Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha kuhudhuria matukio yanayoandaliwa na serikali ya Rwanda na kusimamisha msaada wake kwa taifa hilo la Afrika Mashariki kutokana na waasi wanaoungwa mkono na Kigali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Soma Pia: Serikali ya Uingereza yamuita...
WAKUU habarini za jion
Naangalia itv hapa naona habari njema
MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA
Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE
Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia...
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuweka lengo la kutoa gawio Serikalini la Tsh. Bilioni 10 kwa mwaka Ujao wa fedha.
Kauli hiyo ameitoa katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa NHC kilichofanyika mkoani Pwani mapema, Februari 24, 2025.
Akizungumza...
Wakuu,
Wakati CHADEMA ikikoleza moto wa ajenda ya No Reforms No Elections, Serikali ya Tanzania imetoa kanuni za Uchaguzi ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
===========================================================
Serikali ya Tanzania imetangaza kanuni mpya za uchaguzi kwa...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Katimba, amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuendelea kubuni miradi ya maendeleo itakayoziwezesha kujisimamia badala ya kutegemea fedha kutoka Serikali Kuu.
Mhe. Katimba ametoa maelekezo hayo...
Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha!
Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao...
Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami.
Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi 6, 2025, ambapo awamu ya kwanza itahusisha kilomita 20 kutoka Soni hadi Bumbuli, hatua inayotajwa...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema serikali itaendelea kusimamia na kutekeleza maagizo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu ujenzi wa vituo vya polisi ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Mpogolo amepongeza hatua za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es...
Habari wadau,
Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi?
Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
Baada ya miaka 16 ya kutembea kilomita 40 kutafuta huduma za afya, wananchi wa vijiji vitatu wilayani Tandahimba mkoani Mtwara hatimaye wamepata suluhisho.
Kituo cha Afya cha Maheha kilichogharimu shilingi milioni 400 sasa kimeanza kutoa huduma na wananchi wengi hususan wanawake wamejitokeza...
Tuziite plate number au chapa, kwa vyovyote ni utambulisho wenye mfumo unaoeleweka na wenye kuonesha umiliki. Kama kuna MALLA N7, basi MALLA N1, N2, N3, etc wapo pia, pengine kuna MALLA N2347, nani anajua? Huu mfumo wa utoaji plate number au chapa kwa fisi nani anausimamia? Tumezoea kuona plate...
Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo.
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa sayansi nchini kwa kuanzisha mafunzo endelevu kwa walimu wa...
Dar es Salaam. Tarehe 24 Februari 2025: Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kudhamini Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam.
Pongezi hizo zimeetolewa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa aliyemwakilishwa Rais Samia...
Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja!
Modes naomba uzi huu...
Tarehe 21 Feb ,ICT commission ilitoa tuzo muhimu tatu kwa kampuni ya YAS(zamani Tigo)
Walishinda Tuzo tatu kama zilivyo hapa chini
1. Huduma Bora za Intaneti (Best Internet Service Provider)
2. Kampuni Bora ya Mawasiliano (Best Mobile Network Provider)
3. Mtumiaji Bora wa TEHAMA & Manufaa kwa...
Wizara ya elimu ina maprofesa wapuuz mno.
Inaamini maskini wa Tabata, Buza, Goba, mbezi hawawez kupeleka watoto shule za laki 5?
Mkenda na wezako wa TAMISEMI mnashida ipi? Mkiigeuza Jica primary mnashindwa nini? Acheni hizo.
Hii nchi ni as if tuanza kiushi nyumba ya kupanga.
Leo ndio nimehitimisha kuwa wazazi wengi wanaopeleka watoto EMS ni wale washamba, mostly ni watu ambao wameishia shule za msingi. Wanadhani elimu ni KIINGEREZA.
Mtoto makubwa yuko darasa la nne na mdogo darasa la pili. Lakini hawajaanza bado. Huyu mama anafanya kazi za kuhudumia mifugo ya mtu...