serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    LGE2024 Mwandikishaji Njombe: Mwitikio wa wananchi kujiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa ni wa wastani, hamasa zaidi inahitajika

    Wakuu, Mwandikishaji kutoka mtaa wa jeshini, makambako Njombe kutoka aliyejitambulisha kwa jina la Pasdia Kayombo, asema mwitiko wa wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa wastani, na kwamba umeongezeka kidogo baada ya hamasa kuongezwa akiongeza kuwa ni...
  2. Cute Wife

    LGE2024 Iringa: Lukuvi kutoa Tsh. 500,000 kwa kijiji kitakachoongoza kuandikisha wananchi Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Tumefikia huku, watu tumekuwa wazito kushiriki kwenye shughuli za uchaguzi na siasa kwa ujumla mpaka ka hela kahusike! === Mbunge wa jimbo la Isimani ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi ameahidi kutoa zawadi kwa vijiji vitatu...
  3. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 UVCCM Morogoro Wahamasisha Wananchi Kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa

    UVCCM MOROGORO WAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Mkoa wa Morogoro (UVCCM) wametembelea Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro kwa lengo kubwa la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura wa...
  4. Gabeji

    Mchengelwa uongeze siku za kuandisha daftari la Serikali za Mitaa, Yanga na Simba zimeathiri zoezi

    Mh. Mchengelewa bila shaka ni mzima wa afya njema. Nakuomba uongeze siku za kujiandikisha kwa sbb zifuatazo: 1. Kuepo kwa figisu nyingi za kuandikishaji sehemu mbalilmbali. 2. Yanga na simba zimeathiri zoezi zima la kuandikisha watu wote wameenda kuangalia mpira wa simba na yanga, cha...
  5. Suley2019

    LGE2024 Mbeya: CHADEMA yatishia kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya kimewaasa wananchi kutosusia uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vitongoji na vijiji kwa kuwa kura zao ndizo zitakazoamua aina ya viongozi na mustakabali wa maisha yao kwa kipindi cha miaka mitano ijayo (2024-2029). Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa...
  6. chiembe

    LGE2024 Dk. Slaa: CHADEMA haijajiandaa kushindana uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, atabiri kwamba watashindwa vibaya mno

    Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
  7. Tlaatlaah

    LGE2024 Shauku na hamasa ya wanafunzi ngazi mbalimbali kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa kero na maumivu kwa upinzani kulikoni hasa?

    Hamasa na shauku ya wasomi hawa vijana wa shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu wenye sifa na vigezo vya kujiandikisha na hatimae kushiriki zoezi la maamuzi kupitia sanduku la kura, unadhni kwanini linawaudhi sana watu wa upinzani? Wengi wao watafikisha umri wa miaka 18 kesho jumamosi tar...
  8. Q

    SI KWELI CCM yatoa barua inayohusu kuhujumiwa na Watendaji Serikali za Mitaa

    Baada ya mipango yao ya kuandikisha watoto kufeli leo Chama cha Mapinduzi kimesema kinahujumiwa na viongozi na mawakala wao na watendaji wa serikali za mitaa.
  9. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 RC Makonda apiga chai na maandazi wakati akitoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kujiandikisha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi, ili kuwa sehemu ya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaohitajika kwenye ngazi ya vijiji na vitongoji. Makonda ametoa wito huo, Alhamisi, Oktoba 17, 2024...
  10. Q

    LGE2024 Hivi TLS haiwezi kwenda Mahakamani kuhoji ukiukwaji wa sheria, taratibu na kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ukiukwaji ni mkubwa tena unafanyika wazi wazi mbele ya jamii bila hofu yeyote kwa wahusika. Waziri wa TAMISEMI yupo, Tume ya Uchaguzi ipo, Vyombo vya sheria vipo. Lakini.... 1. Watoto chini ya miaka 18 wanaandikishwa, ushahidi wa picha upo. 2. Makarani wanaenda nyumbani kulala na vitabu vya...
  11. M

    LGE2024 Umejiandikisha? Jambo gani kubwa umekumbana nalo likakushangaza?

    Mimi: Niliulizwa JINA, JINSIA na UMRI tu. Sikuombwa details nyingine zozote zaidi ya hizo. Hivi, tuko serious kweli?
  12. Kai_andrew

    LGE2024 Changamoto katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Wanavyuo

    Tukizingatia mwezi wa kumi na Moja Kila mtanzania aliyetimiza vigezo vya kupiga kura anayo haki ya kupiga kura hapa Tanzania, swali langu ni je! Serikali imechukua mkakati Gani wa kukabiliana na hii changamoto kwa wanachuo ambayo katika kipindi hiki Cha uandikishwaji katika daftari la wapiga...
  13. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Wanu Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Ajiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa

    MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu...
  14. J

    SI KWELI CHADEMA wataka kila anayetaka kugombea nafasi ya uongozi Serikali za Mitaa achangie Tsh. 400,000

    Na Mwita Mwija Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ameeleza kuwa kutokana na uhaba wa fedha, kwa sasa wagombea wote ngazo za mitaa, vijiji na vitongoji lazima wachangie kukiwezesha chama shilingi Laki nne (400,000) hii itasaidia uwezeshaji katika usimamizi wa chaguzi hizo kwa kuweka mawakala...
  15. Abdul Said Naumanga

    Serikali ya Tanzania Yalaumiwa kwa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kwa mujibu wa ripoti...
  16. Waufukweni

    LGE2024 Waziri Mchengerwa atangaza tarehe ya Ukomo kwa Viongozi wa Serikali za Mitaa, watakiwa kukabidhi nyaraka za ofisi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza rasmi tarehe ya ukomo wa viongozi wa mamlaka za Serikali za Mitaa ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa. Hatua hii inakuja kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu. Mchengerwa amesisitiza kuwa...
  17. K

    LGE2024 Simiyu: Watumishi NMB wahimizwa kujiandikisha orodha ya Wapiga Kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Joseph Kayombo amewahimiza watumishi wa Benki ya NMB na watumishi wengine wa Sekta binafsi Mkoani Simiyu kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura ili wapate haki yao ya msingi ya kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ametoa rai hiyo alipozungumza...
  18. Msanii

    LGE2024 Mbinu zinazotumika kuchafua zoezi la uboreshaji wa daftari la wakazi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kupitia vyanzo vyangu vya uhakika, naweka hapa namna CCM inavyoingilia kuchafua zoezi la uandikishaji daftari la Wakazi watakaopiga kura hapo Novemba 2024 kuwachagua viongozi wa Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Baada ya kuumbuliwa kwa kuwaandikisha wanafunzi ambao hata umri wa kupiga kura...
  19. K

    LGE2024 Je Wananchi wamegoma kujiandikisha Daftari uchaguzi serikali za mitaa? Na hii ni hali ilivyo baadhi ya vituo Wilaya ya Bariadi na Maswa

    Ni kama wananchi wamesusia hili zoezi linaloendelea kwa sasa, la kujiandikisa katika daftari la mkazi kwa ajili ya kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Swali hapa la kujiuliza Je? Wananchi wamesusia? Wananchi hawajui umuhimu wa hili zoezi? Je Wananchi wamekata tamaa kutokana...
  20. JanguKamaJangu

    LGE2024 Dkt. Ananilea Nkya: Wanawake jitokezeni kuwania nafasi za Uongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ikiwa zimebakia siku chache kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, Dk Ananilea Nkya amasema kuwa zipo changamoto mbalimbali ambazo upelekea Wanawake kushindwa kuwania na kuchaguliwa kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ametolea mfano...
Back
Top Bottom