shambulio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkuu wa FSB wa Urusi asema Marekani, Uingereza, Ukraine ndizo zilizohusika na shambulio la Moscow

    Wanaukumbi. Mkuu wa Huduma ya Usalama ya Shirikisho la Urusi alisema leo, "Marekani, Uingereza, na Ukraine, ndizo zilizohusika na shambulio la ukumbi wa tamasha la Moscow". Hayo ni madai mazito ... yenye athari za ulimwengu ...
  2. Hatimaye Putin akubali shambulio lilifanywa na magaidi wa kiislamu ila asema Ukraine ilihusika kiaina

    Japo hana ushahidi wa uhusika wa Ukraine, ila asema shambulizi lilifanywa na magaidi wa kiislamu lakini anahisi kuna namna Ukraine ilihusika sehemu......... Swali la msingi, Ukraine na waislamu wapi na wapi, yeye ndiye alianza kuchangamkia hao watu bila kujua ni mazombi ambayo hayaachi asili...
  3. Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

    Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu...
  4. Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί Jeshi la Urusi linajiandaa kufanyq shambulio kubwa katika historia toka SMO ianze 🚨🚨🚨FLASH FLASH FLASH: Russia Prepares To Launch Revenge Attack on Ukraine!!! Largest military strike in recent history about to happen!! - 14x Tu-95MS, nuclear capable bombers (Angel of...
  5. Shambulio la Kigaidi Urusi vifo vyafikia 93

    Idadi ya Watu waliouawa kwenye shambulizi katika eneo la Crocus City Hall Nchini Urusi imefikia 93 huku majeruhi wakiwa ni zaidi ya 140. Shambulizi hilo la kigaidi ambalo Kikundi cha Kigaidi cha ISIS kimedai kuhusika nalo, limetokea usiku wa kuamkia leo ambapo Vijana walioficha sura zao...
  6. Burkina Faso: Zaidi ya Watu 10 wauawa katika shambulio msikitini

    Zaidi ya Watu wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa msikitini katika Mji wa Natiaboani siku ambayo pia iliripotiwa Watu 15 kuuawa kwa kushambuliwa wakiwa Kanisani (Mji wa Essakane) ikiwa ni mwendelezo wa machafuko yanayotokea Burkina Faso. Inadaiwa waliofanya shambulizi ni sehemu ya Makundi ya...
  7. Waumini 15 wa Kanisa Katoliki Nchini Burkina Faso wauawa katika shambulio la kigaidi

    Raia 15 waliuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi kwenye kanisa katoliki wakati wa ibada ya Jumapili kaskazini mwa Burkina Faso, afisa kwenye kanisa hilo alisema. β€œTunataka kuwafahamisha kuhusu shambulio la kigaidi ambalo lililenga jamii yetu ya kikatoliki katika kijiji...
  8. Mkuu wa ujasusi wa M23 auawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani DRC

    Mkuu wa kitengo cha ujasusi wa kundi la waasi la M23 ameripotiwa kuuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Maafisa wamefichua kwamba, Kanali Castro Elise Mberabagabo aliuawa jana Jumanne katika shambulio la vikosi vya jeshi la Congo kwenye...
  9. Lebanon Kusini: Shambulio la Israeli lawaua Walebanon watatu

    Hali katika eneo la mpakani kusini mwa Lebanon inazidi kuwa tete, huku Israel ikishambulia kwa mabomu mji wa Bint Jbeil kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita kusini mwa Lebanon. Kulingana na vyombo vya habari vya Lebanon, watu watatu waliuawa katika shambulio la bomu lililopiga makazi ya...
  10. Je hili la Tanesco si Shambulio la Kimtandao kwa Nchi? Cyber Attack? Usalama wa Taifa hili jukumu lenu

    Haya mambo watu walikuwa wanadhani ni kwenye movie tu mnaweza jikuta nchi nzima mpo gizani watu washafanya yao. Nchi kama hizi huwa tunajisahau sana. Haya mashambulizi katika hii karne yanakuwepo sana. Sasa sijui ni Chadema wamehusika au sijui wapinzani gani . Ila watafutwe. Leo toka asubuhi...
  11. Meli yawaka moto Red Sea. Meli za kivita za Marekani na Ufaransa zimeshindwa kuzuia shambulio

    Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa. Kwa mujibu wa wasemaji wa jeshi la Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao meli hiyo ilishambuliwa kwa kombora moja tu...
  12. Hatimaye baadhi ya wanaojisalimisha, wamegunduliwa waliohusika kwenye shambulio la Oktoba 7

    Sijaelewa kwanini Israel imetangaza hawa, walipaswa wakijisalimisha wachukuliwe kimya kimya wapelekwe sehemu mafichoni, wafanyiziwe huko mambo ya hovyo kwa muda mrefu sana.... Hamas terrorists, including those involved in Oct. 7, surrendering in Gaza Many of the Hamas terrorists surrendering...
  13. Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

    Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika Damu ya mtu ni nzito bana.
  14. KWELI Matumizi ya Bangi huongeza hatari ya kupata Shambulio la Moyo na Kiharusi (Stroke)

    Wakuu nimekutana na makala moja CNN kuhusu utafiti ulioonesha kuwa Watu wanaotumia Bangi wako hatarini kupatwa na matatizo ya Shambulio la Moyo au Moyo kushindwa kufanya kazi (Heart Failure). Hii imakaaje wakati hivi karibu kumekuwa na maelezo kuwa Bangi husaidia kutibu baadhi ya Seli za Saratani?
  15. Jeshi la Israel (IDF) lakanusha kuhusika na Shambulio la hospitali huko Gaza

    Jeshi la Israel kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X wameweza kukanusha taarifa juu ya shambulio la kombora lililoangukia Hospitali huko mjini Gaza na kuua zaidi ya watu 500 na kujeruhi wengine kadhaa. Jeshi hilo limesema, shambulio hilo halikufanywa na Israel bali ni kundi la Kigaidi lenye...
  16. Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

    Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa kishindo kwenye Hospitali ya Al-Mamamani na kusababisha mlipuko, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas...
  17. Mmojawapo wa wakuu wa HAMAS auawa kwenye shambulio la bomu

    Gaza inaendelea kusambaratishwa huku HAMAS wakiliwa, kuna huyu Mohammed Abu Shamala kawahishwa kule kwa mabikira..... The Israeli military has reported that it has attacked several operative HQs from which Hamas had organised the terrorist invasion of Israeli territory, and killed a...
  18. Nimepata Shambulio la Kigaidi la Kingono

    Mwaka huu ndiyo nimefahamu athari za ugaidi baada ya wadada weusi 3 kuhamia kwenye apartment jirani na kwangu. Mmoja ni mwendo wa vimini tu ana vimacho fulani hivi, mwingine ana subwoofer kubwaa halafu anavaa miwani, watatu anapenda madera. Kwakweli wamenitoa kabisa kwenye reli, faida...
  19. Shambulio la Mossad Tehran lawakimbiza Wataalamu wa Drone wa Urusi kujificha kwenye hotel

    Taarifa iliyovuja na Washington Post kuipata ni kwamba Urusi imekuwa ikisaidia Iran kutengeneza drones chapa Shahed -136 ============== Russian officials visiting Iran as part of cooperation on attack drone development earlier this year were forced to hunker down in their hotel after an...
  20. Tafakari: Uvamizi wa shamba la Kenyatta na shambulio la Lissu

    Jana Machi 27, shamba la familia ya Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta lilivamiwa na uharibifu pamoja na wizi kufanyika. Shambani humo moto mkubwa uliwashwa; miti ya mbao na nguzo ilikatwa na wizi wa mali mbalimbali wakiwemo mamia ya kondoo ulifanyika. Tundu Lissu, mnamo Septemba 7, 2017...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…