shambani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DustBin

    SoC01 Vijana wenzangu tukalime kilimo kinalipa sana

    “Vijana wenzangu tukalime, kilimo kinalipa sana” haya yalikua maneno ya rafiki yangu mmoja ambae aliacha kazi yake ya kupiga picha (Camera Man) na kuhamia shambani kulima. Bwana Jenkeni ni rafiki yangu wa karibu sana, nilifahamiana nae mwaka 2014 alialikwa nyumbani Kimara kwenye sherehe ya...
  2. Sky Eclat

    Meza ya kulia kutumia miti iliyo shambani kwako

    Unaweza kutumia muembe au mfenesi ulio shambani kwako. Kumbuka kupanda miti miwili kabla hujakata mmoja.
  3. BILGERT

    Natafuta vijana wa kazi za shambani

    Vijana wa kazi za shambani wanahitajika, wawe waaminifu. Eneo la kazi ni Iringa, nikipata vijana watatu wanatosha. Kazi kubwa ni kuhudumia mashamba ya maharage, kuanzia hatua ya kupanda, umwagiliaji, kuweka mbolea pamoja na kupiga dawa. Kazi ni ya msimu wa miezi miwili. Malazi, chakula na Afya...
  4. python1

    Shairi: Kama mnataka mali

    Shairi bora kupata kutokea 1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafae maishani. 2. Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli, Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali, Roho naona yachinjwa...
  5. Mutensa

    Msaada: Mbinu Kufukuza Nyoka mashambani

    Wapendwa, Katika jitihada za kupambana na umaskini, nilichukua kakichaka ambako nakasafisha kwa ajili ya shamba na shughuli za ufugaji. Changamoto niliyokutana nayo ni kuwa: 1. Kuna vichaka vingi vinavyozunguka eneo hili kiasi kwamba hata nikisafisha bado majirani zangu wanabaki na vichaka 2...
Back
Top Bottom