serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ajitokeza kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Geita

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameshajiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwenye katika kitongoji cha Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita leo tarehe 11.10.2024.
  2. K

    LGE2024 Leo nimetumia haki yangu kujiandikisha kwenye uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Leo ndiyo siku ya kwanza kwa wananchi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wananchi wanajitokeza kwa wingi lakini kwenye kituo nimewaona wakala wa vyama viwili tu yaani CCM na CHADEMA. Je Vyama vingine viko wapi?. Mfano ACT-Wazalendo, Chauma, TLP, NCCR sijawaona wakala...
  3. LGE2024 CHADEMA Nyasa: Watendaji wa Mitaa na Kata wanasimamia na kuandaa orodha ya wapiga kura kinyume na Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, amesema kuwa "Kanuni zote za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vijiji na Vitongoji zimeweka wazi kuwa:- 'Watendaji wa Mitaa na Kata hawatateuliwa Wala hawataruhusiwa kuandikisha au kuandaa orodha ya wapiga kura' Lakini mambo ni tofauti kwenye vituo."
  4. Kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao hauwahusu Madiwani ambao ndio wawakilishi wa Mamlaka za Mitaa maana yake nini?

    Mimi nashangaa sana yaani inakuaje Mamlaka za Serikali za Mitaa ambazo zinaanzia Ngazi ya Halmashauri na kuongozwa na Baraza la Madiwani hazihusiki na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Hawa Wajumbe sijui wenye viti hawana nafasi yeyote ya kupanga mipango ya Halmashauri zikiwemo sheria ndogo...
  5. Makonda: Kesho kama huna gari aina ya Land Rover, baki tu nyumbani!

    Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land Rover paki tu gari lako nyumbani. Makonda amesema kuwa kwa kuwa kesho kutakuwa na msafara wa gari...
  6. LGE2024 Uandikishaji huu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hauna tija, ni kupoteza wakati

    Leo mchana nimekwenda kujiandikisha kuhusiana na uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kuna jambo moja fikirishi ni, nini nia na madhumuni ya kuandikisha. Nimeandikwa jina langu, umri na nikaweka sahihi. Nilichoandikwa ni jina na umri tu! majina yetu hujirudia rudia, hapa sijui ni mkazi wa mtaa...
  7. Pre GE2025 Dodoma: Wapiga Kura wakiwa na Vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM Wakati wa Kujiandikisha

    Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi...
  8. LGE2024 Dodoma: Rais Samia ashiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Leo Oktoba 11, 2024, Rais Dkt. Samia anaongoza watanzania katika zoezi la kujiandikisha katika daftari hili ili kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. https://www.youtube.com/live/oreFWNwWmTY?si=mpNgbVFGvb8Q81HQ Rais Samia Suluhu Hassan akiwa...
  9. Pre GE2025 Tofauti ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa

    Kwa ufahamu tu: Tofauti kati ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa Daftari la Kudumu linasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa ajili ya Kumchagua Diwani, Mbunge na Rais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa...
  10. CCM Ndiyo Agenda Kuu ya Taifa ya Wananchi Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji Tanzania, Novemba 27, 2024

    Ndicho chama pekee kinachozungumzwa sana na waTanzania kila kona na pembe ya Tanzania. Na ndiyo turufu ya umoja, amani na utulivu wa wanainchi Tanzania. Dhamira yake njema, mipango mikakati madhubuti ya uhakika, na malengo yake ya maendeleo endelevu, ndicho hasa kinachowavutia wananchi na...
  11. LGE2024 ACT Wazalendo: Tumebaini mapungufu makubwa yanayoathiri ufanisi, uhuru na kutendeka haki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    MAPUNGUFU MAKUBWA UANDIKISHAJI WAPIGAKURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mchakato unaoendelea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kulingana na ratiba iliyotolewa na Waziri mwenye dhamana ya TAMISEMI. Tangu kuanza kwa mchakato wa uchaguzi...
  12. LGE2024 CCM Arusha: Mgombea Serikali za Mitaa lazima awe na kazi ya kufanya inayomuingizia kipato halali la sivyo ataufanya Uenyekiti ndio kazi

    Wakuu, mambo yanazidi kunoga, kwani hawa ambao tunaenda na wanatudai hizi hela za 'copy' si ni wenyewe hawa hawa CCM? Au anaongelea watu gani? Maana wao ndio walipita kwa 99% bila kupingwa! === "Mgombea ni lazima awe na kazi ya kufanya inayomuingizia kipato halali kinachomuwezesha kuishi na...
  13. Pre GE2025 Anne Makinda: Wanawake jiandikisheni na mgombee uongozi uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    SPIKA mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda,amewataka wanawake katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wajiandikishe,wagombee nafasi za uongozi na kwenda kupiga wasipofanya hivyo itakuwa imekula kwao kwani ushindi ni hesabu. Makinda ambaye pia ni Kamisaa...
  14. K

    LGE2024 Kuna chama hapa nchini kinahaha wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa!

    Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho. Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili timamu kamwe sitarubuniwa. Naona hicho CHAMA kinahaha naona wana hali ngumu kipindi hiki.
  15. LGE2024 Rais Samia Kuzindua Rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024

    RAIS SAMIA KUZINDUA RASMI ZOEZI LA KUANDIKISHA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atazindua rasmi Zoezi la Kuandikisha Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa mnamo tarehe 11.10.2024 Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma. Taarifa hiyo...
  16. LGE2024 CHADEMA ikikomaa itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hata kwa Usimamizi huu huu mbovu (Japo siufagilii), Chadema inaweza kuibuka na ushindi wa kishindo ikiwa Wananchi wataamua kukataa dhuluma. Wakati wa Kikwete ambaye alikuwa Rais, Amiri Jeshi na Mwenyekiti wa CCM kama hawa waliopo leo. Chadema ilishinda kwa kishindo kwenye maeneo mengi...
  17. LGE2024 Wasanii watumike kampeni Uchaguzi Serikali za mitaa

    Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
  18. LGE2024 Wasimamizi Serikali za Mitaa 2024 wanapatikanaje?

    Huu uchaguzi umeanza kwa wasimamizi kupigiwa simu badala ya kutoa Matangazo ya watu kutuma maombi ya kusimamia uchaguzi huo. Hii inaleta picha kuwa Serikali kupitia TAMISEMI imeamua kuharibu tena uchaguzi kwa makusudi. Haya mambo siyo ya kufumbia macho kabisa Serikali fuateni utaratibu hawa...
  19. LGE2024 Idadi kubwa ya wananchi wapo tayari kwa Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa na wengi zaidi wataichagua CCM

    Hamasa kubwa inatokana na wito wa mwenyekiti wa CCM taifa katika ziara zake maeneo mbalimbali nchini, na hivi karibuni akiwa mkoa wa Ruvuma, alitoa wito na kuwarai wananchi kwamba wanapaswa kuichagua CCM, kwasababu ndicho chama pekee nchini cha kuaminika ndani na nje ya nchi. Lakini pia ndicho...
  20. LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

    Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Lissu amewataka Watia nia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…