Kuna kampeni ya wizi wa vyuma vya earth (earthroad) na koki za shaba, kuweni makini

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
783
Reaction score
3,666
Kwa wenye nyumba ambazo hazina uzio, kuna wahuni wanaiba earthroad na koki za shaba. Ni takriban wiki sasa wamepita mitaa mbalimbali ya Kibaha hasa Mlandizi.

Kwakua huna ukuta, basi jitahidi chuma kichimbiwe chini zaidi na pia umwage zege around.

Mwisho tunaomba jeshi la polisi kufanya uchunguzi hvi vifaa bosi ni nani au soko.

Shukran
 
Hatari sana ,wezi wanarudisha nyuma sana watu ndiyo maana wakidakwa wanachomwa moto.
 
Kwa wenye nyumba ambazo hazina uzio, kuna wahuni wanaiba earthroad na koki za shaba. Ni takriban wiki sasa wamepita mitaa mbalimbali ya Kibaha hasa Mlandizi.

Kwakua huna ukuta, basi jitahidi chuma kichimbiwe chini zaidi na pia umwage zege around.

Mwisho tunaomba jeshi la polisi kufanya uchunguzi hvi vifaa bosi ni nani au soko.

Shukran
Ooh pole sana. Inabidi washughulikiwe hao na wanaonunua.
 
Goba wameshalamba 'earth rod' na koki zetu.
Kwangu walipiga earth rod ya shaba OG mwakajuzi.
 
Sasa hivi Copper imezuiliwa kuuzwa vyuma chakavu.
Sijui wanauza wapi? Hawa wezi ndiyo walitakiwa kutekwa na kupotezwa au kupakwa mafuta ya Boniface Mwangi na marungu ya unyayoni kisha kuachiwa. Wakipigwa futa la Boni huku wamening'inizwa taco juu wataacha harakati za wizi.
 
Kuna kijana alikamatwa anaiba pump ya kisima kwa jirani pamoja na wire zake. Wadau wakataka kumchoma moto baada ya kumpiga kipigo kikali cha kimya kimya. Jamaa wakaleta petroli ila Kuna mdau akashauri kabla ya kumchoma moto huyo kijana ahojiwe asikilizwe. Kijana akakiri kuwa ameiba na amekuwa akiiba ila akaomba aongee na simu na mke wake. Akaruhusiwa kuongea na mke wake akaweka loud speaker. Kijana akamwambia maneno machache mke wake kuwa amekamatwa maeneo ya chanika akiiba pump na atachomwa moto na akaendelea kumwambia mke wake awatunze watoto wake na amtaarifu mama yake mzazi ambaye anaumwa na amelazwa kuwa amepatwa na maswaibu hayo akimpambania uhai wake.

Kilichotokea kijana hakuchomwa moto walimuacha na ilibainika mama yake mzazi alikuwa na saratani na alipewa rufaa kwenda hospitali ya ocean road . Nyumba iliyoibiwa pump ni ya daktari bingwa wa magonjwa ya saratani anayefanya kazi ocean road na kwa mama Ngoma. Daktari aliyeibiwa pump akaamua kumsaidia mama wa kijana kupata matibabu na wakamsamehe kijana.

Kabla ya kuwachoma moto na kuhukumu wezi na vibaka ni muhimu sana tufahamu kwa undani na tujue kinachowasibu kabla ya adhabu sababu sisi wote hatujawahi kuingia na kufahamu undani wao.
 
Umemaliza u

Ujinga sana, hivi unadhani huyo muiz ukikutana nae wewe atakusamehe?
2. Kwanini asiombe msaada?
Hakuna justification ya wizi.
 
Kweli kabisa
 
Jiangalie wewe!
 
Umemaliza u

Ujinga sana, hivi unadhani huyo muiz ukikutana nae wewe atakusamehe?
2. Kwanini asiombe msaada?
Hakuna justification ya wizi.
Yes ni ujinga sana mkuu, upo sahihi hakuna justification ya wizi. Je, ni halali na haki kuondoa uhai wa mtu sababu ya wizi? Of course alipaswa kuomba msaada badala ya kuiba.
 
Back
Top Bottom