shambani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Saint_Mwakyoma

    Tuliowahi kuvuniwa mazao yetu shambani kimaajabu tukutane hapa tafadhali tutoe sumu

    Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground. Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu zimejaa haswa unapolima kilimo cha biashara sio kile cha gunia tatu au nne. Wote tuliowaipitiwa na...
  2. S

    SoC03 Ukipata ajira kijijini furahi

    Ni ndoto yakila mtu kuwa na mahali ambapo patampatia ujira ambao utaweza kuyamudu maisha yake, mara nyingi tunapozungumzia neno ajira huwa tunazungumzia watu waliopata elimu juu ya jambo fulani inaweza kuwa ni udaktari, Ualimu, Uanajeshi na taaluma nyinginezo ijapo ajira huwa zinalenga watu wa...
  3. Crocodiletooth

    Serekali yangu pendwa mkulima ni yule aliyepo shambani.

    Nimestaajqbishwa mno na serekali yetu pendwa kuokota vijana mijini na kuwafundisha kilimo, badala ya kumfuata mkulima shambani na kumuongezea nguvu endapo kama ana ekari 2 muwezesheni afikie kumi, na anayelima ekari kumi muwezesheni alime 30 ekari, lakini kuokota vijana mijini na kuwapeleka...
  4. Lycaon pictus

    Mikate ya mahindi: Toka shambani hadi mezani

    Kwa kweli ugali(Unga na maji ) ni chakula duni sana. Tujifunze hapa tuachane na habari za ugali.
  5. N

    Je, ni kweli kuwa Utajiri unapatikana Shambani?

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, mpango wa kuwawezesha vijana kwa kuwapa ujuzi na mahitaji ya kuwawezesha kuanza shughuli za kilimo unakwenda kubadili hostoria ya Afrika. Kupitia mpango huu wa BBT, kila kijana anapata fursa ya kuijenga kesho yake iliyo bora. Wakati suala la ajira likiwa changamoto...
  6. Venus Star

    Jinsi ya kushika mpini shambani

    UTANGULIZI Kwetu hapa Tanzania kilimo ni uti wa mgongo. Hata duniani kote watu wanategemea mazao yatokanayo na kilimo. Kwetu hapa Tanzania tumekuwa na kilimo cha jembe la mkono kwa muda mrefu sana. Zamani wazazi wetu walikuwa wakiwafundisha vijana wao namna iliyo bora ya kushika mpini wakati...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

    Nawasalimu kwa jina la aliye juu wakulima wenzangu. Nasimama hapa kutangaza rasmi kwamba 2023 nitafia shambani. Nimejiridha pasipo na shaka kwamba mali utaipata shambani. Kwa hiyo 2022 nimeitumia vizuri kujiandaa na kutafuta mtaji. Nasema nitafia shambani nikijiamini kwa sababu ya maandalizi...
  8. L

    Msaada wa dawa ya kuuwa/Kuzui wadudu wanaokula mahindi shambani

    Wakuu kama kichwa cha habari. Nina vimahindi vyangu kama robo heka hiv vina kama mwezi hivi.Ila wadudu wanavishambulia hatari sana.mwenye uzoefu wa daqa ya kutibu hili( kama kuna njia za asili za kutibu zisizo na athali za mazingira nitafurahi sana pia).pia namna ya kizuia hawa wadudu.yaani...
  9. Equation x

    Twendeni shambani

    Huu msimu wa mvua; watu warudi mashambani wakalime. Kumekuwa na utaratibu wa watu kulalamika vitu kupanda bei, hasa bidhaa za mazao. Sasa kutokana na hizi mvua zinazoendelea kunyesha baadhi ya mikoa; zitumike kama fursa kwa kila mtu kwenda kulima angalau ekari tano (5) ili kupunguza kuwepo na...
  10. M

    Auawa kwa risasi akiokota kuni shambani

    Inasikitisha sana. Labda ndio maana tunatakiwa kupata Gas za kupikia hadi vijijini ====== Kamanda Mwaibambe alimtaja marehemu aliyepigwa risasi wakati akiokota kuni ni Athumani Ramadhani ambaye baada ya kupigwa risasi ya kifuani alifariki dunia papo hapo. "Kwa kweli hili ni tukio la...
  11. Zanzibar-ASP

    Kati ya samadi ya ng'ombe, mbuzi, kuku, nguruwe, Sungura nk. ipi ni bora zaidi shambani?

    Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga mboga, matunda au mahindi? Je, kati ya kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, Kuku, Nguruwe, Sungura ipi ni...
  12. Mohamed Said

    Nuru bint Sudi ''MaUTP ''Wana Majambo TANU Wanaichukia,'' (1957) Hadi ''Chukula Bora Shambani'' (1967)

    NURU BINT SUDI KUTOKA ''MAUTP WANA MAJAMBO TANU WANAICHUKIA'' (1957) HADI ''MAZAO BORA SHAMBANI'' (1967) Nuru bint Sudi katika wakati wake alikuwa mwimbaji nguli wa taarab kwanza na Al Watan kisha akahamia Egyptian. Hii ilikuwa miaka ya 1950 wakati harakati za TANU zimepamba moto wakipigiania...
  13. L

    Watoto mjini Nantong mkoani Jiangsu China wapata mafunzo yenye furaha shambani wakati wa mapumziko ya majira ya joto

    Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na...
  14. ILULA HILLS

    SoC02 Nimeamua kuingia mwenyewe shambani - Kilimo cha Parachichi

    Takribani saa tatu usiku sasa, tunamaliza pika Ugali – Dagaa, tunakula huku maongezi ya hapa na pale yanaendelea na mashujaa wangu hapa, wako mbali kabisa na makazi ya watu, ndio nawajuza mabadiliko ya mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi na wakuu wa mikoa, giza ni nene, baridi ni kali, hivyo wote...
  15. K

    Nimeuza 15000 kwa debe viazi mviringo shambani

    Bila shaka mko salama, Nina miaka 7 nalima viazi mviringo uku nyanda za juu kusini mkoa wa Iringa. Kwa miaka yote bei ya shambani ilikua inacheza sh 5000_8000 kwa debe shambani. Lakini ilipofika mwezi wa tano mwaka huu bei ilibadilika Sana na kufikia 15000. Wanunuzi wanatafuta kiazi mviringo...
  16. Roving Journalist

    Mtwara: Watu watatu wamefariki baada ya kushambuliwa na nyati wakiwa shambani

    Watu watatu wakazi wa kijiji cha Mahurunga kilichopo wilayani Mtwara, Mkoani Mtwara wamefariki baada ya kushambuliwa na nyati wakiwa shambani Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani humo ACP Nicodemus Katembo ametoa taarifa hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameeleza kuwa tukio hilo...
  17. Idugunde

    Kigoma: Radi yaua mama na mwanae wakiwa shambani

    Mama aliyefahamika kwa jina la Berthania Zabron na mwanaye Loveness Kulwa mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minane wamepoteza maisha huku baba wa familia hiyo Christopher Kulwa Abel akijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa shambani mkoani Kigoma. https://t.co/P5JkRYJBpI
  18. John Haramba

    Mwanamke auawa Tabora, mwili wake watupwa shambani

    Mkazi wa Mtaa wa Kamando Kata ya Igunga Mjini, Wilaya ya Igunga, Veronica Jackson Juma (26) ameuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kutupwa kwenye shamba la mahindi. Mwili huo umekutwa umefungwa kamba kwenye mikono na mdomo kuzibwa na kipande cha nguo. Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa...
  19. Kaiche

    Msaada wa namna ya kuangamiza hawa wadudu shambani

    Habari wanajamvi na wataalamu wa kilimo Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimekuwa na utaratibu wa kuzunguka shamban kwangu mara kwa mara ,,,Leo nimegundua kuna wadudu wa aina mbili ambao wanashambulia mazao ,,naambatanisha na picha zao Hivyo basi naomba msaada wa dawa ambazo zinaweza...
  20. B

    Msaada anayejua namna ya kudhibiti wizi wa mifugo shambani

    Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba kufahamishwa mbinu mbalimbali za kudhibiti wezi wa mifugo shambani.
Back
Top Bottom