sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Pitio la Kitabu cha Sheikh Ponda: "Juhudi na Changamoto" Peacock Hotel

  2. Mohamed Said

    Julius Nyerere, Julius Caesar, Sahib na vitabu vya Sheikh Ponda

    JULIUS NYERERE, JULIUS CAESAR, SAHIB NA VITABU VIJAVYO VYA SHEIKH PONDA Kuna rafiki yangu kaniambia kuwa wakati alipokuwa anafanyakazi katika shirika moja kubwa la kimataifa linaloshughulika na Afrika ndipo alipomjua Mwalimu Nyerere vizuri sana. Anasema hakuna kilichokuwa kinampita...
  3. Mohamed Said

    Uso Kwa Macho na Bingwa wa Kutafsiri Qur'an Sheikh Mselem bin Ali

    USO KWA MACHO NA BINGWA WA KUTAFSIRI QUR'AN SHEIKH MSELEM BIN ALI Leo katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Ponda Issa Ponda, ''Juhudi na Changamoto,'' Peacock Hotel nilibahatika kukutana na Sheikh Mselem bin Ali mwisho wa shughuli. Miaka 10 imepita toka tuonane Zanzibar na sikuweza kumuona kwa...
  4. Mohamed Said

    Mabango ya kitabu cha Sheikh Ponda kwenye kuta za nyumba mitaani Dar es Salaam

    MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam Iliyofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE). Sheikh Ponda na kijana mmoja kutoka Zanzibar, Sheikh Salum...
  5. Mohamed Said

    Mna Nini Ndani ya Kitabu cha Sheikh Ponda?

    MNA NINI NDANI YA KITABU CHA SHEIKH PONDA? Ili kitabu kiwe kitabu lazima kiwe na elimu mpya yaani ile ambayo jamii haijui. Hii elimu mpya ndiyo roho, moyo na maisha ya kitabu kwani kitabu kina maisha na kifo kama binadamu. Kitabu kikikosa vitu hivyo kinaweza kufa mapema au kikafa katika...
  6. Mohamed Said

    Kitabu kipya: ''Juhudi na Changamoto'' - kalamu ya Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KIPYA "JUHUDI NA CHANGAMOTO" KALAMU YA SHEIKH PONDA ISSA PONDA Sheikh Ponda Issa Ponda ameandika kitabu. Mwaka ni 1998 niko ndani ya basi la Raha Leo natokea Tanga. Karibu Maghrib inaingia basi linakaribia Msikiti wa Mwembechai. Msikiti huu ulivamiwa na askari wakakata umeme wakaingia...
  7. JanguKamaJangu

    Baada ya mauaji ya watu 21, Rais wa Somalia aapa kulitokomeza kundi la Al Shabab

    Baada ya shambulizi la risasi na mabomu lililoua Watu 21 na kujeruhi 117 katika hoteli Nchini Somalia, Rais wa taifa hilo, Hassan Sheikh Mohamud ameahidi vita kali ya kutokomeza aliouita ugaidi wa Kundi la Al Shabab. “Ninajua Wananchi wa Somalia wamechoshwa na rambirambi na maombolezo...
  8. Mohamed Said

    Taazia: Buriani Mja wa Kheri Sheikh Salim bin Ahmed Bajaber

    TAAZIA: MJA WA KHERI SHEIKH SALIM BIN AHMED BAJABER Nimepata taarifa hii leo mchana kuwa Mzee Salim Ahmed Taib Bajaber Mkurugenzi Mkuu wa Pembe Flour Mills (PFM) amefariki Mombasa na kazikwa Markaz Madina, Amkeni Kikambala. Nilimfahamu Mzee Salim mwanzoni mwaka wa 2004 yeye na wakurugenzi...
  9. Mohamed Said

    Sheikh Shaban Rashid Msuya Mwanafunzi wa Sheikh Hassan bin Ameir, 1950s

    SHEIKH SHABAN RASHID MSUYA MWANAFUNZI WA SHEIKH HASSAN BIN AMEIR 1950s "Nakumbuka safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere UNO mwaka wa 1955, Sheikh Hassan bin Ameir alinichukua mimi na wenzangu kwenda Al Jamiatul Islamiyya kwani kulikuwa na sherehe ya kumuaga Nyerere. Sisi vijana wa madras ndiyo...
  10. TODAYS

    NIMEULIZWA SWALI: Ungekuwa Mchungaji au Sheikh ungefungisha hii ndoa?

    Nilijaribu kujibu hivi... 🎯 Muda umebadilika sana, naweza kukubali au kukataa ila nitakuwa nimebakizwa nyuma sana (old stone) japo mambo ya Mungu hayapitwi na wakati.
  11. Mohamed Said

    Buriani Sheikh Abdallah Muhsin Barwani

    BURIANI SHEIKH ABDALLAH MUHSIN BARWANI Leo jioni nimepokea taarifa ya kifo cha Shekh Abdallah Muhsin Barwani aliyekuwa akiishi Dubai. Sheikh Abdallah Muhsin ni mdogo wake Sheikh Ali Muhsin Barwani mmoja wa viongozi wa Zanzibar Nationalist Party (ZNP). Sheikh Abdallah Muhsin amezikwa jana...
  12. Mohamed Said

    ''Bilal nusuru umoja wa waislam'' Mufti Sheikh Hassan bin Ameir 1963

    Baadhi ya hotuba katika maziko ya Shekh Bilal Rehani Waikela Msikiti wa Kichangani:
  13. JanguKamaJangu

    Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

    Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake. Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za...
  14. Mohamed Said

    Ofisi ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1930s/sasa ofisi ya Bakwata Sheikh wa Wilaya

    OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1930s/SASA OFISI YA BAKWATA SHEIKH WA WILAYA NDANI YA OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA Picha hiyo ya kwanza ingawa imepigwa miaka ya 1930s imebeba historia kubwa sana katika historia ya TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika. Katika picha...
  15. Mohamed Said

    Sheikh Shaban Rashid Msuya, mwanafunzi wa sheikh Hassan Bin Ameir 1950s

    SHEIKH SHABAN RASHID MSUYA MWANAFUNZI WA SHEIKH HASSAN BIN AMEIR 1950s John Iliffe anasema historia ya TANU nyingi ipo kwa watu. Hili mimi nimelishudia mara nyingi. Aliyonieleza Sheikh Shaban Rashid Msuya jioni moja tukiwa tumekaa kwenye ukumbi wake Ugweno Kata ya Kifula sikuyategemea. Awali...
  16. beth

    Somalia: Wabunge wamrejesha madarakani Rais wa zamani

    Wabunge Nchini Somalia wamemchagua Hassan Sheikh Mohamud aliyekuwa Rais kati ya mwaka 2012 - 2017 kuongoza Taifa hilo. Amepigiwa Kura 214, huku Rais Mohamed Abdullahi Mohamed aliyekuwa anawania Muhula mwingine akipata Kura 110 Rais Mohamed amekubali matokeo ya Uchaguzi na Mohamud ameapishwa...
  17. Linguistic

    TANZIA Rais wa UAE Sheikh Khalifa Bin Zayed afariki Dunia, Rais Samia atuma Rambirambi

    Wakuu Kuna Taarifa Kwamba Sheikh Khalifa Mfalme na Rais wa falme za kiarabu amefariki dunia Leo. . Innallillahi Wainaillah Rajiuun . Baba yake ni Zayeed bin sultan al nahyan === Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (U.A.E) Sheikh Khalifa bin Zayed Al Nahyan amefariki, shirika la habari la...
  18. MSAGA SUMU

    Sheikh apigwa miaka 5 baada ya kuua nguruwe

    Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia. Tiririka nayo. Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo. Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya...
  19. Mohamed Said

    Kauliza muulizaji nani Sheikh Yusuf Badi?

    KAULIZA MUULIZAJI NANI SHEIKH BADI? Sheikh Muhammad Yusuf Badi alikuwa sheikh maarufu Lindi na sehemu yote ya Jimbo la Kusini, yaani Southern Province. TANU iliasisiwa Lindi mwaka wa 1955 tayari Nyerere kesharudi UNO safari ya kwanza na alifika Lindi kutia nguvu TANU. Kisa kirefu. Tuingie kwa...
  20. Mohamed Said

    Sheikh Yusuf Badi hakupenda kupigwa picha na hadi leo sijapata picha yake

    MTAA WA SHEIKH YUSUF BADI LINDI Sheikh Yusuf Badi hakupenda kupigwa picha na hadi leo sijapata picha yake. Sheikh Mohamed Yusuf Badi ni sheikh pekee katika masheikh waliopigania uhuru wa Tanganyika ambae amepewa mtaa. Wanafunzi wake wawili Salum Mpunga na Yusuf Chembera ndiyo waasisi wa TANU...
Back
Top Bottom