Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla, leo Oktoba 16 ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wakaazi kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Zoezi hilo limefanyika katika Ofisi ya Serikali za Mitaa TPDC, Kata ya Mikocheni, Wilaya...
Zoezi linasuasua Hadi aibu!
Licha ya viongozi wa kiserikali na wale wa kisiasa kuhamasisha watu wajitokeze lakini wamegonga mwamba.
Watu ni kama wamepigwa ganzi hawana shauku Wala hamu na zoezi Hilo. Nikama wamesusa au wamekata tamaa.
Uzuri ni kuwa wenye dhamana wamekiri zoezi kusuasua. Na...
https://youtube.com/live/CblBhVLNuYE?feature=share
Kutoka mkoani Mwanza, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ameamua kuzungumza na Waandishi wa Habari kujibu madai kadha wa kadha yanayo husishwa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Ndugu zangu, wanajamii Forum TUJITOKEZE kwenye kujiandikisha daftari la wapiga kura serikali za mitaa na vijiji. Kwani Halichukui muda mwingi
..
Majina yako matatu, miaka yako... Sahihi yako tu.
Dakika moja tu unakuwa umeondoka.
Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa...
Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na Wiki ya Vijana katika Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza, leo 14 Oktoba, 2024. Amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, utatoa taswira ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 na Wananchi...
Wakuu salam,
Nimeanizisha uzi huu maalum kwaajili ya kuweka link ya post zote zinazoongelea rafu na kasoro kabla na mpaka siku ya uchaguzi wenyewe wa serikali za mitaa, iwe rahisi kupata kasoro hizi kwa pamoja kila mtu atakapozihitaji.
Nitakuwa na-update kadri yatakavyokuwa yanawekwa JF...
Wasimamizi wa vituo vya kujiandikisha wapiga kura wanalipwa 350000, kwa mmoja ,kituo kimoja wakiwa wanne ni zaidi ya 1.2m ,kwa nchi nzima ni mabilion ya pesa !! Kwanini mnathamini mchakato na sio ajenda? Mkishawachagua hao viongozi wanaanza kujitolea hawana hata posho Wala mishahara ,ifike...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewaomba Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mwera kushirikiana na Viongozi wao ili waweze kuwaletea maendeleo.
Akikabidhi vifaa vya ujenzi ikiwemo Mifuko ya Saruji na Mchanga katika Tawi la CCM...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema chama hicho haridhishwi na zoezi la uandikishaji wa Wapigakura linaloendelea hivi nchini.
Ado Shaibu ameyasema hayo leo Oktoba 13, 2024 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Dar es salaam.
Amesema: "Bila...
Nipo katika halimashauri Moja huku bush nimeshuhudia harakati kubwa zinavyofanyika kwa mkakati maalumu
Kwanza kabisa sikuona mawakala wa upinzani Ila nimehisi Kuna mauzauza yanayopangwa kwa mkakati mzur kabisa
Makarani wametoka vituoni wapo wanatembea nyumba kwa nyumba wakiongozwa na mtendaji...
Kwa hakika mmeupokea na kuitikia vema wito na wa Rais na Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Samia Suluhu Hassan wa kujitokeza kwa wingi, katika zoezi la kujiandikisha kwajili ya uchaguzi wa serika za mitaa katika siku hizi za mwanzo kabisa.
Ama kwa hakika,
biashara ni asubuhi.
Shime waTanzania wote...
1. Ni kwanini kama nchi tunaingia gharama mara mbili kufanya zoezi Moja linalofanana? Hii tunayoambiwa kuwa ni Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) waliandikisha/fanya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura nchi nzima wiki chache zilizopita.
2. Cha ajabu TAMISEMI ya Mchengerwa na...
Wakuu..
Najaribu kuwaza kwa sauti hapa.
Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mafanikio Sana kwa chama Cha mapinduzi(CCM) katika chaguzi za serikali za mitaa.
Walishinda kwa kishindo huku wakipita bila kupingwa kwa baadhi ya mikoa.
Japokuwa wajuzi wa Mambo wanasema kuwa ule uchaguzi ulikuwa na dosari...
Nichukue nafasi hii kuwakumbusha Watanzania wenzangu wote kuwa serikali za Mitaa ni muhimu na ndiyo sauti ya wananchi hivyo tujitokeze kujiandikisha katika daftari la mpiga kura.
Bila kujali itikadi zetu hili ni jambo muhimu sana Kwa taifa letu kwa ujumla.
Pia soma: Kuelekea 2025 - LGE2024 -...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X ameonesha namna ambavyo kumeanza kutokea udhaifu na ubabaifu kwenye mchakato wa kuandikisha wapiga kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hii ni Kata ya Nyamizeze Sengerema Mwalimu ambaye ni Kiongozi na Kada wa CCM...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ni miongoni mwa wakazi wa Mtaa wa Lunyanywi, Halmashauri ya Mji Njombe waliojitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Zoezi la kujiandikisha linazinduliwa leo Oktoba 11...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Chamwino mkoani Dodoma, Mhe. Deogratius Ndejembi amejiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, katika kitongoji cha Mpela Wilaya Chamwino, Dodoma leo.
Zoezi hilo limeanza leo nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.