sherehe

  1. Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe ya harusi ya binti yao? Ni busara ipi itumike?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe ya harusi ya binti yao? Ni busara ipi itumike? HIKI KISA NI KIREFU SANA ILA NINAOMBA KUANDIKA KWA...
  2. Sweden yapiga marufuku mikusanyiko yenye watu zaidi ya 8. Wananchi watakiwa kuacha kufanya sherehe na kwenda Gym

    The Swedish government on Monday moved to cut the size of public gatherings sharply as it sought to come to grips with a second wave of the pandemic that has seen record daily numbers of new cases and growing pressure on hospitals. Swedes are not sticking to coronavirus recommendations as well...
  3. Sherehe ya ushindi wa Azerbaijan

    Wananchi wa Azerbaijan wametoka mitaani kusherehekea ushindi dhidi ya uvamizi wa Armenia Nagorno-Karabakh na kutiwa saini kwa makubaliano. Raia wa Azerbaijan walianza kufurika barabarani baada ya Rais İlham Aliyev kutoa hotuba kwa umma. Mji mkuu wa Baku ulienea shangwe na sherehe za ushindi...
  4. C

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Hafla ya kuapishwa Rais mteule Awamu ya Nane, Dkt. Hussein Mwinyi Uwanja wa Amaan

    Leo Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anaapishwa kuyatwaa Rasmi madaraka ya kuingoza Zanzibar akimrithi Dr. Ali Mohamed Shein. Kwa sasa tayari wananchi na viongozi wameshawasili ikiwemo marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Dkt. Jakaya Kikwete. ======= 3:35 Asubuhi: Amewasili mkuu...
  5. Sherehe inapogeuka msiba

    Kaka mmoja alikuja mkoani kwetu kwa barua kutoka Wizarani, aliletwa pale kama Ofisa wa Serikali. Ule mkoa una neema sana, ndani ya miaka miwili yule kaka aliweza kujenga ghorofa pale mjini. Siku ya ufunguzi wa ghorofa lile, alitualika watumishi wenzake, viongozi wa dini na mama yake mzazi...
  6. J

    Uchaguzi 2020 DC Kanoni: Marufuku sherehe za harusi na makongamano hadi baada ya uchaguzi

    Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mh Kanoni amepiga marufuku sherehe zote zilizopangwa kufanyika wilayani kwake tarehe 26 na Oktoba kupisha Uchaguzi Mkuu. Mh Kanoni ametaja sherehe hizo kuwa ni pamoja na harusi na makongamano ili watu wajiandae na matayarisho ya kupiga kura siku ya Jumatano, 28...
  7. Je, ni kwanini sherehe za ‘UHURU’ haziitwi ‘FREEDOM DAY’? , badala yake zinaitwa sherehe za ‘KUTOKUA TEGEMEZI’ , yaani ‘IN-DEPENDENCE DAY’?

    Nadhani hapa tulichotwa akili, neno ‘DEPEND’ limaanisha ‘Kutegemea’, kwahiyo siku ya kuoata uhuru wetu kuitwa siku ya ‘IN-DEPENDENCE’ wanamaanisha kwamba sisi tulikuwa tunawategemea wao ili kuishi, kwahiyo siku ya uhuru wetu badala ya kuitwa ‘Freedom day’ wakaiita siku ya kuacha ‘utegemezi’, hii...
  8. Songea, Ruvuma: Watu 71 wanusurika kifo kwa kunywa togwa kwenye sherehe

    Watu 71 wa kijiji cha Liula wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, wamenusurika kifo baada ya kunywa kinywaji aina togwa kinachodhaniwa kuwa na sumu wakiwa kwenye moja ya sherehe ya kidini maarufu kama sadaka. Mkuu wa wilaya ya Songea, Bw.Pololeti Kamando Mgema amepiga marufuku matumizi ya togwa...
  9. Sherehe za ubatizo, ndoa, kifo, mahari,hitma nk sasa kutozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako

    Sherehe za ubatizo, Ndoa, kifo, mahari,hitma nk Sasa zinatozwa kodi hata ukifanyia nyumbani kwako. Hii ni aibu Kubwa kwa Serikali hii. https://t.co/pDXnXxa4zD
  10. Tusiwadanganye wafanyakazi. CHADEMA haijawahi kuhudhuria Sherehe za Wafanyakazi kwa miaka mitano

    Kujua shida za wafanyakazi ni pamoja na kuhudhuria kwenye sherehe za wafanyakazi ili kujua kikamilifu matatizo ya wafanyakazi. Leo hii ukisimama jukwaani ili kuvutia kura unajidai unawapenda wafanyakazi ni ulaghai wa kiwango cha utopolo(samahani mashabiki wenzangu wa yanga) KWA HISANI YA MTU...
  11. M

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi Tarime: Jackson Kangoye afanya sherehe na wajumbe, ni mwendelezo wa kumhujumu Kembaki

    Jackson Kangoye ambaye alikuwa mshindi wa kura za maoni Tarime na baadae jina lake kukatwa na Kamati kuu na kurudisha jina la mshindi wa pili, Bwana Michael Kembaki, leo hii anafanya sherehe nyumbani kwake na kuwaalika wajumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya na baadhi ya wagombea udiwani wa kata za...
  12. Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni

    MADA YA LEO: NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI) Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala...
  13. Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  14. Jaji Warioba haonekani sherehe za kitaifa na chama, haalikwi au hapendi kuhudhuria?

    Kwanini sherehe nyingi za kitaifa Jaji Warioba huwa haonekani? Je, huwa haalikwi, hapendi kuhudhuria au ameamua kuishi kama raia wa kawaida? Wastaafu wenzake akina Lowassa, Sumaye, Pinda na wengine huwa hawakosekani kwenye sherehe za kitaifa/kichama.
  15. Tunatengeneza kadi za harusi, keki za sherehe na upambaji katika kumbi mbalimbali

    Habari Karibuni wateja kwa huduma za Upambaji kwenye sherehe mbalimbali, pia tunatengeneza keki za sherehe mbalimbali kama ubarikio, harusi, sendoff, nk na vilevile tunatengeneza kadi za harusi, kipaimara, sendoff, kitchen party, bag party, mazishi, kadi za hongera, seasonal cards, Business...
  16. Ushahudhuria Sherehe za Harusi/Send off za X wako wangapi? Unakumbuka nini?

    Nikijiswali cha uzushi, nimekumbuka baada jana kuona mmoja wa X wangu akipost kumbukizi ya miaka saba ya ndoa yake, nakumbuka siku ya Send off yake nilikuwepo, na ilitokea vulumai moja baada mimi kuonekana kwenye send off party hiyo nikipigiwa Shangwe na shangazi zake kitendo kilicho wauzi...
  17. Sikukuu ya Eid El Fitri: Waislamu duniani washerehekea kwa njia ya mtandao

    Maadhimisho ya Eid El Fitri mwaka huu zimekuwa tofauti na miaka iliyopita kutokana na mataifa mengi kuendelea kuzuia mikusanyiko ili kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus Nchi nyingi zenye idadi kubwa ya waumini wa Kiislamu kama Qatar, Uturuki na Indonesia zimepiga marufuku matukio mengi...
  18. Ushauri: Serikali iiagize BAKWATA itangaze kesho Eid El Fitr ili watanzania washerehekee pamoja na sherehe za kuiaga Corona

    Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na...
  19. A

    Nini kama Taifa tumepoteza baada ya kufutwa kwa mbio za mwenge na sherehe za muungano

    Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,Taifa limepata hasara gani kiuchumi baada ya kuahirishwa kwa sherehe za muungano na mbio za mwenge kwa mwaka huu na fedha zote kuelekezwa kwenye covid-19.Kutakua na hasara gani endapo yote haya yakiendelea hivi hivi na fedha zile zikawa zinaelekezwa kwenye...
  20. Siku ya pasaka ni siku ya sherehe ya kufufuka kwa Yesu kristo na sio ufuska

    Clear understood, sikukuu hii ya pasaka ni siku maalumu kama kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu kristo na si vinginevyo, manake ufuska, ulevi na mambo mengine ya ajabu, hufanywa sana siku kama ya leo, wadangaji mtulie, slays queens kaeni nyumbani mtubu, acheni kulandalanda mitaani kuinajisi siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…