sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hatari Iliyojificha Kwenye Tangazo la PDPC Kuhusu Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Wadau wa JamiiForums, habari zenu. Jana, Machi 26, 2026, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ilitoa tangazo ambalo linataka kila mtu au taasisi inayokusanya na kuhifadhi taarifa za watu kujisajili ifikapo Aprili 8, 2026. Ingawa lengo la Sheria hii (PDPA, Sura ya 44) ni zuri—kulinda...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabia ya kuvujisha taarifa za Watumishi wa Umma kwa Taasisi za mikopo ikomeshwe na hatua zichukuliwe

    Ni nani anayevujisha taarifa za Watumishi kwenda kwa taasisi za mikopo, maana leo nimetumiwa taarifa za mtumishi kupitia SMS zenye check number, password yake. Nilimpigia ili kujua ni wapi katoa namba yangu, na ni nani yeye? Walijitambulisha kama FANIKIWA MICROFINNANCE na walitoa namba zangu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa kuwepo kwa haki ya kusahaulika katika Sheria za Tanzania hasa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi na. 11, 2022

    UTANGULIZI: Haki ya kusahaulika ni haki ambayo inawezesha mtu kama kuna taarifa zake zimekusanywa na mkusanya taarifa yoyote, au mchakata taarifa, anaweza kwenda kuomba kwamba taarifa hizi mlizokuwa nazo kuhusu mimi sitaki muendelee kuwa nazo kwa sababu labda matumuzi yake yameisha au kwa namna...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kwa Wanajeshi kurekodi video kama hizi na kuzisambaza mtandaoni?

    Wakuu kwema? Nimekutana na video hii mtandaoni, ambako huyu 'kuruta' (kama sijakosea) anapewa amri ya kugeuka kulia na kushoto, kijana huyo anafata maagizo aliyopewa huku anayetoa maagizo na wengine wakisikika wakicheka. Nini dhumuni la kurekodi video hizi mpaka kufikia hatua ya kuzirusha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Utungaji wa Sheria nchini uzingatie Mtiririko Mzuri na Matumizi ya Lugha Rahisi

    Ili wananchi waweze kuelewa vizuri Sheria mbalimbali nchini pamoja na vifungu vyake, kunatakiwa kuwe na mtiririko mzuri katika uandishi wake pamoja na matumizi ya lugha rahisi. Wananchi wanapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa sheria bila kuhitaji msaada wa kisheria au ufafanuzi wa ziada. Hii...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maneno 'Usalama wa Taifa' kutumiwa kwenye Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi bila kupewa tafsiri yanaweza kutumiwa vibaya kwa uonevu

    Kwa mujibu wa Kanuni za Usalama wa Taifa, Uhuru wa Kujieleza na Upatikanaji wa taarifa za Johannesburg 1996; zuio kwa misingi ya 'Usalama wa Taifa' haliwezi kukubalika endapo lengo halisi ni kulinda maslahi yasiyohusiana na Usalama wa taarifa. Zuio kwa misingi ya kulinda Usalama wa Taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…