shambulio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Mamlaka Nchini Ukraine zasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi 70

    Mamlaka Nchini Ukraine zinasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi wapatao 70 kwenye Kitengo cha Kijeshi huko Okhtyrka, Mji ulioko kati ya Kharkiv na Kyiv. Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu waliokimbia Nchini Ukraine kutokana na machafuko yanayoendelea imeongezeka kufikia 520,000. Aidha...
  2. Analogia Malenga

    Watu 18 wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Niger

    Raia 18 nchini Niger wameuawa katika shambulio la wanamgambo magharibi mwa nchi hiyo, serikali inasema. Majambazi waliokuwa na pikipiki walivamia lori lililokuwa likisafirisha watu kati ya vijiji viwili vya mkoa wa Tillaberi. Magharibi mwa Niger - kama vile nchi jirani za Mali na Burkina Faso...
  3. Kasomi

    Fahamu kuhusu Shambulio la 9/11 (September ,11 attack)

    Shambulio la 9/11, mwaka 2001, maarufu kama September ,11 attacks. Hili ndio shambulio la kigaidi liliouwa watu wengi kwa mara moja katika historia ya dunia ,watu 2,977 walikufa na zaidi ya 25,000 walijeruhiwa ikiwemo majereha madogo na ya muda mrefu kama ulemavu. Shambulizi lilitokea ndani...
  4. Sam Gidori

    Mossad yatajwa kutibua shambulio dhidi ya Waisraeli katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal

    Watu watano wanaripotiwa kutiwa mbaroni katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal wakihusishwa na jaribio lililotibuliwa la shambulio dhidi ya Watalii wa Israel, Kituo cha Televisheni cha Channel 12 cha Israel kimeripoti. Kituo hicho kimenukuu taarifa za kiintelijensia zikionesha kuwa watu hao...
  5. Analogia Malenga

    Uganda yapata shambulio linalodaiwa kuwa la kigaidi

    Mlipuko umetokea katika mji Mkuu wa Uganda, Kampala na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine watano kujeruhiwa Rais Museveni amesema watu watatu waliacha ‘Mizigo’ kwenye eneo la tukio ambayo baadae ililipuka na kusababisha maafa. Ameahidi kuwafuatilia na kuwakamata wanaohusika Rais...
  6. Analogia Malenga

    Uingereza yaitahadharisha Uganda juu ya shambulio la kigaidi

    Uingereza imesema magaidi wanaweza kushambulia Uganda ambapo wametahadharisha raia wao kuepuka maeneo ya halaiki ikiwemo mikusanyiko ya kidini na michezo Japo Uingereza haijataja kundi litakalohusika na shambulio hilo, lakini mamalaka za Uganda wameanza kuwalaumu waasi wa ADF kuwa ni wahusika...
  7. beth

    DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga. Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
  8. beth

    Rais Biden aonya uwezekano wa shambulio lingine kutokea Uwanja wa Ndege Kabul

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameonya kuwa upo uwezekano mkubwa wa shambulio lingine kutokea Uwanja wa Ndege wa Kabul akisema Makamanda wamemtaarifu linaweza kutokea mapema Serikali ya Marekani imewataka Raia wake kuondoka eneo karibu na Uwanja wa Ndege. Zaidi ya watu 110,000 wakiwemo Raia wa...
  9. BestOfMyKind

    Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli

    Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
  10. Jasusi Uchwara

    Sijaona dalili yoyote ya ugaidi tukio la Selander jana 25/8/2021

    Kimsingi kuna kitu hakifahamiki vizuri kwa wananchi, vyombo vya usalama nacho ni neno UGAIDI na kama wanakifahamu vizuri basi wanapotosha purposely. Neno ugaidi lina maana ya Tishio, au kitendo kinacholenga kutisha watu kwa malengo ya kisiasa, kijamii, na kiusalama, hii ndio maana halisi...
  11. The Genius

    PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

    Anaandika Christopher Cyrilo. ___ PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw. Hamza kwa kushtukiza. Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Kulihusisha tukio la mauaji Kinondoni na vyama vya siasa ni kukosa busara za kisiasa

    Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni. Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja...
  13. J

    Shuhuda: Gaidi alishuka kwenye gari akiwa na bastola na kuanza kuwapiga risasi polisi

    Nimeangalia taarifa ya habari Star tv na kuona mwandishi wao akimuhoji kijana mmoja aliyeshuhudia tukio mwanzo mwisho. Kijana anadai gaidi Hamza alishushwa na gari fulami ( sijasikia vizuri kama ni ST au IST) na kuanza kuwashambulia polisi kwa bastola huku akitamba kila kona na kuonekana ni...
  14. Dogo GSM

    Jamaa alilenga kufanya mashambulizi ubalozini na si vinginevyo

    Wadau kwa maswali mnahoji uliza, kwanini hakuua raia na akaua Askari ni kwamba, jamaa hakulenga kuua raia yoyote ataeonekana mbele yake. Pia hakuwa na lengo la kuua askari ila aliwashambulia sababu alijua wamekuja kumzuia kufanya mission yake. Lakini pia mnaohoji kwanini polisi walimlenga kwa...
  15. beth

    Afghanistan: Marekani na Uingereza zatoa tahadhari ya shambulio la kigaidi uwanja wa ndege Kabul

    Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo. Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka Raia ambao tayari wapo nje ya Uwanja huo wa Ndege kuondoka. Zaidi ya watu 82,000 tayari...
  16. rikiboy

    Tukio la mauaji ya Polisi eneo la Selander si bahati mbaya

    Leo kumetokea tukio baya sana kwa Usalama wa nchi yetu labda ni tukio baya sana kuwahi kushuhudiwa toka matukio ya enzi za Mauaji ya KIBITI yaliyolikumba nchi yetu enzi zile za Rais Magufuli sijui nini maana yake lakini Hii sio bahati mbaya.. yes sio bahati mbaya! Habari za kuuliwa polisi watatu...
  17. MK254

    Taarifa zinarindima za gaidi mmoja anavyotikisa Dar, poleni watani

    Jamaa kama hawa ndio huwa wanatuibukia hapa Kenya wakiwa kundi, wana ujasiri sana wa kujitoa mhanga, naona taarifa huyu mmoja amewanyima amani sana huko Dar, bora kaliwa shaba kabla hajafanya maafa zaidi, jamaa alikua amejianika barabarani. Huku kwetu wakija huingia kwenye shopping mall na...
  18. chizcom

    Kuna maswali ya fikirisha kwa tukio la mauaji Selander Bridge

    Naomba tujiulize maswali haya! 1. Mhalifu alikuwa na silahaa mbili na moja iliyokuwa hana tumia ni kama AK-47! Je, Tanzania upande wa usalama inafikiria nini kuhusu silaha kali ambazo si rahisi kukuta nayo mwananchi labda majambazi tena wachache wenye matukio makubwa au wahalifu wachache! 2...
  19. From Sir With Love

    Kwanini tukio liwe karibu na Ubalozi wa Ufaransa?

    Inasemekana jamaa alishuswa na bodaboda na akaenda kwenye kibanda cha askari pale kwenye makutano kama vile ana shida. Akachomoa bastola na kuwauwa askari wawili, askari mmoja akapigwa risasi kwenye bega. Akachukua silaha za wale askari akawa anatesa nazo. Lakini kwanini iwe maeneo yale...
  20. Suley2019

    Mashuhuda wasimulia tukio la aliyekuwa akipiga risasi

    Katika hali isiyotarajiwa mtu mmoja amezua taharuki katika eneo la Daraja la Selandar jirani na zilipo ofisi za Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam leo Jumatano Agosti 25, 2021. Imeelezwa kuwa tukio hilo limetokea Saba kasoro mchana huu, mtu huyo ambaye hakujulikana alikotokea, alianza...
Back
Top Bottom