Serikali kupitia wizara ya utumishi wa umma imezindua mfumo wa kuwasilisha malalamiko, pongezi na ushauri kwa njia ya kieletroniki.
Wadau najiuliza mfumo utasaidia kupunguza gharama za kufika maofisini kwa waliombali na makao makuu ya nchi?
Kweli wamezindua mfumo je watakua active kupokea na...
Mhe Rais nadhani huu Ni muda sahihi wakujua ni mteule yupi uliyemteua anaishi fikra zako na yupi anaishi fikra za tumbo lake na familia yake. Watumishi wachache wa Umma wamegawana kumbi za Serikali na hoteli kwa vikao ambavyo sidhani Kama vina tija.
Mhe. Wazir Mkuu alitumbua watendaji wa wizara...
Ili kupunguza malalamiko mitandaoni yanayopelekea viongozi wa kisiasa kutumbua Watumishi wa umma nakushauri uwaelekeze wakurugenzi, wakuu wa taasisi na Makatibu wakuu waweke wazi njia za mawasiliano Kama Nampa ya simu, WhatsApp na email ambazo jumbe zitakazotumwa zitawafikia wao tu bila kusomwa...
Ndani ya miezi miwili tumeshuhudia viongozi wakubwa wawili toka enzi za awamu ya mwendazake wakikutana na madhila makubwa tu kutokana na tabia yao ya kujikomba/kujipendekeza/kujiparata kwa kiongozi anayehusika na teuzi na mamlaka ya kinidhamu dhidi yao.
Hawa ni wafuatao:
1. Lengai ole Sabaya -...
1. Idara (department) mfano idara ya usalama wa taifa
2. Kurugenzi mfano kurugenzi ya mawasiliano ikulu
3. Mamlaka (authority) mfano mamlaka ya bandari
5. Taasisi mfano taasisi ya elimu ya watu wazima
6. Tume mfano tume ya uchaguzi
7. Baraza mfano baraza la michezo
8. Wakala mfano wakala wa...
Leo GENTAMYCINE nawapigia ' Salute ' JF Members wote kwani mnafanya Kazi kubwa sana ya ' Kuibua ' mambo mazito na makubwa ya Kuisaidia nchi ya Tanzania huenda kuliko mnavyojua.
Nakumbuka huko nyuma miaka Miwili imepita niliwahi kusema hapa hapa kuwa kama kuna Mshauri Mkuu namba Moja wa Rais au...
Naona wakati umefika tuweke kigezo cha umri kwa watu wanaoteeuliwa kushika nafasi au madaraka makubwa serikalini na katika Utumishi wa umma.
Katika nchi yetu, uteuzi hufanywa zaidi na Raisi na wateule wa Raisi wote hupewa dhamana au madaraka makubwa na hivyo kuna uwezekano baadhi hupewa...
Takriban wiki ya tatu tokea Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini kukamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Tume hiyo ilikuja na mapendekezo zaidi ya 19 ambapo mpaka sasa ukiondoa pendekezo ya kuagiza chanjo ya Corona ambalo serikali...
Watanzania wanajua rais wanayemtaka. Wanataka rais ambaye ata- sacrifice maisha yake kulinda rasilmali za nchi lakini hapa tunaye rais anayeongea kuhusu maridhiano na anawawezesha watu kuiba tena.
Si ndio maana watu walikuwa wanauliza kama mwanamke anaiweza hii kazi ya urais. Rais hachaguliwi...
Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
Habari wanabond, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mtu anayeishi taifa moja la ugaibuni (west).
Ninachokiona, tutazidi kubaki nyuma kama ajira zitakuwa zinatolewa kwa watu ambao hawajui nini kilifanya waajiriwe katika maofisi au taasisi za serikali, jirani yetu Rwanda kuanzisha kampuni...
Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama kichwa cha somo hapo juu kinavyoeleza naomba mnisaidie angalau aina tano tofauti za shahada ambazo nikizisoma hata nisipopata serikalini kazi bado nitakuwa na uhakika wa kupata mlo wa kila siku nimesoma HGL ahsante
Msipojitathmini taratibu sasa CMG ( Clouds tv 360 na Clouds FM Power Breakfast ) mnaanza kupoteza Credibility yenu kwa Audience kubwa mliyokuwa nayo.
Nyie ndiyo Media mnayoongoza kutumika kujipendekeza na kuwapamba Viongozi wenye Sifa na kashfa mbaya walioko Serikalini kwa kuwapa Airtime kubwa...
Biomedical Engineering ni moja ya idea muhimu kwenye sekta ya afya. Ni idara kama Pharmacy, Radiology, Medical Laboratory, Dental n.k
Kwa Tanzania ni Idara changa sana katika hospitali zetu,Ilianzishwa na chuo cha DIT mwaka 2012 kwa ngazi ya diploma na wahitimu wake wa kwanza ni 2014, baadaye...
Kuna vijana wahitimu wa vyuo vikuu wengi wameajiriwa kwa mikataba ya kujitolea serikali za mitaa serikali kuu na mashirika ya umma.
Hakika inauma sana unapoona mtu amesota miaka miwili halafu nafasi imetoka anaomba halafu anapewa mtu mpya hajatoa jasho lolote kujitolea.
Kwa vyovyote yafaa...
Tanzania kama Dunia inaondoka kwenye jela la kutegemea kazi za serikali. Kazi za serikali zunatakiwa ziwe za muhimu tu lakini kumekuwa na vijana wengi wanasubiri seeikali iwape kazi.
Nawajulisha amkeni na tafuteni kazi kwenye kampuni binafsi, anzisheni miradi kama kilimo au katafute kazi nje...
Jana jioni wakati nikisikiliza Kipindi cha BBC Dira ya Dunia ( kama kawaida yangu ) nilishtushwa kidogo nilipoisikia 'insert' ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari 'Mwanazuoni' Dkt. Hassan Abbas na 'Kiingereza' alichokitumia.
Wakati akizungumza kuhusiana na Masuala ya Habari, Wadau wa Habari huku...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamis Hamza amesema Serikali inaendelea na jitihada za kupunguza tatizo la wakimbizi Nchini kwa kuwarejesha makwao wakishirikiana na Jumuiya za Kimataifa na Nchi wanazotoka
Akiwa Bungeni Dodoma, amesema "Baada ya Wakimbizi hao kuondoka maeneo yote ya kambi...
Wadau kwema,
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza yani ipo hivi naskia mara kuna kiwanja cha ndege kinataka kujengwa kuanzia Mwezi huu tarehe 30 ndo wanaanza hizo process, ila sijajua vibarua utaribu huwa unakuwaje? Ili kupewa kazi kwenye hizo tenda za ujenzi wa kiwanja cha ndege.
Nawaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.