Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wasisahau safari iliyowafikisha katika nchi ya amani na maendeleo.
Dkt. Biteko amesema hayo Novemba 22, 2024 katika wakati akizungumza kwenye mkutano...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameongoza wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo lake, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji na utumishi wa kweli kwa wananchi.
Akizungumza wakati wa kampeni hizo...
Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Mtaa wa Msimbazi Bondeni, Kata ya Mchikichini jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam kupitia chama cha ACT Wazalendo, Risasi Semasaba ameahidi kufunga huduma ya mtandao ya Wi-Fi kwa ajili ya wananchi watakaofika katika ofisi za Serikali za Mitaa kupata huduma.
Soma...
📍 Kigamboni
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na...
Wakuu,
Twende kwenye kampeni ili mchague viongozi wanaostahili.
=====
Wakati vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini vikiendelea na kampeni zao, wananchi wilayani Makete mkoani Njombe wamewataka wananchi wenzao kuhudhuria mikutano ya kampeni ili kusikiliza sera za wagombea
Kupata nyuzi za...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimezindua rasmi kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika uchaguzi huu muhimu. Uzinduzi wa kampeni hizi umefanyika katika kijiji cha Dutwa, Wilaya ya...
Wakuu
Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi.
Bila shaka dunia ya sasa bila kutumia sayansi ya namba mambo mengi utaona magumu hususani yale mambo yanayohitaji namba ziseme zaidi kuliko maneno na mojawapo ni ushindi wakati wa uchaguzi. Kila uchaguzi unahitajika kufahamu hesabu na namba ili kujihakikishia nafasi nzuri ya ushindi.
Hesabu na...
Wakuu,
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji Mnange katika kata ya Uyowa, jimbo la Ulyankulu mkoani Tabora, Novemba 20, 2024
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala...
Katika maeneo mengi, changamoto ya ukusanyaji wa taka imeendelea kuwa kilio cha wananchi. Magari ya kukusanya taka ama hayafiki kabisa au hufika mara chache sana, huku wakazi wakilazimika kutoa michango kwa huduma ambazo hazitolewi ipasavyo. Hali hii si tu inahatarisha afya za watu bali pia...
Tulishazoea miaka ya nyuma, nafasi zinatangazwa kwa ajili ya wanaotaka kusimamia Uchaguzi.
Leo ni takribani wiki moja kabla ya uchaguzi, hakuna tangazo lolote la Tume Huru ya Uchaguzi kuhusu nafasi za kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Je safari hii Tume ina watu wake tayari?
LIVE:MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA DAR ES
SALAAM.
MWENEZI AMOS MAKALLA AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM
Chama Cha Mapinduzi
https://www.youtube.com/live/JvhEBb6Julc?si=5Cm70GRr3xMZdRlb
Global TV...
GAVU AWASILI GEITA KUZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaisheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewasili mkoani Geita kwa ajili ya kuzindua rasmi Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka...
Haya ni matokeo ya succession plan ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hawa wote ndio baadae watakuja kuwa madiwani, wabunge, mawaziri na Marais wanaoitambua jamii tangu ground.
Kuhitimisha hoja hii makini na ya ukweli, ni dhahiri mpaka sasa ushindi wa kishindo kwa CCM ni wa uhakika, wa wawazi kabisa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Oganaizesheni, Issa Usi Gavu, akiwa kwenye mkutano wa wana CCM Rorya amesema; "mwongozo uko wazi CCM, fanya kosa lolote tutakusamehe, kosa la usaliti hatuna msalia Mtume. Ukitusalitu hatutakusamehe, hatutokusahau, tutakuchukulia hatua."...
Hii ifike kwa OR TAMISEMI ni kwamba Watendaji kata wamekuwa kikwazo kwa watumishi kuomba sababu wanachajiwa 30k-50k ili wapate ñafasi na ndiyo chanzo cha idadi ya waombaji wamekuwa wachache
Vyama vya siasa wilayani makete mkoani Njombe vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa vimetakiwa kufanya kampeni za kistaarabu kwa kunadi sera zao kwa wananchi badala ya kutoa matusi au kufanya fujo
Rai hiyo imetolewa Novemba 19, 2024 na Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.