shaba

The Inga–Shaba EHVDC Intertie (officially: The Inga–Shaba Extra High Voltage D.C. Intertie; nickname: Inga–Shaba and also referred to as Inga–Kolwezi) is a 1,700 kilometres (1,100 mi)-long high-voltage direct current overhead electric power transmission line in the Democratic Republic of Congo, linking the Inga hydroelectric complex at the mouth of the Congo River to mineral fields in Shaba (Katanga). It was primarily constructed by Morrison-Knudsen International, an American engineering company, with the converter equipment supplied by ASEA. Construction was completed in 1982 and it cost US$900 million. The scheme was, for many years, the longest HVDC line in the world.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Mavunde: Kiwanda cha kuchenjua shaba Nala, mkombozi kwa wachimbaji wadogo wa madini

    Ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua madini (Shaba) Nala Mkoani Dodoma ni mkombozi wa wachimbaji wadogo na unakwenda kutibu changamoto katika eneo la kimadini Waziri wa Madini Anthony Mavunde ameyabainisha hayo leo jijini Dodoma wakati wa ziara ya kukagua Kiwanda hicho cha Uchenjuaji madini aina ya...
  2. Biashara ya madini ya shaba

    Habari wadau Kuna mtu yoyote qnaejua biashara ya madini ya shaba kutoka zambia na kusqfieisha kwenye nji nyingine je utaratibu wake up upoje mwenye uelewa ndugu zangu nahitaji msaada
  3. Waziri Mavunde: Kampuni ya Tembo Nickel Yafanikiwa Kusafisha na Kuzalisha Madini ya Nikeli, Shaba na Kobati Kwenye Kiwanda Kilichopo Kabanga, Ngara.

    WAZIRI MAVUNDE: TEMBO NICKEL YAFANIKIWA KUSAFISHA NA KUZALISHA MADINI YA NIKELI, SHABA NA KOBATI KWENYE KIWANDA KILICHOPO KABANGA, NGARA, HII NI HABARI NJEMA Kampuni ya Tembo Nickel ambayo Serikali ya Tanzani ni mbia, imepata mafanikio ya kihistoria - kwa mara ya kwanza! Tembo Nickel kupitia...
  4. Mwanariadha Alphonce Simbu awasili nchini na Medali ya Shaba kutoka Korea Kusini

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania toka (JWTZ) Sgt. Alphonce Felix Simbu awasili Tanzania Kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Viongozi wa Michezo na Makocha kutoka Jeshi la ulinzi la wananchi la Tanzania (JWTZ) baada ya kushinda kwa kushika Nafasi ya Tatu...
  5. Mwanariadha Alphonce Felix Simbu Ashinda Medali ya Shaba, Daegu Marathon Korea Kusini

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu ashinda medali ya Shaba kwa kushika nafasi ya Tatu , kwa muda wa (2:07:55) kwenye Mashindano ya DAEGU MARATHON yaliyofanyika usiku wa leo 7/04/2024 huko Korea Kusini. Mshindi alikuwa Stephen Kiprop ; 2:07:04 na pili alikuwa Kennedy...
  6. Video: Kubwa la HAMAS bwana Hassan Atresh lapigwa shaba na kuuawa

    Hawa wanaisha hadi basi tu.... An Israeli fighter jet successfully assassinated Hamas leader Hassan Atrash, the IDF and Shin Bet announced on Saturday. The assassination took place in the Rafah area in southern Gaza. Atrash was responsible for the trade, production, and equipping of the...
  7. Kamanda Mkuu mwingine wa HAMAS apigwa risasi na kuuawa

    Huku uvamizi ukiwa tayari kuanza muda wowote, Israel wanaendelea na fagia fagia za HAMAS, wanafyeka sio mchezo. =========================== The Israeli military said it killed a Hamas commander as part of strikes on some 250 targets Sunday, mostly in the northern Gaza Strip. The commander was...
  8. Serikali yampokea Mwanariadha Magdalena Shauri baada ya kushinda Medali ya Shaba

    Mapokezi Makubwa ya Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Magdalena Chrispin Shauri (alie vaa bendera ya 🇹🇿) Jijini Arusha, katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha, na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela , Charles Maguzu kutoka BMT na Kiongozi wake Jeshini (JWTZ) Arusha. mara...
  9. Tanzania yaichapa Libya 9-3, Yatwaa Medali za Shaba (Bronze) kwenye Michuano ya Soka la Ufukweni

    Timu ya Tanzania ya Beach Soccer imepata Medali ya Bronze baada ya kufanikiwa kuwachapa Libya Magoli 9-3. Morocco imetwaa Ubingwa baada ya kutoka Sare ya 3-3 dhidi ya Senegal, mchezo ulioishia kwenye Matuta ambapo Morocco imeibuka na ushindi wa Magoli 4-3. Mgawanyo wa Zawadi umekuwa kama...
  10. Ijue Nehushtani, nyoka wa shaba aliyeabudiwa na Israeli

    IJUE NEHUSHTANI, NYOKA WA SHABA ALIYEABUDIWA NA ISRAELI. Joka la Shaba alilitengeneza Musa jangwani na kugeuka kuwa mungu wa Israeli. Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Bwana Yesu apewe sifa wapendwa. Ikiwa ni siku njema Bwana ametupa kibali cha kuiona siku hii ya leo, si kwa sababu sisi ni wema...
  11. Saba wauawa katika shambulizi la Ukraine, Urusi yaondoa nyambizi zake

    Kwa ambavyo Ukraine wanatembeza kichapo, sasa hivi chochote cha Mrusi inabidi kufichwa mbali, wametorosha nyambizi zilizokua black sea. ============= A Ukrainian strike on a village in the Luhansk region of eastern Ukraine killed seven people on Tuesday, the TASS news agency reported, citing...
  12. Warusi waomba majenerali wao wapigwe shaba na kuuawa kwa kusababishia nchi aibu

    Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana na nchi yao...wenyewe wanaita "mother Russia" A Russia state-media host has called for the...
  13. Japan: Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe afariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi

    Shirika la Habari la NHK linaripoti kuwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amekimbizwa Hospitalini baada ya kujeruhiwa kwa risasi mgongoni wakati akitoa hotuba katika Mji wa Nara. Imeelezwa, Abe ambaye aliachia nafasi ya Uwaziri Mkuu mwaka 2020 kwasababu za kiafya alidondoka wakati...
  14. Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi. Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda. Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na...
  15. Wakenya washinda medali ya dhahabu na fedha mtawalia kwenye mbio za marathon kule Tokyo

    Kama kawaida Wakenya wanaendelea kukusanya medali kadhaa kule, vipi majirani kunaye anatajika hata kuonekana tu kwenye TV. • Fellow Kenyan Brigid Kosgei took silver and Molly Seidel of the United States took bronze • Battling hot and humid conditions, Chepng'etich dropped out around the 30km...
  16. Uhuru wa fikra na sanamu za shaba

    Mungu ibariki Afrika. Heshima kwenu ndugu zangu katika Jamii forum, washiriki katika Jamii forum page Facebook, Telegram na search engine zote zenye unapata kuunganishwa na nyuzi zote makini kutoka JF. Kwanza kabisa napenda kuupongeza uongozi wa JF kwa kuleta mabadiliko na elimu pana...
  17. D

    Wizara ya Nishati na madini toeni ufafanuzi; kwanini soko la shaba (copper) limepaa maradufu?

    Kuna malalamiko mengi sana juu ya soko la shapa kupaa! Gharama ya mauzo na manunuzi ya shaba (copper) imepaa sana kwa zaidi ya 45%-55% ya bei ya awali je tatizo ni nini? Nani anafahamu kwa nini soko la madini hayo limepaa sana? Shida iko wapi? Wenye majibu tafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…