Kenya imeponea shambulio lengine la kigaidi baada ya kikosi cha Anti-Terror ATPU kushika washukiwa wawili kabla ya kuingia kivukio vha Ferry pale likoni , Washukiwa hao wawili walikua ndani ya gari aina ya probox numbari ya usajili KCE 695U.
Tukio hilo la kushika hao washukiwa lilikua la...