Carl Weber inawezekana ni very Amateur katika ulimwengu wa Film na Series. Nliona sana BET wakiitangaza hii Series yenye ushiriki wa Black Americans wengi.
Nikashawishika kuipata niitizame. Kiukweli ni TV Series ya kuangalia na watoto wadogo na housegirls wa kibongo.
Sisi watu wazima ni ngumu...
Tokea nimalize kuangalia GOT bado hakuna series iliyo attract my attention Sana mpaka nilipokutana na hii Series.
Kisa Ni Black man jamaa anaitwa Atticus alitoka jeshini south Korea, enzi hizo za ubaguzi wa rangi uliokithiri, kwa ajili kwa kuja kumtafuta baba yake aliekuwa kapotea, Sasa kafika...
Niaje wakuu hii tv show aise iko poa sana kwangu kuanzia stor hadi cast wake.hasa MASTER ndio ananifuraisha sana na ANGELA ABRAHAM maana dada anakinukisha balaa
Mimi ni mpenzi sana wa movie za wazungu napenda sana kuangalia..
Toka utoto wangu nilikua nikishika remote lazima nipitie chaneel za kizungu kuangalia kama kutakua na movie nzuri niangalia,
Nilipofika darasa la saba, nilianza kuangalia kila movie anayoitoa Dj Afro, jamaa ni anajua na siku zote...
UTANGULIZI
Kutokana na kukua kwa tatizo kubwa la ajira miongoni mwa vijana na familia nyingi duniani, imepelekea watu kuchanganyikiwa ni nini cha kufanya. Watu wote siku hizi wanahaha kutafuta ajira ambayo imekua adimu sana na hivyo kuwafanya watu ambao akili zao na mawazo yao yameelekezwa...
Kwa mara ya Kwanza toka 2009 nilipoanza kuchek series za 24 na prison break nilishamaliza kufananisha na series yeyote duniani nakumbuka mwaka 2010 nilichek pia series moja tamu Sana inatwa traveller,hii movie haikutoka tena na sielew sababu ya kushindwa kuchezwa mpaka leo..
Miaka mingi imepita...
Kudownload vitu kuna faida nyingi hasa katika nchi kama yetu
1. Endapo unakaa sehemu ambayo haina network nzuri ni vigumu kustream series za netflix maana itakua inaganda ganda kwasababu ya network.
2. Kustream series kwa vifurushi ni gharama kwa watu wa vipato vya chini, Hivyo wengi wanaweza...
Nimetazama the queen of the south, nacos seal pia. ya Naomba series nyingine nje ya hizi lakini zinazoendana na hizi.
Pia kama kuna mtu anajua series zenye hadhi ya game of thrones au spartacus pia naomba anitajie.
'We Men' ni series mpya ya Kitanzania inayoonyeshwa kwenye Instagram page ya Maxrioba. Maudhui yake ni ya mapenzi (kama kawa). Kwa story nzima mnaweza kwenda kuiangalia huko Instagram.
Technically hii series wanajitahidi. Hapa ninaongelea rangi ya picha, mwanga, namna shots na scene...
Wakuu Kwema,
Miaka Fulani nyuma kwenye 199X kituo cha Luninga cha ITV kilikua kikionyesha hii movie ya Mortal Kombat lakini kwa mtindo wa episodes. Yaani kila wiki wanatupia moja nadhani wahenga wenzangu wa kipindi hicho mnaweza kuwa mnakumbuka.
Nimejaribu ku Google lakini naona napata only...
Kama yupo ataeweza nisaidia kujua namna ya kudownload series all in one package nitafurahi sana, site nyingi ninazoingia series inanibidi nidownload episode 1 moja jambo ambalo linanichosha.
Naomba mwenye kujua site ambayo naweza download mfano prison break zote ziwe kwenye singo torrent...
Wiki hii nilipata nafasi ya kuangalia movie pamoja na series mpya kutoka NETFLIX ORIGINALS. Hizi zote wameziandaa wenyewe;
EXTRACTION (Movie)
Hii imejipatia umaarufu mkubwa sana kutokana na kuwa full packed na fights za kutosha, kwa wapenzi wa action movie hii lazima uikubali. Ila walipofeli na...
Tukiendelea kufuata ushauri wa wataalamu kipindi hichi kigumu dunia inachopitia, ukiachana na vitu vyote ushauri muhimu wanaotoa wataalamu ni kukaa nyumbani na kutulia ili kujilinda wewe pamoja na familia yako na ukitoka nje usiache kuvaa barakoa (mask) kwa usafi na kufuata taratibu za kiusalama...
Kuna series nazitafuta mfano kama Asintado Pusong Ligaw na nyingine nyingine nyingi tu za kifilipino.
Nimezunguka huko kutafuta jinsi ya kuzidownload naona chenga tu sielewi kitu naomba mwenye uzoefu na kujua namna ya kufanya ili niweze fanikisha hili USER=403420]Numbisa[/USER] naomba upite...
Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao.
Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director na Creators mzuri ninayemkubali baada ya Russo Brothers,David Cameron,Mel Gibson,Zack...
Wakuu salamu.
Naomba kuuliza,hivi kuna uwezekano wa ku-download series za kikorea ambazo zipo kwenye one folder.
Yaani,badala ya ku-download episode moja moja mpaka ziishe. Hakuna namna ambayo naweza kupata season ikiwa ndani ya folder moja afu Mimi ni download ilo folder lote badala ya...
Wakuu salamu.
Naomba kuuliza, hivi kuna uwezekano wa ku-download series za kikorea ambazo zipo kwenye one folder.
Yaani,badala ya ku-download episode moja moja mpaka ziishe.Hakuna namna ambayo naweza kupata season ikiwa ndani ya folder moja afu Mimi ni download ilo folder lote badala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.