Power kama series inayojitegemea lakini based on the same story. Jana nikakutana nayo mtandaoni nikaishusha, aisee ni bonge la kitu. Tariq mle ndani kacheza kama mtu mwenye stratergy za kutosha hafanyi move bila plan na yuko ahead of...
Kwa upande wangu mimi muvi za animation nilizokubali kuna:
1. How to Train ze Dragon
2. The Monsters
3. The Croods
4. Aladdin.
Mimi nimeanza na hizo na wewe kama mdau wa animation ongezea basi.
===========================================================================================
Public...
BMW 5 SERIES
Year made: 2007
Engine power: 2700 cc, Petrol engine
Seats: 5
Doors: 4
RWD..: inasukuma kwa nyuma/Rear Wheel Drive.
Mileage: 71,000 kms
Bima imeisha
Kadi yake ipo
Location Dar es salaam, mbezi beach
Bei 12.5mil
Punguzo kidogo kwa mteja serious
Piga simu 0744 033 555
Kuna drama inaitwa "Memorist" ya huu mwaka 2020 Kama ulipenda Vagabond basi hii utaikubali ni drama inayohusisha akili na pia inangumi storyline yake ni nzuri na yenye mbunifu.
BMW 1 Series, inauzwa, Tsh 15 milion. Namba T.... DTM
Ina miezi saba tu toka inunuliwe
Kilometre 95,856
Engine capacity: 1590 CC
Engine type: Petrol
Colour: black
Seat capacity: 5
people, Milango mitano.
Kadi ya gari ipo
Bima ipo
Location: Temeke Mikoroshini
Tuwasiliane kwa 0744033555...
Kwa wale wanaotaka kubadili brand na kwenda brand maaarufu kama Samsung kuweni makini hasa kwenye Samsung A series". Ukifuatilia kwa makini utagundua kampuni ya Samsung wametoa A series kwa ajili ya wateja wanaotaka kumiliki brand ya Samsung ila bajet yao ndogo ila kiukweli Samsung A series...
Kwa wale wa kishua tuwaite kipindi hicho ITV walikuwa wanaicheki hii series journey to the west ..
Ilikuwa maarufu hii ilikuwa ni story ya kichina inayomuhusu master mmoja jina lake aliitwa Chen..ama sisi tulimuita "shivo"..
Mtu huyu alikuwa ni mtoto ambaye alitelekezwa kwa kuwekwa kwenye...
Ukiacha TV series mbalimbali za ki Gangs kwa mwaka huu hii ndo Kiboko. GANGS OF LONDON. hii nmeikubali sana.
Kama unapata muda ukishapita kura yako huko Tz. Rudi home kaangalie. Au kama umeamua kulinda linda kura yako huku una check hii Series. Utaenjoy sana.
Nipo kwenye likizoya Uchaguzi nchi za watu. Mpaka Tanzania uchaguzi upite ndo ntarudi.
Nikiwa huku najikuta mara nyingi nataka niangalie TV series maana ndo ulevi wangu. Katka pita pita nikakutana na Queen Sono.
Ni Tv Series ya kipuuzi ambayo imeshindwa kabisa kuvalisha uhalisia waigizaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.