Kwa mujibu wa chombo cha habari cha kimataifa Reuters, Serikali ya Rais Donald Trump inadaiwa kufikiria kutoa malipo ya maelfu ya dola kwa kila mkazi wa Greenland kama sehemu ya mpango wa kuishawishi eneo hilo kujitenga na Denmark na kujiunga na Marekani. Maafisa wa Marekani wameripotiwa...
Elon Musk amewatolea povu waziri wa uchukuzi wa Marekani Sean Duffy na serikali ya Trump kufuatia mpango kutaka kuiweka NASA chini ya waziri wa uchukuzi au kama mojawapo ya wizara tofauti na ilivyo sasa kama shirika huru linalojitegemea. Waziri huyo wa uchukuzi amesema pia SpaceX inafanya kazi...
Hili taifa la Marekani ni kama sasa limechanganyikiwa na linaongozwa na wahuni tu. Huyu kijana anayeitwa Charlie Kirk nilikuwa namjua kwa muda mrefu kama podcaster, mfanya midahalo na mwanahabari(mtandaoni) wa mrengo wa kulia/right winger/MAGA.
Serikali nzima ya Marekani ya Trump imempa hadhi ya...
Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa Marekani wa pande zote za kisiasa. Miongoni mwa ardhi zitakazouzwa zinajumuisha milima, nyika, misitu...
Kundi la maprofesa wa Marekani limeishtaki serikali ya Donald Trump kutokana na kitisho chake cha kuzuia ufadhili wa serikali wa dola bilioni 8.7 kwa Chuo Kikuu cha Harvard.
Kesi hiyo, iliyowasilishwa na Chama cha Waprofesa wa Vyuo Vikuu vya Marekani (American Association of University...
Jaji Ali wa Federal Court ya huko Marekani ameondoa amri ya kuzuia misaada iliyowekwa na Trump mpaka kesi mbalimbali zilizofunguliwa na makundi mbalimbali ya watu zitakaposikilizwa na kutolewa hukumu.
MAGA wamelalamika sana wakisema inawezekana vipi Jaji muhamiaji ambaye ni DEI, Mwarabu na...
Huko Marekani nako raia wategemezi wa msaada na viongozi wao Democrats wanapiga ukunga msaada wa serikali kuu ya Marekani kusitishwa. Waliothirika ni pamoja na sekta ya afya, shule za umma na wanajeshi veterans.
Inasemwa amri ya Trump kuzuia misaada imeleta mkanganyiko ndani ya Marekani kwa...