Wakenya sita wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu wakitaka serikali izuiwe kutumia fedha za umma kufadhili mechi ya kirafiki kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Ajax ya Uholanzi inayotarajiwa kufanyika Januari 5, 2027, katika Uwanja wa Raila Odinga International Stadium.
Katika ombi lao la...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali itapeleka shilingi milioni 600 katika Halmashauri ya Mji wa Makambako kabla ya Desemba 2026 kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Kitandililo, hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.