serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ex - CAG Uttoh: Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yanatoa 'Gawio' Serikalini Kimakosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa Kujipendekeza

    " Siyo sahihi kwamba kila Shirika au Kampuni Kisheria linatakiwa kutoa Gawio kwa Serikali. Ni bahati mbaya mno Watu hatupendi Kusoma Sheria na Taratibu mbalimbali na tukitishwa tu tunalegea na kutoa. Mashirika na Makampuni mengi yalikuwa yakitoa Gawio kwa Makosa, Kinafiki, Kiuwoga na kwa...
  2. J

    CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

    CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake. Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends. Uttoh amesema...
  3. M

    Waziri Mkuu Majaliwa nahisi kwa hili la Kiwango cha 'UKIMWI' Tanzania ' Umedanganywa' na uliowaamini kiutendaji huko Serikalini

    Mheshimiwa bahati nzuri sana Sisi wengine kama Mimi Generalist ni Watu wa 'Kujichanganya' mno na Watu mbalimbali wenye Hadhi fulani, wa Kawaida na hata 'Kajambanani' Wenzangu. Mheshimiwa Waziri Mkuu ( Premier ) Kassim Majaliwa kuna mahala nimekusikia na kukuona ukitoa Taarifa juu ya Maambukizi...
  4. ndege JOHN

    Prof. Mussa Assad: Asilimia 60 ya viongozi wana uwezo mdogo

    Dar es Salaam. Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya kuanza na safu mpya ya viongozi serikalini, kwa kile alichokidai kuwa waliopo wengi hawana uwezo mzuri kiutendaji. Profesa Assad amesema hayo leo Aprili 10, 2021 wakati wa uzinduzi...
  5. Mzanzibari Huru

    CAG isiwe na kazi ya kutuletea taarifa ya majizi na pesa waloziiba serikalini ni bora watafute mbinu ya kuzuia wizi, hili pendekezo

    Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji. Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
  6. Mr Dudumizi

    Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

    Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli. Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea...
  7. Maleven

    Je walio Serikalini hawafahamu umuhimu wa internet kwa dunia ya leo?

    Internet sio anasa, internet sio jambo la option, internet ni ulimwengu kama ulivyo ulimwengu wa kifizikia, Watu waanasoma mtandaoni Watu wanafanya biashara mtandaoni Watu wanaburudika mtandaoni Watu wanasoma mtandaoni Watu wanapata taarifa mtandaoni Watu wanajuliana hali na kuendeleza mambo...
  8. kidole33

    Call For Interview. Serikalini maeneo mbalimbali.

    Fungua hapa chini.
  9. M

    Ole Sabaya: Rais Samia Suluhu ameleta tumaini jipya katika wakati bado taifa likiwa kwenye maombolezo ya Hayati Magufuli

    Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema kuwa Rais wa sasa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameleta tumaini jipya katika nchi yetu wakati bado Taifa likiwa kwenye maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Magufuli "Katikati ya majonzi umeleta tumaini...
  10. D

    Leo ni mwaka mmoja kamili toka kifo cha Shangazi wetu kilipotokea kwa kutumbuliwa utumishi Serikalini. Inasikitisha

    Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university. Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke. Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali...
  11. Superbug

    Mzee Ibughe ni nani Serikalini? Angali haya maeneo anayoonekana utagundua siyo mtu wa mchezomchezo

    1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ. 2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?) 3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje. 4.Aliwahi kuwa mwenyekiti kikao cha SADC katika capacity kubwa tu via zoom 5.Jana msibani alikuwa...
  12. Analogia Malenga

    RC Mndeme: Wafanyabiashara msigome, tumieni busara kuwasilisha hoja Serikalini

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa rai kwa wafanyabiashara kuepuka kufanya migomo isiyokuwa na tija badala yake kutumia hekima na busara kuwasilisha hoja zao serikalini. Mndeme ametoa rai hiyo wakati anazungumza katika kikao cha wafanyabiashara Mkoani Ruvuma kilichofanyika hivi...
  13. P

    Mgodi wa makaa ya mawe pale Kiwira ulirudishwa Serikalini au bado ni wa Mkapa?

    Amani iwe nanyi, napenda kuuliza maana kuuliza sio ujinga. Hivi ule mgodi wa makaa ya mawe pale kiwira ulirudishwa serikalini au bado ni wa mh mkapa? Pia napenda kuuliza ile mitambo ya Richmond pale ubungo ambayo imebadilishwa jina sasa inaitwa DOWASI ni Mali ya serikali au bado ni ya mh...
Back
Top Bottom