"Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama...
Kupitia andiko hilo la leo, Jumanne Novemba 12.2024 Kubenea ambaye ni mwanahabari nguli nchini na Mkurugenzi wa kampuni ya habari ya Mwanahalisi amedai kuwa kitendo cha vyama vya upinzani nchini kuendelea kushiriki uchaguzi huo ni sawa na kuhalalisha 'uhuni' unaoendelea, na hivyo kutahadharisha...
Inasikitisha sana kuona nchi inayofuata utawala wa kidemokrasia inakumbwa na mambo yasiyofuata sheria, taratibu, na kanuni kila inapofika wakati wa uchaguzi. Wagombea wengi kutoka vyama vya upinzani wameenguliwa kwa sababu zisizo za msingi, kama vile herufi moja kwenye jina kukosekana, fomu...
Chama cha ACT Wazalendo kinatoa Taarifa kwa Umma kuwa wagombea wake 51423 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama ngazi ya Kata. Wagombea wetu waliogongewa mihuri ya Kata ambayo ndio ngazi ya udhamini ya ACT Wazalendo wameenguliwa...
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kumekuwa na ripoti za kuenguliwa kwa wagombea, hususan wa upinzani, na wanaotekeleza hayo ni ninyi watendaji wa mitaa. Naomba kuwaasa ndugu zangu, epukaneni na mtego huu.
Kumbukeni kuwa wale wanaowaagiza mfanye hivyo wana ulinzi masaa 24...
Wakuu,
Tambo zinazidi kurushwa, ni kweli watashinda, au mbeleko itasaidia washinde? Lucas Mwashambwa Tlaatlaah johnthebaptist
=====
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari...
Vijana na wazee wa CCM hawana aibu, hawajawahi kuwa na aibu na hawatakuwa na aibu. Msipoangalia wagombea wa CHADEMA ambao hawajaenguliwa baadhi watauliwa na wengine kupewa ulemavu wa kudumu.
Hebu muiache CCM itawale wa uhuru. Pelekeni maombi kwa msajili wa vyama vya siasa akifute CHADEMA labda...
Mamia ya wagombea wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa ujao wameenguliwa kushiriki uchaguzi huo.
Chama cha ACT Wazalendo kimeripoti takribani asilimia 60 ya wagombea wake wameenguliwa kushiriki uchaguzi kwa sababu walizozitaja kukosa msingi wa kisheria na kanuni.
Kwa...
Hali ni mbaya sana kuelekea kwenye uchaguzi wao serikali za mitaa. Ukiachilia mbali kule kuchezea daftari la wapiga kura kwa:
Kuongeza majina bbandia
Kuongeza majina ya waliopotea
Kuongeza majina ya wanafunzi
Kuongeza majina ya marehemu na katika ujumla wake kughushi taarifa za hayo makundi...
Na; John Marwa
Siku chache kabla ya siku ya uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara wa chama kikuu cha upinzani nchini yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu alinukuliwa akisema kuwa chama hicho kinakabiliwa na changamoto ya...
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN
YAH: CHANGAMOTO ZA UENDESHAJI WA ZOEZI LA UCHAGUZI NCHINI NA HASARA INAYOPATIKANA KWA TAIFA
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuandika barua hii ya wazi kwako...
Uongozi wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini chini ya Mwenyekiti Charles Mamba umeendelea na mikutano ya mfufulizo na mabalozi wote 2000 wa Jimbo la Dodoma Mjini katika kujiweka sawa kuelekea katika uchaguzi wa serikali wa mitaa ambapo leo kikao kimefanyika cha Mabalozi kutoka Kata ya Makutupora...
Zaidi ya watu elfu kumi waliokuwa wanategemea machimbo ya dhahabu katika eneo la Ifugandi, wilayani Nyang'wale mkoani Geita, wanadai kuathirika kutokana na zuio la shughuli zote za uchimbaji katika eneo hilo zuio hilo limesababisha maisha ya wengi kuwa magumu kwani wamekuwa wakitegemea uchimbaji...
Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT.
Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana...
CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa
Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani.
Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
Novemba 8, 2024, madiwani 10 wa vyama vya upinzani wa Halmashauri ya Mtwara wamesusia kikao cha Baraza la Madiwani.
Hatua hiyo inatokana na kile wanachoeleza kuwa kutokubaliana na maamuzi ya msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri hiyo, ambaye amewaengua baadhi ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti...
Nimekua nikifuatilia taarifa mbalimbali za uchaguzi wa Serikali za mitaa tangu uandikishwaji wa wapiga kura hadi kufikia sasa wakati wa wagombea kuteuliwa.
1. Wakati wa uandikishaji yalikuwepo malalamiko kutoka vyama vya upinzani kwamba kuna wanafunzi wa shule za secondary na msingi...
CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyilo cha serikali za Mitaa
Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani.
Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
TAARIFA KWA UMMA
Baada ya uteuzi wa Wagombea wa nafasi za Uongozi katika nafasi mbalimbali za Serikali za Mitaa, kuna Chama cha Siasa kimepanga na kinahamasisha wafuasi wao kwa njia mbalimbali ikiwepo kukutana, kupigiana simu, kutumiana ujumbe na kwa kutumia makundi sogozi, kudhuru watu na...
Kuwa na ajira au kazi ni kigezo cha kuwa kiongozi wa serikali za mtaa?
Pia soma
- LGE2024 - Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku wa CCM akipitishwa kwa kuandika mfanyabiashara
--
"Kibamba hapa Dar es Salaam wapo wagombea wetu (wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.