Maskini: Mimi maandamano yananisaidia nini? Acha raia wapigwe shaba tu!

Maskini: Mimi maandamano yananisaidia nini? Acha raia wapigwe shaba tu!

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Naomba tupate KOMENTS fupifupi juu ya uyu mwamba ambaye ameridhika na umaskini mpaka kufa kwake.
 
Elimu Elimu Elimu.

Huyo haelewi lolote, hajui hata haki zake.
Serikali hata ikimchuna ngozi yeye sawa tu.
 
Kondoo wameshaamua kuondoka zizini hata mfanyeje!

FB_IMG_17624907321940701.jpg
 
Akili zako zinafanana na kuwaza kwako na wala hayupo wa kukulaumu maana mtoto mpumbafu atabaki kuwa hasara kwa mamaye ila tafakari hili.

Zamani mpaka miaka ya 2000 iliaminika wanaougua presha ni ama watakuwa wanene sana ama ni wazee lakini sahivi sivyo ilivyo. Sasa hivi hata mtoto mdogo anapimwa ana presha na si ajabu tena.

Maana yake nini, uwazavyo leo kabla ya kesho sivyo utakavyowaza kesho ikiwa ishafika kesho yako.
 
Back
Top Bottom