sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO SGR stesheni ya Dar es Salaam haina seats za kutosha eneo la kusubiria. Wakata tiketi pia hawatoshi

    Waiting haina seats za kutosha abiria wanalazimika kusimama for 2 hours, tickets printing area kuna uhaba wa wafanyakazi. Tunaomba waongeze viti sehemu ya abiri kwa sababu kusumama for 2 hours siyo sahihi.
  2. C

    Ushauri: Ili kuwahi kufika Mwanza ktokea Dar es Salaam panda SGR (Dar-Dom) malizia na basi

    Safari ya Dar-Mwanza inachosha ili kupunguza muda wa safari kamata SGR mpaka Dom (kuwasili saa 4 asubuhi) kisha kwea Basi mpaka Mwanza. Asanteni
  3. J

    Bungeni Leo: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atoa maelekezo mapya uendeshaji wa treni ya SGR

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kuendelea kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa. Pia, Majaliwa ameagiza miundombinu ya mradi huo inaimarishwa ili uweze kudumu kwa muda mrefu. Kauli ya Majaliwa inakuja...
  4. F

    Makubaliano ya China na Tanzania ni kuimarisha reli ya TAZARA iliyopo (MGR) na sio kujenga nyingine kwa viwango vya SGR

    Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania. The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge...
  5. A

    KERO Askari wanatukamata Wafanyakazi wa SGR kisa tumesema Mkandarasi hajaingiza malipo yetu ya NSSF

    Sisi Wafanyakazi wa Ujenzi wa SGR kwa hapa Lot 1 ambayo inahusisha Dar – Moro baada ya kulalamika kuhusu Mkandarasi Mkuu, Yapi Merkezi kuwaondoa watu kazini kwa gia ya likizo huku wakiwa hawatulipi stahiki zetu ikiwemo, malipo ya NSSF, kumeibuka baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi wanatukamata...
  6. Roving Journalist

    Wafanyakazi wa SGR (Lot 1) wafanya mgomo, washinikiza Mkandarasi awalipe stahiki zao ikiwemo NSSF

    Wafanyakazi wa SGR - Lot 1 wameamua kufanya mgomo wakishinikiza malipo yao ya NSSF kuingizwa kwenye akaunti Pia soma ~Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF ~ Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) anawaondoa Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa...
  7. A

    KERO Huduma mbovu kwa wateja stesheni ya SGR Dar es Salaam

    Well and good tunashukuru Serikali kwa kuanzisha huduma hii hakika inaleta unafuu na kukuza uchumi wetu as well kuipa sifa nchi yetu. Ingawa kuna changamoto kidogo ya baadhi ya wahudumu kutokua na customer care nzuri, just imagine mtu unashida ya kuextend au kucancel safari mhudumu anakujibu...
  8. HaMachiach

    Tren ya SGR yazidiwa na abiria kutoka Dar to Dodoma

    Abiria wanao tumia tren ya mwendo Kasi SGR kutoka Dar to Dodoma wamekuwa wengi sana kupelekea tren kukaa mapema huku abiria wakikosa sit nashauri wahusika waongeze mabehewa kuliko kutumia hayo 14 tu yaliyopo mtu unatafuta sit siku mbili mbele unaambiwa tren imejaa. Mfano Jana jumamosi...
  9. Nkamu

    TRC - SGR waongeze Treni za kwenda Dodoma kwa siku

    Habari zenu wajumbe wenzangu wa jukwaa hili adhimu! Nimekutana na changamoto hii kwa mara tatu sasa. Unaingia kwenye mtandao wa kukata tiketi wa SGR kutoka Dar kwenda Dodoma unakuta treni zimejaa siku mbili mbele. Hivyo kama una safari ya ghafla kwenda au kutoka Dodoma huwezi kutumia treni...
  10. Jeep wrangler

    SGR wana app yao ambayo unaweza kukata tiketi?

    Naomba kuuliza je SGR wana app yao ambayo unaweza kukata tiketi kwa njia ya mtandao au tovuti? Msaada tafadhali
  11. Twilumba

    Vioja vya abiria wa treni ya SGR

    Nipongeze awamu zote zilizojikita kwenye wazo na hatimaye kumamilika kwa train ya mwendo kasi ya SGR. Kiukweli ni mapinduzi hasa kwenye nyanja ya usafiri katika maeneo yanayopitiwa na kufukiwa na usafiri huo. sambamba na hilo vipo vioja ambavyo kwa kweli vipekuwa vikiwakumba baadhi ya abiria...
  12. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Fyatu: Ni mabingwa wa kuzindua vitu

    Haiwezekani hata mwezi haujapita watu washaanza kulalamikia SGR, yaani uhamasishaji wote wa kwanini hii ni reli ya kisasa. Kumbe bado ina watu wa kizamani!! Wanafikra za kizamani. Imenikumbisha Wabongo tunavyopenda kuzindua vitu. Angalia vitu vilivyozinduliwa kwa mbwembwe za mbio za mwenge...
  13. SAYVILLE

    Iletwe pia SGR treni ya kubeba magari

    Katika maboresho ya SGR na kuongeza wigo wa huduma, ningeshauri iongezwe treni itakayokuwa inabeba magari madogo. Niliwahi kuona treni ya namna hiyo ikifanya kazi Ulaya. Imagine unasafiri kwenda mkoa fulani mfano kutoka Dar hadi Dodoma na unajua utakuwa huko kwa siku kadhaa na unajua katika...
  14. Roving Journalist

    Yapi Merkezi: Hakuna Mfanyakazi wa SGR atakayefutwa kazi bila kulipwa stahiki zake ikiwemo NSSF

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mfanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kulalamikia kuhusu Mkandarasi Mkuu wa Mradi, Yapi Merkezi, kuwa anawaondoa watu kazini kwa lazima kwa njia ya likizo na kuwa haingizi malipo ya NSSF, ufafanuzi umetolewa na Mkandarasi...
  15. A

    Kadi maalum zitumike kupanda/kulipia SGR

    1. Haya mambo ya Ticket za karatasi ndio maana watu wanapanda Dar-Dodoma kwa 1,000 Tsh. 2. Weka mfumo wa kulipa kwa Kadi maalum ya SGR mtu ana-scan gate linafunguka na akifika hatoki mpaka a-scan Kadi Yake. Nimeona nchi nyingi wakifanya hivyo. Na inspector awepo. Ukibambwa faini x100 ya nauli...
  16. Dali Mpofu

    Hivi ajira za Wahudumu kwenye Treni zilitangazwa lini?

    Nimeona mchakato toka reli inaanza kujengwa, Treni zenyewe kufika, na Tarehe ya uzinduzi. Hakuna mahali nimeona Tangazo la kazi mchakato wa kupata izi ajira kwenye treni pamoja na wahudumu? Je wamepatikanaje? Soma Pia: Baadhi ya Wahudumu wa Treni ya SGR (Dar) wanalangua tiketi kisha wanaziuza...
  17. Pang Fung Mi

    DOKEZO TAKUKURU Naomba Msitumike Vibaya kwa mambo ya Kizembe na Kijinga ya TRC kwenye Tickets za SGR

    Salamu kwenu nyote. Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye uwezo wa kuiga na kupanga mambo mazuri sana, ikiwemo sera na kuweka mikakati ya uwanzishwaji wa mambo ya kimaendeleo. Hali kadhalika ni nchi inayoongoza kwa kujifelisha yenyewe kimakusudi huku ikijivika upofu wa kimakusudi. Ni Taifa...
  18. BigTall

    Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) anawaondoa Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima, pia hajaingiza malipo ya NSSF

    Sisi Watumishi wa SGR ambao tupo chini ya Mkandarasi Mkuu wa mradi huo, Yapi Merkezi tunasikitishwa na kitendo cha Muajiri wetu kupunguza Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima. Uongozi wa SGR Lot One inayoanzia Dar es Salaam kwanza ulitutaka kwenda likizo ya miezi minne, wengine...
  19. Askari wa miguu

    Tiketi ya Sgr

    Habari wadau, nauza tiketi zangu za Sgr Dom - Moro leo jioni na Dar -Dom jumapili 18 Agosti 24 treni ya jioni pia, nimepata dharura nimehairisha safari kama yupo mtu interested naweza kumuuzia kwa bei hiyohiyo, contact me 0677497792
  20. Yoda

    Wizi wa udanganyifu wa tiketi katika SGR umenikumbusha walafi enzi za shule. Hakika "samaki mkunje angali mbichi"

    Katika shule za secondary nilizosoma nyama na wali vilikuwa vyakula adimu sana hivyo siku vikipikwa ilikuwa ni harakati kubwa mithili ya "survival for the fittest". Nyama ilikuwa inapikwa mara mbili au mara moja kwa wiki, hivyo pia kwa wali. Watu wengi ambao walikuwa wanaonekana wastaarabu siku...
Back
Top Bottom