series

  1. YETU MOTORS CO LTD

    Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  2. itakiamo

    Nishauri series gani niangalie

    Nimeangalia series zifuatazo 1. Game of Throne 2.Tyrant 3. Godfather of Harlem 4. Banshee 5. Ozark 6.Narcos 7.Elchapo 8. 24 jack Bauer 9.Rome 10.Breaking Bad Naomba mnitajie series nzuri zitakazoendana na hizo
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    Baada ya muda mrefu nimekutana na vitabu vizuri sana vipitie

    Mwaka haujaisha lakini na recomend kwako acha kila kitu usome hichi kitabu, once nilikua sisomi vitabu mpaka nilipoanza kukisoma hichi sijawahi kupata kingine zaidi ya hichi, Kama kuna mtu anacho kitabu cha hivi cha story nzuri Kama hiki (based on try story) aseme hapa niongeze kwenye library...
  4. PureView zeiss

    The Terminal List: Hii ndiyo series yangu pendwa baada ya PRISON BREAK na 24

    Baadhi ya wadau walisifia Sana serial ya money heist nikaona isiwe taabu Acha niitafute nione kama hiyo ladha yake itafanana na prison break na 24 lakini cha ajabu humo ndani ilijaa ujinga mwingi na utoto nikaja na Uzi wangu juu ya hiyo movie ya kifala. Nimeangalia serial nyingi Ila bado Ile...
  5. Adlo

    Msaada: Naitafuta series ya Kikorea ya ‘The Duo’

    Habari Wana jukwaa, Nimejaribu kutafuta series ya the duo bila mafanikio ni Korean series ya pori Nimeingia sites kama nkiri, bila mafanikio, kwa mwenye anayejua site au njia rahisi ya kuipata msaada👏👏
  6. Z

    Leo nimemaliza kuiangalia BREAKING BAD. Hakuna series tamu kuliko hii duniani

    Aisee tafuta BREAKING BAD.bonge la dude
  7. Ok9

    Series ya STAMINA

    Wiki iliyopita stamina alitoa wimbo mmoja wa future wife. Hapa katk verse ya kwanza alikuwa anamwita aje popote alipo ila verse ya 2 alimwambia asubir kwaza mambo sio poa. Ila mwisho kaletewa bi dada na kapata mimba. Mwendelezo wa 2 STAMINA ft 🍌 banana zoro wimbo UKIZALIWA . wimbo huu...
  8. Samatime Magari

    NAITAMBULISHA Kwako Vitz ya Mjerumani BMW Series 1

    . BMW Series 1 [Coded E87] ni moja ya subcompact executive cars inayotengenezwa na BMW toka kwa 2004 ikitokana na BMW 3 Series Compact, Series 1 tunasema ni solid athletic design [ngumu yenye umbo la sport]... . Features za hii gari imeifanya kuwa moja ya gari ndogo nzuri imara na inayovutia...
  9. avogadro

    Serikali ipige marufuku series za kihistoria za Kituruki

    ♦️Nimefuatilia maudhui ya films za KITURUKI za kihistoria ambazo zinahusisha kwa kiasi kikubwa mapambano ya mapanga nikaona kwa mawazo yangu hazifai kuonyeshwa Tanzania ♦️ Zinaonyesha ukatili wa kuchinjana hadharani kwa mapanga, hivyo zinaweza kufanya vijana wakaiga michezo hiyo na kutengeneza...
  10. L

    Start Up: Hii series nzuri sana, inaelezea changamoto za kuanzisha biashara na kujaribu kubadili maisha

    Hii series nzuri sana, inaelezea changamoto za kuanzisha biashara na kujaribu kubadili maisha, kupata investors nk
  11. H

    Hii series ni Kali ile mbaya lakini ipo underrated

    Habari Zenu, Katika utundu wa kutafuta series ya kuangalia kuna jamaa yangu mmoja akanirushia series moja ya Taiwan inaitwa DANGER ZONE CHAPTER 1: THE DARKNESS KNIGHT binafsi sio mpenzi wa movie au series zinazotoka Taiwan au za wafilipino lakini siku moja nikuwa Sina kitu Cha kufanya nikaona...
  12. JituMirabaMinne

    Mwongozo wa kununua Audi A4/A3, BMW 3 series/1 series na VW Golf/Polo

    Nimejaribu kupick European Cars ambazo watu wanazinunua sana. Kwa bahati mbaya sina story nyingi za kununua Mercedez Benz, japo nilitamani ningeweka maelezo ya C class na E class sababu ndio gari za M/Benz watu wanazinunua sana. Gari ambazo nimezilenga hapa ni gari ambazo zimezalishwa kati ya...
  13. Powder

    Nielekeze wapi naweza ku download hii series ya Kikorea....!?

    Natafuta Korean series inayoitwa Arthdal Chronicles....! Nimehadithiwa habari yake kwa Uchache, kuhusu Igutu wenye Damu yenye rangi ya Zambarau...!!! Wapi naweza ku download hii series..!??
  14. AUTOMASI COMPANY LIMITED

    Car4Sale Karibu automasi uagize nasi gari lenye ubora kwa gharama nafuu

    KARIBU AUTOMASI UAGIZE NASI GARI LENYE UBORA KWA GHARAMA NAFUU ************** ♻️ High Quality , Reliable, and Speed ♻️ *************** 🔅VEHICLE DESCRIPTION Make : TOYOTA Model ...
  15. Red Giant

    Mmeionaje series ya Peacemaker ya John Cena?

    Juzi kati episodes tatu za series ya Peacemaker zimetoka. Nimeikubali sana, bila shaka itakuwa series bora sana. Na ina soundtracks za ukweli. Unaipa ngapi?
  16. Swahili Subtitler

    Subtitles za Kiswahili kwa movies na series zote zinapatikana

    Kwema wakuu! Faida ya kuangalia Movie au Series ni kuelewa kiundani neno kwa neno na Story nzima. Kwa wale wapenda Movies na Series kutoka nje ya nchi ambazo hawatumii Kiswahili kama lugha mama, wanaelewa ugumu wa kushindwa kuelewa kinachoendelea kwenye Movie au Series husika sababu tu ya...
  17. I

    It is fair to say kuwa Money Heist is one of the best kama sio the best series of the decade?

    It was worth the wait kusema kweli. Series ambayo imekamilika kila idara yani inakufanya utamani kuangalia dakika inayofata nini kitatokea. Natamani mpaka wangekua ni watanzania jamani daah. Plot nzima imesimama vyema na mwisho wa series ile imemridhia kila mtazamaji. Kwangu mimi, hii ni...
  18. Surya

    Hollywood series hii inaongoza kwa kupata kura nyingi

    Nimeanza kuangalia series kwa mala ya kwanza 2018 na kuimaliza yote, nilianza na series hii.. YOU (2018). Kipindi cha nyuma ilikua nimwendo wa single movies tu. nakumbuka ilikua 2016 nikajaribu kuangalia Prison Break, aiseee niliona ndefu sana, series inazunguka huku na huku, wanachelewa kwenda...
  19. TECNO Tanzania

    60x zoom and all-new Helio G96 mean a complete overhaul for TECNO’s new CAMON 18 series

    We recently got our hands on some photos about latest CAMON model from TECNO, rumored to be coming out in early October. Not many details were available about the new phone just yet, but the tri-camera set-up and classy chrome-inspired colors have got us wanting for more. The key feature that...
  20. TECNO Tanzania

    TECNO’s CAMON series to be the first to release MediaTek’s latest Helio G96 chips in the African market

    TECNO just confirmed that it will feature MediaTek’s Helio G96 chipset in its CAMON 18 series to launch in November, making it the first smartphone brand to do so for the African market. The newly launched MediaTek Helio G96 chipset is ideal for powerful 4G smartphones for the mainstream market...
Back
Top Bottom