Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 1,028
- 1,790
Taswira(Historia) ya uongozi na viongozi wake wanaakisi au wanatafsirika vipi na jamii? Na katika hiyo taswira wana-athari gani kwa mustakabali mzima wa Taifa, ref; Wanamtandao.
Holela holela/Kujichukulia Sheria mkononi huku sheria na katiba ikichezewa kitaaluma na wanataaluma wanaolipwa....ilhali wewe ndio mshika mpini/top hii inatafsirika vipi kwa jamii, au kama hari ndio hii yeye(jamii)aende wapi/afanye nini? kuipata hiyo haki.
Kwa wanaojua hii michezo mnayoicheza mnafikili wanabakia na machaguo yapi kama kila kona mmebana...
Ni sawa na kupambana na paka katika chumba kisichokua na upenyo.
Ushauri wangu ni kwamba hiki ki-block cha Tanzania [mainland na visiwani] ifanye inavyofanya ila isifungamane na upande wowote, na Ihubiri Haki amani na Upendo ulimwenguni na mbinguni kote...pasipo kujali tofauti ya aina yoyote ile.
Itoe fursa kwa kila atakaeona anamkakati/mpango wa kushilikiana na Tanzania.
Tuhakikishe Tanzania inatoa kipaumbele kikubwa katika misingi ya haki, Utawala bora wa sheria.
Uongozi ujikite katika kuhudumia jamii, kuhakikisha jamii na mazingira yao ni rafiki kwa ustawi mpana. Tuachane na Monopoly mindset... Kuwa na kiongozi mwenye maamuzi nyeti at the same time anajihusisha na biashara (bepari) ni hatari... Haina afya kwa ukuaji na ustawi wa jamii.
Uongozi unapaswa kua katikati [neutral] buffering things to operate in optimum way.
Kwa mwenendo huu tutegemee uasi uwe mkubwa au mdogo uasi ni uasi tu...
Sasa ni bora muasi aasi kwa sababu za kijinga na kishenzi... Sasa nasikitika kuona kwamba scenario hii ni kinyume chake...Kama utatokea uasi basi muasi anayo sababu ya kufanya hivyo, nia anayo, kasoro uwezo tu...kumbuka penye nia pana njia.
Amani iwe nasi, nawatakia kila la heri.