serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Wilaya ya Nachingwea jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu

    Msimamizi wa Uchanguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa ametangaza rasmi jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa mwaka huu tarehe 27/11/2024. Akizungumza na KITENGE TV Mhandisi Kawawa amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha...
  2. J

    LGE2024 Una maoni gani kuhusu zoezi la Uandikishaji wa Daftari la Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

    Zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa 2024 Lakamilika: Je, Wananchi Wanasemaje? Mnamo Oktoba 20, 2024, zoezi la Uandikishaji wa Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limekamilika rasmi Tanzania. Zoezi hili muhimu ni hatua ya kwanza kuelekea uchaguzi...
  3. Li ngunda ngali

    LGE2024 CCM itaanguka vibaya mno kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa na haitaamini

    Matarajio ya CCM kushinda viti vingi vya wagombea wao katika Uchaguzi ujao wa Serikali Mitaa huenda yasitimie kwa sababu ya figisu za wao kwa wao kwenye uteuzi wao wa ndani hali itakayopelekea visasi ndaniyo. CCM itarajie kisichotarajika kwenye Uchaguzi huo.
  4. K

    LGE2024 CHADEMA Simiyu: Hatutaruhusu majina yaliyoongezwa katika Daftari la Wapiga Kura yapige kura na hatutasusa

    Juzi zoezi la andikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, limehitimishwa kwa serikali kujipa kongele kubwa kuwa wananchi wengi wamejiandikisha. Sasa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Simiyu kimesema kuwa katika zoezi hilo wamegundua uwepo wa hujuma...
  5. Matulanya Mputa

    Kwanini wagombea wengi Serikali za Mitaa ni Darasa la Saba na wenye uchumi wa chini?

    Tuweke siasa pembeni, lakini ni mtazamo wangu kama nakosea mtasema. Ukifuatilia wagombea wengi wa serikali za mitaa ni darasa la saba, au hawajasoma kabisa na watu wa kipato cha chini je serikali kwanini isibadili sifa za kugombea serikali za mitaa? Sababu tukipata watu au wataalamu mbalimbali...
  6. The Supreme Conqueror

    Dr Slaa:Chadema acheni visingizio hamkujiandaa uchaguzi wa Serikali za Mitaa msiwadanganye Wananchi.

    Kada na kiongozi muandamizi wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, ameshutumu vikali chama hicho kwa kushindwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji. Katika kauli yake isiyo na kificho, Slaa amewapa somo Chadema, akiwataka wafahamu kwamba kwenda...
  7. JanguKamaJangu

    LGE2024 Ester Thomas (ACT Wazalendo): Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Watiania Msikubali Kutishwa

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas amesema ACT Wazalendo imejipanga vyema kuhakikisha wanachama wake waliotia nia kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wanapata msaada wa kisheria katika kipindi cha uhitaji. Amesema maneno hayo leo Oktoba 23 Jijini Mwanza...
  8. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Kampeni za mtaa kwa mtaa kwa baadhi ya wanasiasa wa CCM mtaa wa Dovya kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

    Wakuu Kwema! Leo nimekutana na moja ya mwanasiasa kutokea chama cha Mapinduzi ( CCM ) akijipigia kampeni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Tunafahamu kwamba CCM wametangaza ratiba za wanachama wao kuanza kuchukua fomu kuzijaza na kurududisha na kuanza kampeni za ndani na ndipo...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Kagera: RC Mwassa atembea na visheti kuhamasisha Uchaguzi Serikali za Mitaa. Hii ni Rushwa!

    Wakuu, Hizi ni rushwa kuwashawishi wananchi wafanye wafanye maamuzi, iwe kwa pesa au visheti vyote ni rushwa. Kwanini vinaachwa kuendelea kufanyika? TAKUKURU mnafanya nini? === Mkuu wa mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezunguka kwenye baadhi ya vijiwe vya Kahawa katika manispaa ya Bukoba...
  10. K

    LGE2024 CCM Yatoa Wito wa Viongozi Waadilifu Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito mzito kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi na wananchi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akisisitiza umuhimu wa kuchagua viongozi waadilifu na wenye moyo wa kuwatumikia wananchi. Ametaka wagombea...
  11. Chachu Ombara

    LGE2024 Makalla: CCM ipo tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi Serikali za Mitaa

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Amos Makalla akizungumza hayo leo Oktoba 22, 2024 wakati wa hafla ya kupokea taarifa ya zoezi la uandikishaji wa daftari la mkazi la uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa CCM ipo tayari kwa matokeo yoyote...
  12. kijana wa leo

    LGE2024 Naunga Mkono Serikali kuongeza majina (Kama kweli hilo limefanyika) kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ndugu zangu Watanzania, Unajua sio kila jambo ni la kulalamika, serikali zote Duniani zinahitaji uungwaji mkono na kukubalika kwa wananchi wake mbele ya mataifa mengine. Sasa kwa sisi Tanzania tumejijengea kautaribu ka kulalamika kila siku bila kutimiza wajibu wetu kisheria na kikatiba. Leo...
  13. The Watchman

    LGE2024 Rasmi CHADEMA kususia uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024

    Wakuu nimekutana na hii video kuhusu CHADEMA kujitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa, hii imekaaje wakuu?
  14. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Makalla: Rais Samia ameleta hamasa kubwa kwa wananchi kujiandikisha kwa wingi uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Imeelezwa kuwa kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na viongozi wengine wa CCM wa ngazi mbalimbali kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi kimekuwa chachu ya wananchi kushiriki kwa wingi kwenye zoezi hilo...
  15. Waufukweni

    LGE2024 Amos Makalla: Tundu Lissu hana haki ya kupiga Kura katika nchi hii

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki yake ya kupiga kura. Hili limejitokeza baada ya Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, kutotimiza...
  16. The Watchman

    LGE2024 Pwani: Watoto wa kidato cha kwanza wajiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Wakuta wameandikiwa wana umri wa miaka 30 na kuendelea

    Wakuu katika pitapita zangu hii imenishangaza kidogo, Hivi inawezekana wanafunzi wa form one kuwa wamefikisha umri wa miaka 18 hata kama mtoto alichelewa kuanza shule hivi inawezekana kweli? Nimeona hii video huko X mtaa wa maweni, kata ya Mjimwema Jimbo la Kigamboni wameandikisha watoto wa...
  17. Zanzibar-ASP

    LGE2024 Takwimu za uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa huenda zimepikwa kupitiliza!

    Serikali leo imetangaza kuwa zaidi ya nusu ya watanzania wamejiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Takwimu zilizotolewa na waziri siku ya leo zimesema zaidi ya watanzania milioni 31 wameandikishwa! Takwimu hizi zinamaanisha, karibu kila...
  18. K

    Kama wananchi wote wenye umri wa miaka 18 na zaidi wana kadi za kupigia kura kwa nini kuwe daftari la kuandikishwa wapiga kura wa serikali za mitaa?

    Kwa utaratibu wa nchi yetu kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na zaidi ana kadi ya kupigia kura isipokuwa vijana ambao wangotimiza miaka 18 mwaka huu. Tayari zoezi la uboreshaji wa daftari la kupigia kura limefanyika nchi nzima. Sasa kwa nini uchaguzi huu wananchi wasingetumia kadi zao za...
  19. Cute Wife

    LGE2024 Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba watoa takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za mitaa

    Kwakuwa wanatambua toka zoezi hili limeanza kulikuwa na dalili mbaya na nia ovu ya kuhujumu uchaguzi huu na kwasababu watakwenda kubandika takwimu hizi leo Oktoba 21, Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba wakiwakilishwa na Ernest Mgawe, Mwenyekiti wa jimbo hilo, watoa takwimu za uandikishaji...
  20. Cute Wife

    LGE2024 Mkuu wa Wilaya Iringa: Mawakala wa Vyama vya Siasa wameridhika na zoezi la uandikishaji wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Bwana Kheri James amesema kote walikopita wilani humo mawakala wa vyama vya siasa hawakuwa na manung'uniko yoyote, wamerdhika kabisa na jinsi zoezi linavyoenda. Sasa kule Chunga na Dar mnakwama wapi kufanya zoezi hili liende kistaarabu kama wenzenu wa Iringa? ===== Ikiwa imebaki siku moja...
Back
Top Bottom