sherehe

  1. mshale21

    Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Dodoma! Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Jambo hili kinaweza kutokea Tanzania tu dunia mzima: Unatenga fedha kwaajili ya sherehe kisha siku ikifika unawatangazia umma fedha zinakwenda kwenye

    Huu ndio ukweli mchungu, ni kwamba aidha viongozi wetu(watawala) wanatuona sisi wananchi hatuna upeo wa kufikiri au viongozi wetu wana upeo mdogo wa kufikiri. Wao ndio hupitisha bajeti za sherehe hizo kisha baadaye haohao hutengua bajeti na kuzipeleka fedha kwenye miradi ya maendeleo. Hii...
  3. E

    Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabila la wamaasai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?

    Habari za Leo wakuu, Naomba kujua swali hili Sherehe ya kutahiri wanaume katika kabira la wamasahai hufanyika kila baada ya miaka mingapi?
  4. Baraka Mina

    Kutoka CCM, heri ya sikukuu ya Pasaka

    Habarini wanajamvi wenzangu, poleni na majukumu mbalimbali ya kujenga taifa. Hakika tuendelee kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yetu na taifa letu, Mungu hatatuacha atazibariki kazi za mikono yetu. Leo baada ya majukumu nimepita kwenye mitandao ya kijamii na kukuta salamu hizi nikaone ni...
  5. T

    Polisi Tanzania wabana waachia, sherehe za Pasaka ruksa

    Jeshi la Polisi leo April 2, 2021 wametoa ufafanuzi juu ya kauli waliyoitoa kuhusu shamra shamra za kusheherekea sikukuu za Pasaka. ‘Taarifa ya Jeshi la Polisi niliyoitoa jana (pamoja na mambo mengine) ilisema tuna imani kama kila Mwananchi atafuata Sheria na kujiepusha na vishawishi vya...
  6. D

    Wakristu tumebipiwa na shetani naomba tumpigie kwa sherehe kubwa tufufuke na kristo

    Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema! Kipindi cha kwaresma huwa ni kipindi cha kuyatafakari matendo makuu ya Mungu! Wapo wanadamu wanaothubutu kujitwalia utukufu wa Mungu! Lakini kamwe Mungu atabaki kuwa Mungu na wala hachunguziki! Skukuu ya pasaka ni siku ya furaha kubwa ya ufufuo wa Yesu...
  7. Infantry Soldier

    Jeshi la Polisi Tanzania na tamko lake juu ya sherehe za pasaka April 2021. Je, mmewashirikisha viongozi wa dini husika?

    Habari za muda huu jamiiforums Leo muda kama wa saa 9 alasiri nikiwa ninapitia mambo kadhaa kule Facebook nimekutana na kauli ya Jeshi la Polisi juu ya sherehe za pasaka kwa mwaka huu wa 2021 ambazo zimeangukia katika kipindi ambacho nchi yetu ipo katika maombolezo mazito kufuatia msiba wa...
  8. Kasomi

    Serikali inavyo piga marufuku shamrashamra za Pasaka, hawakuona kelele mule Bungeni?

    Wakuu hebu tujadili hili. Serikali imetoa wito kutoskia shamrashamra za sikukuu ya Pasaka mwaka huu tofauti na miaka mingine kisa bado tupo kwenye maombolezo. Je, Swali kwa Serikali inamaana hawakuona zile kelele na shamrashamra Bungeni baada ya jina la Philipo Isdor Mpango kupendekezwa na...
  9. B

    Nashauri Polisi waondoe zuio la sherehe siku ya Pasaka, imani hailinganishwi na chochote

    Kuzuia sherehe za Pasaka kwa namna yoyote ile ni kuingilia mfumo wa imani za watu, kushangilia na shamrashamra ni sehemu ya ibada kwa kufufuka kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo, tuwaachie wanadamu waomboleze kwa utashi wao na si kuwaingilia tutaleta mpasuko kwenye nchi. Ipo tofauti ya imani na amri...
  10. I am Groot

    Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. ==== Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
  11. TODAYS

    TOFAUTI: Mbuzi wa Sherehe na Mbuzi wa Maombolezo

    Ni Kwa vile sisi wenyewe tumeizoea hali hii, lakini Kwa kweli nchi yetu ina mambo mengi ya kushangaza. Fikiria, Kwenye kipindi hiki cha maombolezo, watu wanaweza kukamatwa kwa kukutana na kuchoma mbuzi Kwa kosa la kusherehekea lakini wakawa huru kuagiza mbuzi-choma na bia kwenye baa zilizo wazi...
  12. kzba

    Hivi kuna umuhimu gani wa kuwa na sherehe za ndoa?

    Mimi binafsi sijawahi kufurahia sherehe yeyote inayohusiana na mchakato mzima wa ndoa, iwe send off, ndoa yenyewe, hata reception, yan naona ni kupotezeana muda tu, mfano vile vikao sijui hata kama kuna kitu gani cha maana tunajadili pale zaidi kutamaniana na wanakamati na kuwapiga miti wake za...
  13. Extrovert

    Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

    Wote tunafahamu kuwa suala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani. Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe japo linaweza chagizwa na wazazi ama walezi pia. Leo nataka nipate tathmini kutoka kwa wachumba...
  14. Wakusoma 12

    Sikubaliani na suala la kufuta sherehe za Nanenane mwaka huu 2021

    Wakuu amani iwe nanyi. Hivi Jana tarehe 10 Februari waziri wa kilimo prof Mkenda alitoa msimamo wa Serikali juu ya sharehe za maonesho ya kilimo ya wakulima Nanenane, ambapo alisema kuwa serikali imeamua kufutilia mbali sherehe hizo. Moja ya sababu kuu aliyotoa kiongozi huyo ni pamoja na...
  15. M

    Serikali iandae sherehe kubwa kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Nyerere

    Hakuna chembe ya shaka, Mwalimu Nyerere alikuwa zawadi kubwa ambayo Mwenyezi Mungu alitupa sisi Watanzania na Afrika. Tarehe 13 April mwaka 2022 Mwalimu atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake. Bado mwaka mmoja na miezi michache Hii ni fursa nzuri sana ya kumuenzi Mwalimu, na kuitangaza nchi...
  16. Return Of Undertaker

    Temeke, Dar: Ili upige muziki kwenye sherehe/shughuli utapaswa kulipia elfu 50 ya kibali

    Kiwango hicho cha tozo kitaanza kutozwa tarehe 01 Februari, 2019. Kibali hiki ni kwa watakaotaka kupiga muziki kwenye Bar, Pub, au ukumbi wa starehe Lakini pia kitawahusu wanaotarajia kupiga muziki kwenye send-off, harusi/ndoa, jando na unyago na birthday Aidha, kibali hiki kitapaswa kukatwa...
  17. donlucchese

    Tukutane hapa tunaosubiri United States Presidential Inauguration!

    Yes wakuu, Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya. Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi. Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
  18. B

    Wanyonge mnazungumziaje sherehe za xmas na Mwaka mpya?

    Taifa lenye maendeleo ni taifa lililo na furaha. Binadamu aliyeendelea hutenga muda wake kufurahi na familia pamoja ndugu kupitia likizo bila kujali aina ya kazi anayofanya au kupitia public holiday. Ninahusianisha Tanzania kuingia uchumi wa Kati 2020 na furaha ya Mtanzania. Ni kweli ipo furaha...
  19. Kibosho1

    USHAURI: Mnaotaka kufunga ndoa kwa sherehe kubwa zingatieni haya kuepuka lawama za watu

    Wachumba, Marafiki nawapa salaam kwenu. Kwa wakristo nashauri tusome Luk 14:28 ili twende sawa. Kwa dini nyingine na wasiokuwa na dini twendeni na msamiati huu. "Ukitaka cha uvunguni sharti uiname" Nimehudhiria baadhi ya harusi nyingi sana hasa mwaka huu lakini mambo siyo ya kuridhisha kabisa...
  20. S

    Rais Magufuli kuondoa sherehe za Uhuru ili fedha zikajenge hospitali Dodoma si jambo la sifa, ni kuonesha Serikali haina mipango hususan ya maendeleo

    Kwa mtu mwenye akili za chini, atamsifia Rais Magufuli kwa kutangaza kwamba mwaka huu hatutakuwa na sherehe za uhuru ili kuokoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Dodoma. Kwa mtu mwenye akili ya kufikiria, atajiuliza, hivi inakuwaje tunakuwa hatuna mipango hususan inayotia ndani kutengwa...
Back
Top Bottom