The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".
Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X
NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR.
NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR.
Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akizindua Rasmi Mradi wa Mkakati wa Treni ya Umeme ya SGR Dar es Salaam hadi Dodoma, leo tarehe 1 Agosti, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=Y8AnFX67QZU
Rais Samia amewapongeza watanzania wote kwa kukamilisha mradi huu na...
Treni za Mwendokasi ni treni nzuri sana, in short they are comfortable and fast. Lakini kama mwanaharakati, I haven't noticed many obligations but recently people in the social medias wameleta malalamiko yafuatayo;
1. No smoking zone in waiting area
Waraibu wa sigara wamelalamika kwamba hamna...
Baada ya JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui mnamo Mei 2024 kuwa Serikali haijawalipa malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR, imeripotiwa wahusika hao wamelipwa.
Hoja la malalamiko ya awali...
Tunapohoji sana haya masuala tunaitwa Wapinga kila kitu, Sasa nyie mnaokubali kila kitu Tuambieni hapa mmeelewa nini?
Je ni kweli kwamba Abiria hawakujua na walifika wanapokwenda kwa wakati?
Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Waziri wa Uchukuzi Mh Makame Mbarawa
HATA HIVYO MIMI NAPINGA JAMBO HILO KWA NGUVU ZOTE NA NITAHAKIKISHA HALITEKELEZWI KWA SABABU HALINA MAANA YOYOTE KWA WANANCHI NA WALA HALITOSAIDIA CHOCHOTE
Majina ya viongozi yabaki kuwa mali ya familia zao kwa faida ya koo zao...
Najaribu kukata tiketi kwa njia ya mtandao lakini sifanikiwi, mfumo haufanyi kazi, nifanyeje?
Pia soma: TRC: Tumewakamata Watu kadhaa waliokuwa wanafanya ulanguzi wa tiketi za SGR na kufanya udanganyifu
Kwangu Mimi GENTAMYCINE ninachojua mazuri yote hasa ya Kimiundombinu yanayotokea sasa yametokana na Hayati Magufuli na bado sijaona hata moja ambalo aliyeko sasa anaweza kusema Yeye ndiyo kalifanikisha na kama labda kuna alilofanikisha kwa upande wake ni Kucheza Sinema Mbugani na kufanya...
Labda baadae waboreshe, ili watu wasafiri wanaokaa mbali na hiyo railway line wasogezwe labda kituoni pugu, Chalinze, kariakoo. Tofauti ya nauli ya basi na Hilo SGR ni aftatu dar Moro, Sasa sisi wa mpiji magohe ambao tumeshatengwa na Bashungwa na mbunge wake anaitwa kama sikosei mtemvu si Bora...
Hatimaye SGR imeanza kazi rasmi kwa safari za Dodoma -Dar.
Watu wa viunga vya Dodoma wamechangamkia fursa cha kuvutia zaidi ni jengo la station kuu Dodoma, jengo lake limejenjwa mithili ya terminals za airport na lenye nakshi za taa nzuri za kuvutia.
Watu wa Dodoma nao wamechangamkia fursa kwa...
Hii Treni ya Sgr ingepita Karibu na miji Midogo ya Mdaula, Chalinze, Mlandizi na Kibaha Ingekuwa fursa kubwa sana kiuchumi na Watu wengi wangeishi katika miji hii na kufamya shughuli zao Dar es Salaam kwa Urahisi sana Sijui kwa nini Wenye maamuzi hawakuliina hili
Hii tabia ya kupitisha treni...
Wakuu mimi nipo Bariadi mitaa ya Gamboshi huku.
Ningependa kujua kwa mlio tumia SGR by experience Dar to Moro na Moro to Dodoma ni masaa mangapi?
Na nauli ni Tsh ngapi ?
Watu wa Mwanza Bariadi Shinyanga na Musoma safari ya kwenda Dar ni mateso huwa tunafika usiku mnene
Napenda kujua ili...
Wadau hamjamboni nyote?
Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus
Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma
Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza.
Mchana mwema
Serikali imejiandaa vipi dhidi ya wahujumu uchumi na mali za shirika la reli Tanzania? Kama tunavyojua treni zinaweza kuwa mbadala mkubwa wa mabasi ya mikoani DAR TO MORO na wamiliki wa mabasi hawatokuwa nyuma kuhujumi uchumi wa shirika.
walamsiki
Shirika la reli nchini, Tanzania Railways Corp limefanya kweli kwa kutoa ratiba ya safari za treni Dar-Dom zitakazoanza Julai 25 na sasa kwa treni ya mwendokasi utaweza kusafiri kwa masaa 3.25 kutoka Stesheni, Dar es Salaam mpaka Dom. Usafiri wa mabasi ya mikoani kawaida hutumia masaa nane...
Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo inapokatiza Reli ya Mwendokasi (SGR).
Licha ya mradi huo unaoratibiwa na Shirika la Reli Tanzania...
Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai.
Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki.
Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.