Nipo safari ya kikazi mkoani Tabora,leo nikiwa natoka ofisini kwenda hotelini,niliona magari mengi yamepaki barabarani! Kwa kua sio kawaida hasa kwa Mkoa wa Tabora kua na magari mengi vile,nikawiwa kusogea na kuona kuna nini??
Pale kulikua na Shaka Hamid Shaka! Shaka anatumia magari ya Serikali...
SHAKA ATUMIA KIJIWE CHA KAHAWA TABORA KUELEZA MWELEKEO WA RAIS KATIKA KILIMO
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, (NEC) ya CCM, tikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea kijiwe cha Kahawa Lumumba kilichopo Tabora Mjini na kunywa kahawa na wananchi na kutumia fursa hiyo kuelezea hatua...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuanzia tarehe 16-20 Agosti, 2022 yenye lengo la kuimarisha uhai wa chama, kufuatilia na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama hicho ya mwaka 2020-2025 pamoja...
Mpaka usiku huu mkubwa bado watu wanatupigia makelele kisa kudhulumiwa matokeo au kukataa kutolewa matokeo kwa uongo wa simu /maelekezo kutoka juu.
Maelekezo yenyewe yana kanganya hivyo huenda hayajatoka juu.
Kata ya Ukonga wamelazimisha kupita Batenga ilhali haishi ukonga. Mgombea mwenzake wa...
CHAMA CHA MAPINDUZI KUVIFANYIA MABORESHO VYOMBO VYAKE VYA HABARI
Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 06 Agosti 2022 amekutana na kufanya kikao kazi na viongozi na watumishi wa vyombovya Habari vya Chama Cha Mapinduzi katika ukumbi wa mikutano...
SHAKA ANENA RAIS SAMIA AMEWASHA KIBIRITI KWENYE NYASI KAVU KUIBUA FIKRA KWA TAIFA JINSI YA KUIMARISHA UTALII, KUKUZA UCHUMI NA HISTORIA YA NCHI.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa chama na serikali kuwashirikisha...
SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA
Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa...
ZIARA YA MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA ZANZIBAR ASUBUHI HII.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumatano Julai 13, 2022 kuanzia asubuhi hii atatembelea katika Vyombo vya Habari vya Zanzibar kwa kuanza na Shirika la...
Watanzania,
Binafsi nampongeza Sana Ndugu yangu Maulidi kitenge kwa nondo zilizoshiba za kumjibu Shaka Hamdu shaka kuhusu Katiba Mpya na ushirikishwaji wake KWA wananchi!
Kitenge amemjibu shaka KWA kusema"wananchi wote walishashirikishwa swala la katiba mpya tena makundi yote kuanzia MAMA...
MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUFANYA ZIARA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA LEO- ASUBUHI HII.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumatano Julai 06, 2022 kuanzia Majira ya Saa 4 asubuhi hii atatembelea maonyesho ya Kibiashara ya Sabasaba Jijini Dar es...
SIKU YA PILI YA ZIARA YA MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA VYOMBO VYA HABARI.
Leo Jumanne Julai 05, 2022, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka atatembelea katika Vyombo vya Habari mbalimbali kwa Kuanzia TBC, Raia Mwema na Mwanahalisi Online...
Katibu wa halmashauri kuu ya Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema, " Agenda ya katiba mpya sio ngeni ndani ya CCM, na wakati wote ni CCM ndio imeratibu maswala yote, "
Aidha kiongozi huyo wa juu kabisa wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania amewataka Watanzania kufahamu kuwa CCM ni...
KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI.
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo Juni 22, 2022 katika Ukumbi wa (White House) Makao Mkuu ya CCM Jijini Dodoma.
Hili Jimbo linadhalilisha sana Jiji la DSM na CCM na wapenda maendeleo.
Mwenezi fumbua jicho lako eneo hili; linawadhalilisha, linawakosesha wananchi imani na Serikali akiwemo Rais mno. Shuka chini Shaka, usiishie kwa wajumbe watakudanganya kwa maslah madogo binafsi; kama anavyokudanganya...
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndg. Shaka Hamdu Shaka ametoa heshima kwenye kaburi la Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa huko Lupaso.
Mhe Shaka Hamdu Shaka yuko mkoani Mtwara kwa ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya 2020|25.
Hata mimi kama Jabali la Siasa nakubaliana na Nape Nnauye kuwa Shaka Hamdu Shaka ni kiongozi mnyenyekevu sana.
Shaka ana uchungu na Chama chetu cha Mapinduzi kwelikweli.
Msikilize hapa Bwana Nape mpaka mwisho.
CCM kiko katika chaguzi zake za ndani (kuanzia ngazi za mashinq, Malawi, Kata, Wilaya, na Mikoa) nchi nzima katika kipindi hiki. Ni Utaratibu mzuri wa Chama Tawala uliojiwekea ambapo wanachama wake katika maeneo husika hutumia fursa hii ya kidemokrasia ndani ya chama kugombea nafasi mbalimbali...
🔥🔰MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ASUBUHI HII🇹🇿.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumatatu tarehe 23 Mei, 2022 atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) Jijini Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.