serikali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Miss grand (Jihan) utumike na Serikali hasa wizara ya Dr. Gwajima kumuelewa Dudu Baya

    Kama kuna tukio limewakusanya mashoga kwa pamoja basi ni hili la Miss grand international. Kuanzia hekaheka za kutafuta kura, kindumbwendumbwe cha kumpokea na matukio yaliyoambatana na ushindi huo kwa asilimia kubwa, wanaume walioshiriki wenye uanaume wao ni wachache sana na pengine hata hao...
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Siku Yangu ya Mwisho Huenda Ikawa Jumatatu!” Gavana Natembeya Amkaidi Rais Ruto, Aapa Kukabiliana na Serikali Kuu!

    Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya ameapa kutorudi nyuma katika mzozo wake na Rais William Ruto kuhusu miradi ya maendeleo kaunti hiyo, akisema yuko tayari kukabiliana na Serikali Kuu licha ya kile anachodai kuwa vitisho dhidi yake. Akizungumza huku mvutano kati yake na Rais...
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Sina haja ya kuandika mengi. Tazama video mwenyewe. Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia. Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari. Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana...
  4. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Je serikali imebadili uniform za askari polisi kimyakimya?

    Hayati Magufuli enzi za uhai wake akiwa Rais wa awamu ya tano aliagiza askari wa kike wasivae sketi na zibadilishwe wavae suruali. Yalikuwa ni maamuzi sahihi sana hasa kwa trafiki wa kike ambao sketi kuna muda zilikuwa zinawapa shida kwenye utekelezaji wa majukumu wao. Sasa awamu hii, naona...
  5. C

    JamiiForums Tanzania DRC: Kabila anapanga mashambulizi dhidi ya serikali

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemshutumu rais wa zamani Joseph Kabila kwa kupanga kile ilichokiita "shambulizi pana” dhidi ya taifa hilo baada ya kuungana na waasi wa M23 na kuunda muungano wa FRN. Akizungumza na shirika la habari la AFP siku ya Ijumaa (16.10.2026)...
  6. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Serikali iondoe VAT kwenye sufuria za Jiko Janja(Induction Cooker) ili bei kwa mwananchi ishuke.

    Jiko Janja(Induction Cooker) ni jiko linalotumia umeme kidogo na linaokoa sana matumizi ya nishati ya umeme, jiko hili ni nafuu kulitumia kuliko la gesi, kikwazo kipo kwenye bei ya sufuria maalumu kwa jiko hili. Bei ya sufuria ni kubwa mno kuliko bei ya jiko wenyewe! Hivyo utakuta watu walinunua...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hili eneo la Kivukoni ni chafu na linanuka. Tunaomba pasafishwe

    Hili eneo la Kivukoni ni chafu na linatoa harufu mbaya, hali inayosababisha usumbufu kwa watu wanaopita na wanaotumia eneo hilo. Tunaomba serikali na mamlaka husika zifanyie eneo hilo usafi na kuliboresha ili liwe safi, lenye mazingira mazuri na linalofaa kwa watu kukaa na kupumzika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mnaowaza serikali (CCM) kupinduliwa muache kuota ! Jeshi ni mali ya Ccm, Hakuna Backup ya serikali nyingine na hakuna mfumo wa majimbo.

    1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso. Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni faida gani Taifa linapata kwa Serikali kujielekeza kwenye mashindano ya U miss, na mashindano mengine yanayofanana na hayo?

    Ndugu wanajamvi je serikali haioni ni muda muafaka wa kuwashindanisha vijana katika mambo muhimu kwa ajili ya kujenga taifa lenye watu walio na utaalamu na hasa ikizingatia uhitaji wa dunis ya sasa? Kwa nini kama nchi turuhusu mambo ya kipuuzi kama urembo, utanashati na Makonda juzi anatoa maoni...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeuagiza uongozi Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kufuata taratibu za Kanuni za Uendeshaji wa Magereza kwa kutowanyima Mawakili na Washauri wa kisheria kuzungumza na mteja wao lakini pia maafisa magereza kusimamia maongezi hayo kwa kukaa umbali ambao wataweza kuona...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makonda: Viongozi wa Serikali wakiwa walafi na wala rushwa, mmefeli nyinyi viongozi wa dini, hao ni waumini wenu!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amewataka viongozi wa dini kuwajibika katika kuwajenga waumini wenye maadili, akisema viongozi wa serikali wanaojihusisha na rushwa na ulafi wanapotoka katika nyumba za ibada, ni ishara ya kushindwa kwa viongozi wa dini katika malezi ya...
  12. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kujitathmini kwa mwenendo wake...[CDF,IGP,DCI,DG, PO].

    Taswira(Historia) ya uongozi na viongozi wake wanaakisi au wanatafsirika vipi na jamii? Na katika hiyo taswira wana-athari gani kwa mustakabali mzima wa Taifa, ref; Wanamtandao. Holela holela/Kujichukulia Sheria mkononi huku sheria na katiba ikichezewa kitaaluma na wanataaluma...
  13. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Ukiua taaluma ya sheria basi umeua utawala wa sheria CCM kuweni makini sana. Kutishia wanasheria ni hatari kwenu pia.

    Ukiua uhuru na uadilifu wa taaluma ya sheria, unadhoofisha utawala wa sheria; unapodhoofisha utawala wa sheria, unaweka rehani haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali na misingi ya demokrasia. Serikali ya wananchi haiwezi kuwa imara pale ambapo sheria inalinda mamlaka badala ya kulinda haki.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Serikali imechukua hatua gani kwa hatari hii ya kemikali?

    Uchunguzi wake, gazeti la Nipashe kuhusu uhifadhi wa kemikali ya Ammonium Nitrate katika ghala la Donito Investment Limited, eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam, unaibua maswali mazito kuhusu uwajibikaji wa taasisi za serikali, usimamizi wa vibali na usalama wa wananchi wanaoishi karibu na...
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wananchi Zanzibar wagomea serikali kukodisha kisiwa kwa mwekezaji

    Wananchi wa Fumba, Zanzibar, wamemuomba Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha ACT - Wazalendo, Profesa Omar Fakih Hamad kuishawishi Serikali kuangalia upya mpango wa kukikodisha Kisiwa cha Kwale kwa mwekezaji, wakieleza kuwa eneo hilo ni tegemeo lao muhimu la kujipatia kipato...
  16. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali iangalie, Sekta binafsi kuna changamoto nyingi zinazowanyonya Wafanyakazi

    Ningependa kuwasilisha ushauri kuhusu changamoto zinazowakabili vijana na wafanyakazi wengine katika sekta binafsi, hususan masuala ya mikataba ya ajira, mishahara na mazingira ya kazi. CHANGAMOTO KUBWA Mikataba ya ajira: Wafanyakazi hupewa mikataba ya mwaka mmoja inayorudiwa kwa kipindi cha...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yapongezwa kuokoa Wananchi Tandale na Mkwajuni 2026!

    Serikali imepongezwa na wananchi tofauti tofauti baada ya kusafisha mto Ngombe, kuacha njia ya ambulance na polisi kwaajili ya ulinzi. Watu walilipwa toka 2020 na Mh Magufuli, walilipwa wakaondoka na kuwaacha ndugu zao ama madalali wakauza tena. Wote waliovunjiwa wawatafute madalali walale nao...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Serikali haiendeshwi kwa presha ya maneno

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali haifanyi kazi kwa presha ya maneno ya watu, bali inatekeleza ahadi zake kwa wananchi, ikiwemo kuboresha sekta ya elimu nchini. Makonda ameyasema hayo wakati akizindua Shule ya Msingi Butiriti, iliyopo Wilaya ya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Takriban mwaka moja tangu treni ya SGR ipate ajali Ruvu, ila hakuna taarifa rasmi ya chanzo, harasa wala hatua zilizochukuliwa

    Oktoba 23, 2025, treni ya SGR ya mchongoko (EMU) iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ilipata ajali katika eneo la Ruvu. Jambo la kufurahisha ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha, ingawa ajali hiyo ilisababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu, ikiwemo reli na njia za umeme...
  20. R

    JamiiForums Tanzania KERO Angalia Barabara toka Dodoma kwenda Iringa. Serikali ijitafakari

    Clip inatosha bila maelezo
Back
Top Bottom