Serikali ya Trump kupiga mnada mamilioni ya ekari za ardhi ya umma kuongeza mapato ya serikali

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa Marekani wa pande zote za kisiasa. Miongoni mwa ardhi zitakazouzwa zinajumuisha milima, nyika, misitu mikubwa na mito mbalimbali.
20250620_102716.jpg
20250620_102300.jpg
 
Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa Marekani wa pande zote za kisiasa. Miongoni mwa ardhi zitakazouzwa zinajumuisha milima, nyika, misitu mikubwa na mito mbalimbali.
View attachment 3376582View attachment 3376583
Kwanini Tanzania isiweze nusu ya mbuga ya wanyama ya Serengeti kulipia hayo madeni 7trion, Kodi yake kwa watalii itabaki palepale.
 
Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa Marekani wa pande zote za kisiasa. Miongoni mwa ardhi zitakazouzwa zinajumuisha milima, nyika, misitu mikubwa na mito mbalimbali.
View attachment 3376582View attachment 3376583
Trump ni beberu, anaendesha nchi kama kampuni.
 
Back
Top Bottom