sheria

  1. Mlalamikaji daily

    Sheria ipi inazuia ukiwa na mkopo wa mshahara NMB (SWL)huwezi kuhamisha mshahara benki nyingine?

    Leo mzee wa kulalamika Daily, Nimechoka na makato ya NMB Nikaona nihamishe mshahara kwenye bank nyingine yenye makato nafuu kidogo, Nikapata bank moja hivi wenyewe hawana makato ya uendeshaji, Sijui makato ya Mastercard n.k Wakanipa fomu yao nipeleke kwa afisa utumishi, Ndio akanipa majibu...
  2. TUKANA UONE

    Mnaopinga Ushoga kwenye Mitandao,Je Siku Bunge likipitisha Sheria za Kuwalinda Mashoga mtatoka hadharani kuandamana kuipinga?

    Mada na hoja sensitive kama hizi huwa (ga) sihitaji kutoa salamu! Huwa nawashangaa watu wanaojiita "Wapinga Ushoga",wengi wao ni Keyboard Warriors ila sijawahi hata siku moja kuona wanaandamana na mabango huko mitaani wakipinga vitendo vya ushoga! Swali ni Je,Siku Bunge la Tanzania likipitisha...
  3. A

    Ni akina nani Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya Bunge? Je, wana uwezo wa kutafsiri Sheria?

    Ningependa kujua wajumbe wa Kamati ya maadili ya Bunge. Na uwezo wao wa kuweza kuzichambua na kutoa maamuzi
  4. J

    SoC04 Tutengeneze sheria ambazo zitaifanya mihimili mingine iwe na nguvu sawa na mhimili wa serikali

    Kama nchi tumekuwa na taratibu nyingi sana ambazo zinafanyika nje na taratibu hasa na mhimili mkuu wa serikali lakini mihimili mingine(bunge na mahakama) havina meno ya kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi ya kufanya vitu kulingana na makubaliano na muktadha wa sheria. Mfano tuwe na...
  5. J

    Mpina anastakiwa kwa kuvunja sheria gani Kamati ya Maadili ya Bunge

    NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo wa Sheria alizotaja Spika kuwa Mpina amezivunja ili nasi tusiojua sheria tujue anakwenda kuhukumiwa...
  6. GoldDhahabu

    Ni kweli hakuna aliye juu ya Sheria nchini?

    Nimeshasikia hivyo tokea nikiwa mdogo, lakini kama si sahihi kwa asilimia mia moja. Kwenye nchi hii, kuna watu ambao ni kama vile hawagusiki, haijalishi watakachofanya! Hapo siwaongelei viongozi, bali vigogo wanaoweza kuonekana kama vile wameiweka Serikali mfukoni. Kikatiba, Rais wa Tz...
  7. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  8. G Jonathan Kamenge

    Vita ya DC Ubungo na Makahaba: Mgongano wa sheria, haki na maadili

    Najua kwa sasa hoja na habari kuu ni "Mauaji ya Asimwe" na nitakuja kusema kuhusu hili, lakini kwa vile sikupata fursa ya kutoa maoni yangu kuhusu suala la DC Ubungo kukamata watu na kuwaweka ndani kwa kosa la "kufanya ukahaba", tena kwenye siku ya siku kuu huku akiagiza mara baada ya siku kuu...
  9. Yoda

    Ukahaba/Umalaya ni kosa la jinai kwa sheria zipi na tafsiri ya ukahaba ni ipi kisheria nchini Tanzania?

    Nimekuwa nikiona viongozi hasa wa mkoa wa Dar es Salaam na wilaya zake wakiendesha oparesheni mbalimbali za kukamata wanaoitwa makahaba pamoja na kufunguia kile wanachokiita madanguro. Ningependa kufahamu ukahaba na biashara ya madanguro ni makosa kulingana na sheria zipi za nchi ya Tanzania...
  10. Mturutumbi255

    Utetezi wa Haki: Manyerere Aachiwe Mara Moja - Katiba na Sheria Zinaunga Mkono Wito Huu

    Kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Same, Kumradhi, Ninaandika andiko hili kwa lengo la kumtetea Naibu Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Manyerere, ambaye anashikiliwa kwa tuhuma za kupiga picha lori la mafuta lililoanguka. Kwa kutumia hoja zifuatazo za kisheria na kikatiba, ninaomba Manyerere aachiliwe...
  11. Lavit

    KERO Wanaofunga barabara ili kuabudu wako juu ya sheria?

    Wakuu habarini! Leo mchana nilikuwa Kariakoo, sasa kilichonishtua ni kuona mitaa mingi imefungwa watu wanaabudu barabarani. Mbaya zaidi hakuna ishara yeyote utaiona kwamba mtaa husiku umefungwa, mtu unatembea mpaka katikati ya mtaa then unakuta kamba, ukizunguka mtaa mwingine unakuta watu wako...
  12. C

    Huduma ya kujitenga (self exclusion) kwenye makampuni ya kubashiri iwe kwa mujibu wa sheria

    Huduma ya kujitenga kwa muda ama moja kwa moja (temporary self exclusion or permanent self exclusion) kwenye makampuni ya michezo ya kubashiri (online) haipaswi kuwa ni huduma ya hiari kwa watoa huduma bali itengenezewe sheria na kuwa ya lazima. Katika nchi duniani huduma hii inasimamiwa kwa...
  13. Pridah

    Signature kwenye form ya soft copy inaandikwaje?

    Hi. Kwa mtakaoniona mjinga mnisamehe bure. Nimegugo ila sijaelewa vizuri. Naomba kueleweshwa yafuatayo: 1)Name in print inaandikwaje? 2)Signature kwenye form ya soft copy inaandikwaje? Natanguliza shukrani🙏🙏
  14. U

    Uhuru uliopitiliza kikwazo kimaendeleo, kwa maslahi mapana ya taifa sheria maalumu ya kuweka watu kizuizini ianzishwe

    Uhuru uliopitiliza kikwazo kimaendeleo, kwa maslahi mapana ya taifa sheria maalumu ya kuweka watu kizuizini ianzishwe Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu wazalendo kwa hali iliyopo ya uhuru uliopitiliza itachukua miaka mingi nchi yetu kupata maendeleo Kwa maslahi mapana na maendeleo ya nchi...
  15. T

    Kwani sheria inasemaje?

    Wakuu kwema! Kwani sheria inasemaje mtu anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja, Mimi najua ni kosa la jinai Mbona mama anasema “fanyianeni wakubwa kwa wakubwa” Lucas Embu muite Kafulila na Steven Nyerere watupe majibu Lucas Mwashambwa kwanini mama anataka kupingana na katiba? Au alikuwa...
  16. T

    Tanzania iliyo bora: Tunahitaji sheria bora, inayosimamia na kuwajibisha

    Ili kujenga taifa tulitakalo na kufikia ndoto za wengi, ni lazima tukabiliane na matatizo yaliyomo ndani ya nchi yetu kwa kuboresha na kusimamia sheria. 1. Uwajibikaji wa viongozi katika kusimamia rasilimali za umma pamoja na uongozi. 2. Kuundwe sheria, au kuwe na utekelezaji wa sheria...
  17. Bila bila

    CCM kujiona wako juu ya sheria kunafanya makada wake wafanye jinai bila hofu

    Tukio la Kutenguliwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu Alhaji Dr. Yahaya Nawanda baada ya tuhuma za kulawiti binti mwenye umri wa miaka 21 Mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kwenye maegesho ya THE CASK BAR ni moja Kati ya matukio mengi yanayofanaywa na viongozi wateule wa Rais Kwa kutegemea kinga ya...
  18. K

    Sheria ya tume huru ya uchaguzi

    Bunge lilipitisha sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi na kupitisha kuwa kutakuwa na Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi. Mbona mpaka leo bado wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ndiyo bado wako ofisini na wanaendelea na majukumu kama kawaida licha ya Sheria ya Tume Huru Kupitishwa na Bunge. Naomba...
  19. ndege JOHN

    Waislam nyie wenyewe sheria zenu ngumu kuzitekeleza hivyo msiwe na misimamo sana legezeni tu

    Hii Dunia ya sasa mfumo umeegemea tu kwenye tamaduni za west mitandao na utandawazi hamuwezi kuepuka sana kwa sababu waislam wengi tu wanazivunja sheria mlizowekeana wenyewe halafu zinatokea vikundi eti jihadi kupigania dini ya mwenyezi wakati watu wenu wenyewe mambo mengi Kwa mfano wasanii wa...
  20. Idd Ninga

    Sakata la Mtoto kulawitiwa na Watoto wenzake Arusha:Je sheria inasemaje ?

    Kwanza kabisa niombe Jamiiforums wasiunganishe uzi huu na Nyuzi nyingine zinazoelezea kuhusu sakata la Mtoto kulawitiwa Arusha na Kesi yake kufika kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Sote ni mashahidi wa kile kilichoonekana tarehe 10 Mei wakati wa Kliniki ya Haki iliyofanyika katika ofisi za Mkuu wa...
Back
Top Bottom