Ndugu wanajamiiforum, mambo ni moto kwelikweli. Huku No reform no election. Upande mwingine Askofu Gwajima kujipatia Jina jipya akihusishwa na wasaliti upande ule baada ya kusema ukweli kuhusu utekaji na walio wengi tunampa maua yake.
Sasa srikali kupitia bunge limemjadili Askofu Gwajima Kwa...
Malori makubwa yanapita juu ya Flyovers jijini Dar na kuna hatari kubwa mambo mengi yakatokea ikiwepo uharibifu wa miundombinu husika iliyojengwa kwa kodi zetu wananchi lakini lolote linaweza kutokea na kupelekea hatari kwa maisha ya wananchi.
Inasikitisha kuona Serikali na Mamlaka husika ziko...
MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K
https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk
Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa
Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...