sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. Mwachiluwi

    Diamond atakiwa kuchagua dini kati ya Uislam au Ukristo

    Kufuatia kitendo cha Diamond kusoma neno kwenye moja ya mstari katika Biblia siku ya jana Mlimani City kwenye Mtoko wa Pasaka. Sheikh Shariff Majini amemtaka Diamond aamue moja, kubaki kwenye Uislamu aachane na kufuru ya kujichanganya na Wakristo au aende kwenye Ukristo. Ambapo sheikh amesema...
  2. Mohammed wa 5

    Sheikh Kishki/Alhikma Foundation Kuwalipia mahari vijana 50 na kuwaozesha

    Shekh kishki Leo dar es Salam kwenye mashindano ya Quran Africa anasema Alhikma foundation itawalipia mahari vijana 50 wa kiislamu na kuwaozesha Ndoa Ya pamoja. Mashallah hii ni habari njema kwa ndugu zangu waislamu. Wale vijana mliopanga kuoa mwaka huu hii ni fursa kwenu inshallah 🙏 NB...
  3. Lord denning

    Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

    Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki. Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu...
  4. O

    Sheikh Alhad atoa pole maandamano Kenya

    Mwenyekiti wa Jumuiya za Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa ametoa pole kwa waathiriwa nchini Kenya kufuatia madhara yaliyosababishwa na maandamano vikiwemo vifo na uharibifu wa mali nchini humo. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana jijini hapa Sheikh Alhad...
  5. J

    Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad apata Uteuzi CCM

    Kaimu Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Malezi ya Jumuiya ya Wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam. Source: Jambo TV Mlale unono! === Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu...
  6. chiembe

    Kamati ya amani ya viongozi wa dini imfukuze sheikh Alhad Mussa, kadhihirisha hafai kwa lolote

    Nashauri Kamati ya Amani ya Viongozi wa dini imfukuze Alhad Mussa katika nafasi yake katika kamati hiyo, amekataliwa Kila sehemu, nadhani hata kwa familia yake. Chochote atakachofanya hakitaungwa mkono na Bakwata.
  7. BARD AI

    Mizengo Pinda adai Sheikh Alhad Mussa anastahili Udaktari wa Heshima

    Wakati kukiwa na mjadala kuhusu utolewaji wa shahada za udaktrari wa falsafa wa heshima (PhD), Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ametetea shahada kama hiyo aliyopewa Mwenyekiti kamati ya maridhiano Sheikh Alhadi Mussa Salum, akisema anastahili kuwa nayo. Alhadi Mussa Salum aliyekuwa Sheikh mkuu...
  8. figganigga

    Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, agoma kukabidhi Ofisi kwa Sheikh Walid

    Pamoja na kwamba Uteuzi wake ulitenguliwa, ameendelea kufanya kazi ndani ya Ofisi. Katibu wa Baraza la Mashehe wa Dar es Salaam Shekh Ally Kizegero aitisha kikao kinyume cha Utaratibu Nia ni kuwagawa Mashehe wa Dar. Kitendo kinachofanya na Elhad inadaiwa ni Uhaini ==== Aliyekua Sheikh wa...
  9. Pdidy

    Sheikh Mkuu umenifanya nile vyakula vya kithungu leo. Bado upande wa pili, tufanyie marekebisho Dar

    Kuna viongozi wa dini walijsahau wakajiona miungu mtu badala ya kutumikia wananchi wamekuwa wakitumia madaraka vibaya kuwaadhibu wabaya waooo Wapooa waliokwenda mbaolli wskafikia kutaka vipusa vya wenzao walio chini yaooo Haitoshi wapoo walioamua kuwaadhibu wenzao kisa tu kuhoji matumizi ya...
  10. JanguKamaJangu

    Sheikh wa Dar es Salaam aliyetenguliwa asema hana mpango wa kukata rufaa

    Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine. Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini...
  11. USSR

    Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atenguliwa

    Baraza la Waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi Shekhe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka. Juzi vyombo vya...
  12. mdukuzi

    Tulioangalia Kombe la Dunia mwaka 1986 nyumbani kwa Sheikh Yahya Magomeni tukutane hapa

    Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani. Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za Kombe la Dunia nchini Mexico, Germany Magharibi anapigwa 3-2 na Argentina, Argentina anachukua ubingwa...
  13. Mr Dudumizi

    Je, kuna usawa ndani ya CHADEMA?

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini. Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama siyo vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza...
  14. NostradamusEstrademe

    Natamani kiongozi wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani ajengewe sanamu

    Naandika haya nikijinasibu kutokuegemea kwenye dini yeyote au zozote zilizo katika dunia yetu hii pendwa ndogo sana inayoitwa Earth.Nimesema dunia yetu ni ndogo sana maana ni kama punje tu dhidi ya sayari zingine zilizo angani kama Jupiter.Dunia ni kama punje ya mtama dhidi ya mpira wa basket...
  15. B

    Sheikh Jumanne Kingu awashutumu waalimu

    18 November 2022 SHEIKH JUMANNE, WEMA UMENIPONZA. Sheikh Jumanne Kingu akiongea kwa uchungu baada ya kuachiwa huru na mahakama ya wilaya ya Arusha. Criminal Case number 67 of 2022 Jamhuri vs Jumanne Juma Kingu Tuhuma zilikuwa kuwafanyia ukatili watoto wa shule mojawapo mjini Arusha...
  16. Mohamed Said

    Lindi yamzika Sheikh Mpigania Uhuru Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi

    Kama tusingeandika historia yetu waliokuwa hawapo hiki kizazi kipya kisingeijua historia ya Sheikh Hassan Kinyozi. Tungemzika Sheikh Hassan Kinyozi kama tunavyowazika masheikh wetu. Tusingeliweka jeneza la mwalimu wetu mabegani na vifua mbele tukijua kuwa tunamzika shujaa aliyepigania uhuru wa...
  17. Mohamed Said

    TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

    Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa kiasi cha miaka 90. Nakumbuka kama jana siku nilipofika Lindi kwa basi dogo...
  18. B

    Rais Samia awasili mkutano wa COP27 Sharm El Sheikh Egypt 2022

    07 November 2022 Sharm El Sheikh, Egypt MKUTANO WA COP27 SHARM EL SHEIKH EGYPT 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan pamoja na wakuu wengi wa nchi wapo kuhudhuria Mkutano wa 27 wa nchi wanachama wa mkataba wa Kimataifa wa tabianchi COP27 mwaka huu 2022...
  19. adriz

    Uchambuzi maalumu: Uzi wa Padri kulawiti watoto Vs Sheikh kulawiti watoto

    Habari za muda huu wana JF Baada ya kuibuka hivi karibuni matukio ya viongozi wa dini kulawiti na kupitia michango ya wadau mbalimbali humu kuna mambo nimeona muhimu kugusia. Inapaswa kutambua kuwa kwa zama hizi suala la malezi na maadili linapitia wakati mgumu mno maana kila sehemu usalama...
  20. enzo1988

    Mh!! Marehemu Sheikh Yahaya Hussein enzi zake

    Huyu sheikh alisifika hapa ndani na nje ya mipaka kwa elimu na maarifa mbalimbali kuhusu nyota,unajimu, utabiri, uganga n.k. Mimi binafsi namkumbuka aliposema kuwa pale Uingereza mkuu wa majini ni Tony Blair.!!!!!!!!!!! Kwa duniani mkuu wa majini ni Queen Elizabeth(Huyu aliyefariki hivi...
Back
Top Bottom