Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Balozi , Dk. Pindi Chana amekinadi Chama cha Mapinduzi huku akiwaomba wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024.
Ameyasema hayo katika Mkutano wa hadhara...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza Watanzania kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Novemba 25,2024 akiwa mkoani Geita ambapo amesema uchaguzi huo ni muhimu hususan kwa ukuzaji wa demokrasia...
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Yasin Mohamed Mawila, ametoa onyo kali dhidi ya jaribio lolote la udanganyifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza Jumapili, Novemba 24, 2024, kwenye mkutano wa kampeni...
Mussa Azzan Zungu, ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, ameendelea na kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Upanga Magharibi, jijini Dar es Salaam. Amengia kuogea na wananchi mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba, Zungu amewanadi wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
ahadi
ccm
ccm uchaguzi
chama cha mapinduzi
katika
mafanikio
mapinduzi
mitaa
mwaka 2024
serikaliserikalizamitaaserikalizamitaa 2024
tamko
uchaguzi
usalama
utawala
utekelezaji
Mkutano wa kwanza leo Novemba 24, 2024 kwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mbowe uliofanyika asubuhi leo Uyole, Mbeya.
Mwenyekiti ameambatana na mwenyeji wake mwenyekiti wa Kanda Mhe. Sugu, pamoja na viongozi wengine.
Mashindano ya Samia Kagera Cup 2024 yaliyowakutanisha vijana na wananchi wa Mkoa Kagera kwa kuwahamasisha kushiriki kikamilifu na kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024, kushiriki shughuli za maendeleo, kuonyesha vipaji pamoja na kuongeza ushiriki...
Ama kweli kampeni zimeshika kasi. Spika wetu Dk. Tulia Ackson sasa ni mtaa kwa mtaa Mbeya mjini. Baada ya kumaliza mitaa kadhaa sasa amejikita Mtaa wa Ilindi akimpigia kampeni mgombea wa CCM Ndugu Abdul Kilasi na wajumbe wake.
"Wana Ilindi twendeni na Abdul Kilasi na wajumbe wake. Huyu ni...
TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024
KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
Mtaa au kijiji gani wagombea wa CCM wameenguliwa wakabaki wa upinzani kama CHADEMA na ACT pekee ambao watapigiwa kura za ndio na hapana?
Kuna kitu nataka kujifunza.
Kura yako ni muhimu, jitokeze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27.11.2024, vituo vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi jioni.
Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
Mkutano wa asubuhi leo Novemba 23, 2024 uliofanyika katika Kijiji cha Ipinda, Kata ya Kyela, Mbeya na kuhutubiwa na mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe
Mbowe amesema chadema inasimamia Haki, Uhuru, maendeleo ya watu na Demokrasia
Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake.
Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
CCM ITAHESHIMU RATIBA YA MIKUTANO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu(NEC) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho katika kipindi chote Cha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kitaheshimu ratiba ya mikutano...
Nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Sheria na Kanuni, miongozo nk, vyama vya siasa vilitakiwa kuwasilisha ratiba zao za kampeni na kule Songwe alikokamatwa Mbowe na genge ratiba ilikuwa inaonyesha kuwa ACT wangefanya mkutano, Mbowe kwenda kufanya mkutano kwenye ratiba ya ACT ilikuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.