“Mikutano hii tunayoiona ni namna Rais alivyoamua kutekeleza Diplomasia na Rais alisema anataka kuifungua nchi na moja ya namna ya kuifungua nchi ni pamoja na mikutano hii. Na mikutano mikubwa ndio inayotangazwa zaidi lakini niseme mikutano midogo ya Kimataifa ambayo inafanyika Tanzania ni mingi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kumaliza matatizo ya kiafya wanayokabiliana nayo Wananchi wanaoishi katika Visiwa Vidogovidogo kwa kufikishwa katika matibabu kwa wakati ili kupunguza vifo vinavyoweza kuepukika ikiwemo vya...
Wakazi wa Kijiji cha Bushimani kata ya Chambo Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa Boma la Zahanati walilolijenga kwa nguvu zao mwaka 2012 ili kuwaondolea adha ya kufuata huduma za Matibabu umbali wa kilomita 10.
Veronica Michael na Elizabeth Mabula ni...
Wananchi wa Kijiji cha Mtyangimbole kata ya Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama, kwa kujenga shule ya sekondari katika eneo hilo ambayo imeondoa adha kubwa iliyokuwa ikiwakumba wanafunzi kulazimika...
Viongozi wa serikali katika nchi nyingi za Dunia ya Tatu hutumia mbinu mbalimbali za kifisadi ili kuiba pesa za wananchi huku wakijifanya kuwa waadilifu na wenye dhamira ya maendeleo. Wanafanya hivi kwa kutumia mifumo rasmi ya serikali, udhaifu wa sheria, na mbinu za ujanja wa kiutawala. Hapa...
Kufatia kuwepo kwa mahitaji makubwa ya uwanja mkubwa wa Ndege, mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameridhia kutoa fedha za ujenzi wa uwanja mpya wa Ndege katika maeneo ya Kyabajwa wilayani Missenyi.
Akitoa taarifa hiyo kwenye kikao cha bodi...
Kijiji cha Mkupuka, kilichopo wilayani Kibiti, mkoani Pwani, ni miongoni mwa vijiji 57 vinavyonufaika na mpango wa matumizi ya ardhi, hatua inayolenga kudhibiti migogoro ya ardhi na kuboresha matumizi ya rasilimali hiyo.
Mpango huo unatekelezwa na Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Mipango ya...
Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba
"Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”.
Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia...
Dkt Bernard John Mtelemwa Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Ikungi Serikali imejenga Chumba cha kuhifadhia maiti Ikungi
Rais Samia ana mchango mkubwa katika kuboresha huduma za afya wilayani Ikungi. Uongozi
wake umewezesha serikali kujenga chumba cha kuhifadhia maiti, hatua muhimu...
Wanabodi,
Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF
Karibuni.
Paskali
Kumekuwa na sintofahamu baada ya Trump kuzuia misaada kwa nchi mbambali kutokana na kile anachokiita misaada hiyo kutoinufaisha Marekani moja kwa moja. Hapa nchini marufuku hiii imezua mijadala mingi sana ikiwemo kwenye jukwaa letu hili pendwa. Watu mbali mbali wamekuwa wakionekana kufurahia...
Mwaka huu wa uchaguzi vyama vya siasa vishindane kwa hoja za msingi, CCM wakileta propaganda za kitoto na za kishamba kama za 2005 na 2015 wataaibika sana.
Kamati ya CCM ya mipango ya kimedani ijieupushe na propaganda zenye utoto na za kizamani, CCM iweke bayana ni wapi ni ukurasa gani wa ilani...
Kwa sasa hahitaji hata kuomba kibali cha mkutano ni kusema TU. Polisi njooni mnilinde nina mkutano. Hata Heche juzi kamwambia RPC huko Tarime huna uwezo tena wa kuniweka ndani. Kwa Sasa ni makamu m/kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani. Ukinikamata yowe itapigwa dunia nzima.
Mbunge wa Jimbo la Itilima, Njalu Daudi Silanga, ameweka wazi mafanikio makubwa ya maendeleo katika wilaya hiyo, akieleza kuwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeleta shilingi bilioni 85 kwa ajili ya miradi mbalimbali.
Akizungumza kwenye...
Taifa linaangamia na kutengeneza jamii ya mataahira. Wakuu wangu wa serikali nawaheshimu sana lakini hapo mmekaa kimya. Kusema serikali haina dini mnamaanisha matapeli waliojificha kwenye imani ya dini mkono wa serikali ambao tunajua ni mrefu hauwafikii hawa matapeli na ambao asilimia kubwa wapo...
Awamu ya Magufuli kidogo watumishi wa serikali walishaanza kuogopa. Nidhamu na customer care ilikuwepo kwa kiwango fulani. Kwa hiki nampongeza Magufuli.
Awamu hii ya sita hali inatisha. Ofisi za umma zinanuia uvundo wa rushwa. Kuanzia boss mpaka msaidizi wa ofisi wote wanaweza kirushwa-rushwa...
Ni bahati mbaya sana kuona mawasiliano mengi ya Ofisi na Taasisi za Umma zitumii namba za simu walizoweka katika mtandao hasa za TTCL.
Simu nyingi hazipatikani kwa kuwa hazijalipiwa hivyo kuleta usumbufu mkubwa sana kwa mtu mwenye kuhitaji huduma katika Taasisi husika.
Kama namba...
Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo
Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi, saizi utatekelezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.