Hii ni korean drama iliyotoka mwaka 2017 ina episodes 18.katika series zangu Bora duniani hii inaingia kwenye Top 3 yangu si rahisi kwangu korean drama yoyote kuingia kwenye list ya best series of all time kwa upande wangu lakini hii kutokana na kuwa na ubora mkubwa na yenye kusisimua imeingia...
Ninatumia samsung A 7 ya mwaka 2017, na ninaiona iko vizuri kuliko hizi A series nyingine zinazotoka miaka hii hadi zimefika A51, je kuna tofauti gani ya kitaalamu kati ya hii A7 yangu ya 2017 na hizi A series mpyampya zinatoka mfululizo.
Nisije kuexchange A7 yangu nikajuta ?
Series Ya Squid Game Imefanikiwa Kuingiza Takriban Dola Za Kimarekani Milioni 900 Ikiwa Ni Zaidi Ya Trilioni 2 Tshs Ikiwa Na Mwezi Mmoja Tu Tangu Itoke Rasmi.
-
-
Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Bloomberg Series Hiyo Imetazamwa Na Watu Milioni 132 Kwenye Siku 23 Za Mwanzo Ilipoachiwa Na Hii Kuvunja...
Modification=TURBO na INTERCOOLER kwa 1HZ.
FAIDA MBILI KUU ZA TURBO
1. Kuongeza nguvu ya engine
-Turbo huongeza msukumo wa hewa safi kuingia katika engine na hivyo kupelekea uchomaji wa haraka wa mafuta kisha kuiongezea engine uwezo wa kufanya kazi kubwa kwa muda mfupi,hapo ni katika...
👋👋
Kama huna cha kuangalia wikendi hebu itazame hii series natumaini utaipenda.
Nimeishia Season10 nasubiria mwakani season 11 ikiwa Complete ndio niendelee.
Ni mzuri sana haiboi haichoshi.. Maybe S1 pekee ndio sio kali kivile ila zinazofuata zote ni nzuri
Kwa mlioitazama mtakubaliana nai...
Wana msemo wao wanasema "eyes wide shut"; ni "wide" (wazi) lakini hapohapo "shut" (yamefungwa)
Yaani wanadai tuko "macho kodo lakini hatuoni"
Na ndio maana wanatuita "sheeple" au kondoo;
na pia "goyim".
Ukiweza, tafadhali tazama scene hii mojawapo kwenye drama ya Utopia,
inayoitwa "Utopia...
Salaam
Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka.
Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na mfuatiliaji wa cartoon au animation.
Nyingine kali nilizozicheki ni:
Sing
Frozen 1&2
Tangled ever after...
Kwa wajuvi na wafuatiliaji wa Mambo mtanikubalia kuwa Gwajima hutumika kuwa Kama neutralizer wa mambo mbalimbali kwa mfano sasa hivi leo kuna mambo hayajajadiliwa kabisa na jamii ya Watanzania na ni mambo ya msingi sana kwa mfano suala la tozo kupunguzwa kwa 30% badala ya kufutwa kabisa
Suala...
Wakuu kwema?
Twende kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa horror movies tatizo za movie ni kwamba unaangalia dakika 90 mzigo umekata, sasa nataka series zile za kukesha nazo ambazo zinatisha.
Nahitaji angalau ambazo zimetoka kuanzia mwaka 2019 na kuendelea. Nilizobahatika kuangalia mpaka leo na...
Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli 😂
Hee kufika episode ya 4 wameonyesha gays km kawaida yao. Halafu scene yenyewe ina km sekunde 5 tu hta...
IJUE BMW 7 SERIES- Kwa ufupi
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari
UTANGULIZI
Ni moja ya gari za starehe iliyoboreshwa kwenye mambo mengu na iliingia sokoni kwa mara ya kwanza 1977. Leo tutaongelea generation ya 4 iliyoingia sokoni kuanzia 2001 mpaka 2008 inayoshindanishwa na Benz S...
Binadamu tunatofautiana sense of humour meaning kitu kinaweza kuwa funny Kwa mtu mmoja kikawa cha kawaida kwa mwingine.
Lakini mawazo yawengi huwa mara nyingi yanakaribia ukweli.
Kwangu Mimi best comedy series ni:
1. How I met your mother
2. The Simpsons
3. Big time rush
4. Scrubs
5. Big bang...
Huyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda sana Wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anaudhi sana huyu. Kila kitu yeye ni Wanyaturu, Wanyaturu mpaka Kero yaaani. Wanyaturu kamshtakini huyu kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20.
Hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa...
Wapenzi wa series za Uturuki nikiwa mmoja wapo, japo kuangalia kwa subtitles ni changamoto ila kwenye story wanajitahidi hasa kwenye visa kuanzia vya mapenzi, missions n.k
Zifuatazo ni baadhi ambazo nimezielewa story zake
1. ARIZA
2. Tesklat
3. Zemheri
4. Sol yanim
Ongezea list wale wapenzi...
Nmejaribu sana kuangalia baadhi ya series za mataifa mengine nmejikuta nashindwa kabisa hasa za:
1. Spain
2. Mexico
3. Philippines
4. Turkey
5. Korea
6. China
Hawa jamaa bado wana series za kitoto kitoto sana. Uhalisia unapotea kabisa. Ukichanganya na lugha ndo nakwazika kabisa kukaa niangalie...
Hello there....👋👋
Hua napenda nikikutana na series au muvi nzuri nishee nanyi “wakulungwa” wapenda motion pictures maana sharing is caring, I scare because I care.
Hua napenda series na muvi ambazo ukitazama unakua unakuna kichwa kuielewa, muvi zenye plot twisting na brain storming. Baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.