Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe ya harusi ya binti yao? Ni busara ipi itumike?
HIKI KISA NI KIREFU SANA ILA NINAOMBA KUANDIKA KWA...
The Swedish government on Monday moved to cut the size of public gatherings sharply as it sought to come to grips with a second wave of the pandemic that has seen record daily numbers of new cases and growing pressure on hospitals.
Swedes are not sticking to coronavirus recommendations as well...
Wananchi wa Azerbaijan wametoka mitaani kusherehekea ushindi dhidi ya uvamizi wa Armenia Nagorno-Karabakh na kutiwa saini kwa makubaliano.
Raia wa Azerbaijan walianza kufurika barabarani baada ya Rais İlham Aliyev kutoa hotuba kwa umma.
Mji mkuu wa Baku ulienea shangwe na sherehe za ushindi...
Leo Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anaapishwa kuyatwaa Rasmi madaraka ya kuingoza Zanzibar akimrithi Dr. Ali Mohamed Shein. Kwa sasa tayari wananchi na viongozi wameshawasili ikiwemo marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Dkt. Jakaya Kikwete.
=======
3:35 Asubuhi: Amewasili mkuu...
Kaka mmoja alikuja mkoani kwetu kwa barua kutoka Wizarani, aliletwa pale kama Ofisa wa Serikali. Ule mkoa una neema sana, ndani ya miaka miwili yule kaka aliweza kujenga ghorofa pale mjini.
Siku ya ufunguzi wa ghorofa lile, alitualika watumishi wenzake, viongozi wa dini na mama yake mzazi...
Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mh Kanoni amepiga marufuku sherehe zote zilizopangwa kufanyika wilayani kwake tarehe 26 na Oktoba kupisha Uchaguzi Mkuu.
Mh Kanoni ametaja sherehe hizo kuwa ni pamoja na harusi na makongamano ili watu wajiandae na matayarisho ya kupiga kura siku ya Jumatano, 28...
Nadhani hapa tulichotwa akili, neno ‘DEPEND’ limaanisha ‘Kutegemea’, kwahiyo siku ya kuoata uhuru wetu kuitwa siku ya ‘IN-DEPENDENCE’ wanamaanisha kwamba sisi tulikuwa tunawategemea wao ili kuishi, kwahiyo siku ya uhuru wetu badala ya kuitwa ‘Freedom day’ wakaiita siku ya kuacha ‘utegemezi’, hii...
Watu 71 wa kijiji cha Liula wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, wamenusurika kifo baada ya kunywa kinywaji aina togwa kinachodhaniwa kuwa na sumu wakiwa kwenye moja ya sherehe ya kidini maarufu kama sadaka.
Mkuu wa wilaya ya Songea, Bw.Pololeti Kamando Mgema amepiga marufuku matumizi ya togwa...
Sherehe za ubatizo, Ndoa, kifo, mahari,hitma nk Sasa zinatozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako. Hii ni aibu Kubwa kwa Serikali hii.
https://t.co/pDXnXxa4zD
Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi.
Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga)
KWA HISANI YA MTU...
Jackson Kangoye ambaye alikuwa mshindi wa kura za maoni Tarime na baadae jina lake kukatwa na Kamati kuu na kurudisha jina la mshindi wa pili, Bwana Michael Kembaki, leo hii anafanya sherehe nyumbani kwake na kuwaalika wajumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya na baadhi ya wagombea udiwani wa kata za...
MADA YA LEO: NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI)
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala...
Historia ya Benjamin Mkapa
MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA
WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
bendera
chadema
habari
haki
historia
huzuni
itv
kubwa
makongoro
makongoro nyerere
maua
mkapa
musiba
mwanaharakati
nyerere
nyumbani
rais
saa
serikali
shada
sherehe
tanga
tbc
uhuru
upinzani
watoto
Kwanini sherehe nyingi za kitaifa Jaji Warioba huwa haonekani? Je, huwa haalikwi, hapendi kuhudhuria au ameamua kuishi kama raia wa kawaida?
Wastaafu wenzake akina Lowassa, Sumaye, Pinda na wengine huwa hawakosekani kwenye sherehe za kitaifa/kichama.
Habari
Karibuni wateja kwa huduma za Upambaji kwenye sherehe mbalimbali, pia tunatengeneza keki za sherehe mbalimbali kama ubarikio, harusi, sendoff, nk na vilevile tunatengeneza kadi za harusi, kipaimara, sendoff, kitchen party, bag party, mazishi, kadi za hongera, seasonal cards, Business...
Nikijiswali cha uzushi, nimekumbuka baada jana kuona mmoja wa X wangu akipost kumbukizi ya miaka saba ya ndoa yake, nakumbuka siku ya Send off yake nilikuwepo, na ilitokea vulumai moja baada mimi kuonekana kwenye send off party hiyo nikipigiwa Shangwe na shangazi zake kitendo kilicho wauzi...
Maadhimisho ya Eid El Fitri mwaka huu zimekuwa tofauti na miaka iliyopita kutokana na mataifa mengi kuendelea kuzuia mikusanyiko ili kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus
Nchi nyingi zenye idadi kubwa ya waumini wa Kiislamu kama Qatar, Uturuki na Indonesia zimepiga marufuku matukio mengi...
Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili
Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona
Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na...
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,Taifa limepata hasara gani kiuchumi baada ya kuahirishwa kwa sherehe za muungano na mbio za mwenge kwa mwaka huu na fedha zote kuelekezwa kwenye covid-19.Kutakua na hasara gani endapo yote haya yakiendelea hivi hivi na fedha zile zikawa zinaelekezwa kwenye...
Clear understood, sikukuu hii ya pasaka ni siku maalumu kama kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu kristo na si vinginevyo, manake ufuska, ulevi na mambo mengine ya ajabu, hufanywa sana siku kama ya leo, wadangaji mtulie, slays queens kaeni nyumbani mtubu, acheni kulandalanda mitaani kuinajisi siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.