Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini anayemaliza muda wake, Mhe.Shamsia Mtamba, amechukua fomu ya kutetea nafasi ya ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama chake cha Wananchi-CUF.
Shamsia amechukua fomu hiyo katika ofisi za Chama cha CUF wilaya ya Mtwara.
Amesema dhamira yake ya kuchukua fomu na...