Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".
Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
Shehe Ponda amedai kwamba kimsingi yale maoni ya wananchi , Wadau na Taasisi...
Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
Rais wetu shughulikia Uhai wa Raia. Trh. 27.12.23, Polisi wamewauwa Bakari Ismail na Shomari Kacheuka. Trh. 28.12.23 kikosi cha Utekaji kimewateka Juma Idd na Haruna Idd. Matukio haya na hukumu za kunyongwa watu yanakithiri katika Serikali yako. Siasa sawa lakini Uhai ndio Na.1.
Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli.
Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe:
Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa na Serikali kwa zaidi ya miaka kumi katika Gereza Kuu la Kisonge Mkoani Arusha.
Masheikh hao...
Pichani,
Jamaa mwenye nguo nyeupe 🤍 anadai kuambiwa na MUNGU kuwa anywe pombe lakini asioe.
Vilevile jamaa mwenye nguo nyeusi 🖤 nae anadai kuambiwa na MUNGU kuwa asinywe pombe lakini aoe wanawake wengi.
Je ni Upande hupi ni Sahihi, 🤍 au 🖤?
Leo asubuhi Maktaba ilipata bahati ya kutembelewa na Sheikh Ponda.
Kwangu ilikuwa furaha kubwa.
Sheikh Ponda kaifuta vumbi Tanzania na kaifariji Palestina kwa kutoa mkono wa taazia kwa Wapalestina kwa msiba mkubwa unaowakabili.
Wapalestina watawaandika wananchi wa Tanzania katika historia ya...
Hapa ndipo penye mtihani wa BAKWATA.
BAKWATA wanataka kuwa kiongozi wa Waislam.
Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka imani ya hali ya juu na kujitolea kwa lolote.
.
Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka kumtegemea Allah na kutomuogopa yeyote ila Allah Pekee.
Ponda kasimama dhidi ya dhulma za Baraza...
Lazima tukubali kwamba watu wana uhuru wa kutoa maoni. Tufanye mambo ambayo yataonyesha kuwa Dr. Tulia alistahili kuwa rais wa IPU.
Ni kama two sides of the coin. Tunazungumzia coin ile ile lakini
kila mtu anatazama different side of the coin.
Safarini kwenda Shinyanga.
Eti maandamano kupinga vita dhidi ya palestina. Muisrael afanyi vita dhidi ya Palestina anafanya vita dhidi ya magaidi ya Hamas.
Hakuna mnachoandamana cha maana dhaidi ya kutimiza itikadi zenu kama sio mbona hamjalia kupinga vijana Watanzania kuwa mateka chini ya hao Wapalestina wenzenu. Kisa...
"Hadi asuswe na Waislamu wenzake, wana TANU na wananchi wote, bali lilikuwapo tatizo kubwa.
Hii haiwezekani ikatokea tu kama bahati mbaya, hapana."
(Kaniuliza Muulizaji)
MOHAMED SAID ANAJIBU:
"Hakika lilikuwapo tatizo kubwa
Katika mkutano uliofanyika nyumbani kwa Hamza Mwapachu Nansio...
Picha za Sheikh Suleiman Takadir Wakati Anapigania Uhuru wa Tanganyika (1954 - 1958)
Kulia: Bibi Titi Mohamed, Clement Mohamed Mtamila, Sheikh Suleiman Takadir, Julius Nyerere katika moja ya mikutano ya TANU ya mwanzoni 1954/55
Kushoto: Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia na Julkius Nyerere...
HISTORIA YA SHEIKH SULEIMAN TAKADIR KAMA NILIVYOIPOKEA KUTOKA KWA SHEIKH HAIDAR MWIMYIMVUA
Baada ya zaidi ya miaka 60 leo Sheikh Suleiman Takadir anatajwa.
Lakini imekuwaje atajwe ilhali Sheikh Suleiman Takadir alifutwa katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika?
Katajwa lakini...
Katika uchaguzi uliopita Sheikh Ponda allibukia kuiunga mkono CHADEMA na akatoa kuwa 'WAISLAM TUMEKUBALIANA KURA ZOTE ZA URAIS TUTAMPIGIA TUNDU LISSU'.
Kauli hii iliungwa mkono kwa kiasi kikubwa na Waislam isipokuwa Bakwata ambao mkakati wao wamejiegemeza zaidi kwa CCM.
Bahati mbaya kwa...
HISTORIA YA JUMBE MWINJUMA DIGOSI, SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA JULIUS NYERERE 1954
Inawezekana Jumbe Mwinjuma Digosi alikuwa umri huu wa sasa alionao mwanae Zakaria huyu Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kariakoo.
Naukumbuka uchaguzi wa Zakaria Digosi Jangwani kwani Kariakoo iliwaka moto kwa ushindani...
SHEIKH JUMA MWINDADI
Imenichukua miaka mingi kuitafuta picha ya Sheikh Juma Mwindadi.
Hatimae picha ya Sheikh Jjuma Mwindadi nimeipata kutoka kwa familia yake.
NImefahamishwa kuwa ingawa watu wamezoea kumwita ''Juma,'' yeye jina lake ni ''Jumaa Mwindadi Jumaa.''
Mara ya kwanza kukutana na...
TAMKO LA SHEIKH WA MKOA MWANZA KUHUSU MJADALA WA BANDARI
Utangulizi
Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja kumekuwa na mjadala kuhusu uwekezaji na uendeshaji wa bandari zetu na kampuni kutoka Dubai. Mjadala ulianzishwa na wanasiasa na wanasheria lakini baadae ukachukua sura mpya na ya hatari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.